[emoji2][emoji2][emoji28] hajui tu wengine tukiona vita ni ngumu kwa wakandaji, unaona hapa kuboa kazi,, ndio mbinu za ziada zinaanza kutumika ili kupambania kanzidata kwa hali na akili yote[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mamaeee wale washenzi wanakaziaga five five afu wamekuangalia usoni aseeeh interview ni vita kama vita ,siku ya kwanza ilibidi niwambie whatiiiiiiii?wakasema challenges in your working place aseeeh
😂😂😂😂[emoji2][emoji2][emoji28] hajui tu wengine tukiona vita ni ngumu kwa wakandaji, unaona hapa kuboa kazi,, ndio mbinu za ziada zinaanza kutumika ili kupambania kanzidata kwa hali na akili yote
Hata mwezi haujaisha tangu tufanye oral mkuu.Kjana mwifwa mkeka wa NAOT kuitwa kazini bado tuu
Na hayo yatakuwa historia, hakuna lenye mwanzo likose mwisho[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nilikosa bando kaka ilinibidi niwe natumia simu ya mshikaji hivi
daaah kweli kiongoziNa hayo yatakuwa historia, hakuna lenye mwanzo likose mwisho
aseeh lakini naamini utapitaME ndio nimetoka kwenye interview hapa
RUWASA - MECHANICAL TECHNICIAN 2
tuliambiwa tunakuja kufanya PRACTICAL
ila mambo yamegeuka tumefanya alternative
ambayo ni WRITTEN tu.
swali la kwanza
- sketch ward welding techniques for both right and left
swali la pili
- procedure of making thread with 1.5 pitch using lathe m/c
swali la 3
- procedure of replacing spare tyre
swali la 4
-procedure of tapping..
paper ya 1hr
Ukienda utumishi wakakuuliza Hilo swali?Na lile la why should we hire you nalo unalijibuje boss ?
Hahahaha hapana kaka nmeuliza tu aseeUkienda utumishi wakakuuliza Hilo swali?
Nimehudhulia oral kadhaa za utumishi sijawahi kukutana na maswali ya hivyo kiongozi first time niliendaga nilidhani nitaulizwa hayo aseeh nilipanikiHahahaha hapana kaka nmeuliza tu asee
Badala ya kuulizwa swali Hilo expect kuulizwa swali linalohusiana na challenges unayoexpect kweny post yako ..Na lile la why should we hire you nalo unalijibuje boss ?
Pole sana mkuu, umejibu mangapi?ME ndio nimetoka kwenye interview hapa
RUWASA - MECHANICAL TECHNICIAN 2
tuliambiwa tunakuja kufanya PRACTICAL
ila mambo yamegeuka tumefanya alternative
ambayo ni WRITTEN tu.
swali la kwanza
- sketch ward welding techniques for both right and left
swali la pili
- procedure of making thread with 1.5 pitch using lathe m/c
swali la 3
- procedure of replacing spare tyre
swali la 4
-procedure of tapping..
paper ya 1hr
Kabisa atakutana nalo tu😂😂😂Badala ya kuulizwa swali Hilo expect kuulizwa swali linalohusiana na challenges unayoexpect kweny post yako ..
[emoji2][emoji2]aseeh lakini naamini utapita
Wale wa open university walitolewa pump na haydraulic system na ignition nafikiri ni bahati pia[emoji2][emoji2]
nimekuta wadau wanakomaa kusoma PUMP
wakijua ndio inatoka ila ndani mambo tofauti
yote nimejibu mkuu yaani yoteePole sana mkuu, umejibu mangapi?
Ingia kwenye my application utaona what's nextWakuu, feedback ya paper ya Jana admission officer inatoka muda Gani ?