Wanjax jr
JF-Expert Member
- Jun 4, 2020
- 491
- 1,261
[emoji2][emoji2][emoji28] hajui tu wengine tukiona vita ni ngumu kwa wakandaji, unaona hapa kuboa kazi,, ndio mbinu za ziada zinaanza kutumika ili kupambania kanzidata kwa hali na akili yote[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mamaeee wale washenzi wanakaziaga five five afu wamekuangalia usoni aseeeh interview ni vita kama vita ,siku ya kwanza ilibidi niwambie whatiiiiiiii?wakasema challenges in your working place aseeeh