πππππHahhhhh nikajiuliza huyu jobless anaruka stage ya mtoano aseeh kumbe hawana written wamepata kamselelekoNingeshangaa jobless usingeuliza kuhusu preliminary stage[emoji3][emoji3][emoji3]
tunahitajika watu 61[emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hahhhhh nikajiuliza huyu jobless anaruka stage ya mtoano aseeh kumbe hawana written wamepata kamseleleko
Mnaendaje wote wakati Kuna practical ndo inawachuja??tunahitajika watu 61
ndio maana nimeamua niende kwa mara ya kwanza
nitarud kutoa mrejesho....sisi hata oral ni tunaenda wote
ukishafanya practical unapata matokeo yako kwamba utaendelea au hutaendelea siku hiyo hiyo?Mnaendaje wote wakati Kuna practical ndo inawachuja??
inategemeana na oral mtafanya tr ngapi kama oral ni kesho yake basi majibu mtapata siku hiyo hiyoukishafanya practical unapata matokeo yako kwamba utaendelea au hutaendelea siku hiyo hiyo?
oh basi itakua hivyoinategemeana na oral mtafanya tr ngapi kama oral ni kesho yake basi majibu mtapata siku hiyo hiyo
Huu mwezi una siku 30 au 31?oh basi itakua hivyo
interview ni tarehe 30 oral tarehe 1
swali la kitoto hili bwana wizyHuu mwezi una siku 30 au 31?
ππππkweli nilikuwa sijaangalia tarehe mzee seriouslyswali la kitoto hili bwana wizy
ππππHahhhh wewe ukipata kazi utaanza kutupiga kakaau nianze kukufundisha kuchek miezi yenye siku 30 na 31
kwa kutumia knucles
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hahhhh wewe ukipata kazi utaanza kutupiga kaka
ππππUkipata usisahau kurudi huku aseeh vijana wengine wanahitaji miongozo ya waliofanikiwa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
mimi naenda ...nitaleta mrejesho wa kila tukio[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ukipata usisahau kurudi huku aseeh vijana wengine wanahitaji miongozo ya waliofanikiwa
kila la heri mzee wa kazimimi naenda ...nitaleta mrejesho wa kila tukio
pamoja brokila la heri mzee wa kazi
Poa poa ngoja nisome sasa utumishi hawana undugu waleπmimi naenda ...nitaleta mrejesho wa kila tukio
Yanaweza kutoka siku hiyo hiyo au siku kadhaa mbele kulingana na ratiba ya oral ilivyokaaukishafanya practical unapata matokeo yako kwamba utaendelea au hutaendelea siku hiyo hiyo?
Hujui jua linavyochoma huku mtaani ee[emoji3][emoji3].swali la kitoto hili bwana wizy
Hahahahaaa.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hahhhh wewe ukipata kazi utaanza kutupiga kaka