PSRS interview questions (written, pract & oral)

wakuu mwenye possible ya maswali ya kada ya assistance drug inspector atuambie hapa tafadhali

Sent from my PDBM00 using JamiiForums mobile app
Post hiyo iliwahi kutoka mwaka 2020, na waliofaulu waliitwa kazini mwaka 2021 mwanzoni(kama sijakosea)

Miongoni mwao kuna mmoja anaitwa Samuel Saanane, ungempata(kama utatafuta hilo jino mitandaoni unaweza kumpata) na kumuuliza maswali jinsi yalivyoulizwa.

Kwasasa utumishi washabadili jinsi ya kuuliza maswali kwa kiasi fulani, ila hata ukipata yale ya nyuma inakuwa muongozo.

Mimi nakushauri kama ifuatavyo:

1. Somo kuhusu kada yako kwa ujumla.(hasa Pharmacy practise)
2. Soma kulingana na job description
3. Soma namna Inspection inavyofanyika kwenye madawa
-Aina za Inspection
-Report ya Inspection na jinsi ya kuiandaa(contents)
4. Soma TMDA Act hasa kipengele cha Law Enforcement
 
Oya wadau Hivi kwenye usaili wa hizi tutorial assistant maswali yake yanakuwaga vipi ?

Namaanisha yale ya oral interview maana naona watu wanaitwa direct mpaka kwenye oral yaani hakuna written so kama kuna mwenye experience ya oral interview za tutorial assistant afunguke Ili watu wajue pa kuanzia.
 
Japo pepa lilikuwa gumu nitoe shukran zangu za dhati kwa msaada wako.

Sent from my PDBM00 using JamiiForums mobile app
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…