Hivi written ni kesho?Poa poa ngoja nisome sasa utumishi hawana undugu wale[emoji23]
πππππKabisa huyu atatugeuka huyuHahahahaaa.
Atatuambia tujiajiri
ππππHahhhh kaka swali la kitoto sana au nikutumie ratiba kabisa hahhhHivi written ni kesho?
Usiniambie swali na kitoto kama huyo jobless hapo juu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mkuu naomba nisaidie maswali mliyoulizwa written ya admission officer..au yeyote ambee amewah kufanya msaada plizAdmission officer
some of the oral interview questions.
-Briefly tell us about yourself education and work experience
-Stakeholders of university admission
-Challenges of online admission system
-Duties of an admission officer
Kaka una interview na husemiππππMkuu naomba nisaidie maswali mliyoulizwa written ya admission officer..au yeyote ambee amewah kufanya msaada pliz
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hahhhh kaka swali la kitoto sana au nikutumie ratiba kabisa hahhh
ππππHahhhh jobless nitakuwa napost magari kila siku mpaka tuheshimiane mtaani[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ukichukua barua ya ORCI utatuua kwa dose ya mionzi
itafahamika siku iyocheo kikubwa labda kama una experience kubwa na elimu kubwa lakini kwa bachelor's nadhani tunaishia kwenye juniors level
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hahhhh jobless nitakuwa napost magari kila siku mpaka tuheshimiane mtaani
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hahhhh jobless nitakuwa napost magari kila siku mpaka tuheshimiane mtaani
Daaahh, imekuwa chronic sasa. WajitathminiWale UDOM wamefanyaje tena? Re advert wakati kuna watu walitoboa practical to oral?
Noma sana utumishi yaaani kwamba ni lazima marks zifike vinginevyo hata msipofikisha wote post inakua re advertised na sio kujitathmini wao na kuwa humble na standards zao/ku lower pass mark au kuconsider criteria zngine kupata watu na sio kuleta utata wa ku re advertise daily au wanaenjoy kukanda watu na kuwaharibia "finances"
Hawa jamaaa wasipoangaliwaa watakuwa wanafelisha watu ili waendeelee kula hela za kusimamia Usahili daily.. Haiwezekani watu wafike mpaka oral alafu wote wasiwe na vigezo ni ukengee huuu mbwaa hawaaaa...fwakenii zaoo wanaliwaaaa na wachawiWale UDOM wamefanyaje tena? Re advert wakati kuna watu walitoboa practical to oral?
Noma sana utumishi yaaani kwamba ni lazima marks zifike vinginevyo hata msipofikisha wote post inakua re advertised na sio kujitathmini wao na kuwa humble na standards zao/ku lower pass mark au kuconsider criteria zngine kupata watu na sio kuleta utata wa ku re advertise daily au wanaenjoy kukanda watu na kuwaharibia "finances"
Inawezekana ngumu kufikisha 70% za UFAULU kwa teaching post ..Maana labda mtu anaweza present vzr lkn Q&A akazingua kudefend uwezo wake si ngumu kufikisha marks wanazozitakaHawa jamaaa wasipoangaliwaa watakuwa wanafelisha watu ili waendeelee kula hela za kusimamia Usahili daily.. Haiwezekani watu wafike mpaka oral alafu wote wasiwe na vigezo ni ukengee huuu mbwaa hawaaaa...fwakenii zaoo wanaliwaaaa na wachawi
Hawa jamaaa wasipoangaliwaa watakuwa wanafelisha watu ili waendeelee kula hela za kusimamia Usahili daily.. Haiwezekani watu wafike mpaka oral alafu wote wasiwe na vigezo ni ukengee huuu mbwaa hawaaaa...fwakenii zaoo wanaliwaaaa na wachawi
Its just wrong. Some times it does not make sense to do everything by the book.Daaahh, imekuwa chronic sasa. Wajitathmini
πππππYule hata asiposave nitamtumia inbox[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Utatunyanyasa sana, usisahau kumwambia asave namba yako yule aliyekuambia watoto watakula degree ili awe anaona status zako