Wanjax jr
JF-Expert Member
- Jun 4, 2020
- 491
- 1,261
Soma vitu vyenu vya darasani basiWakuu mwenye possible ya maswali ya kada ya Mifugo( assistant tutor||).
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Soma vitu vyenu vya darasani basiWakuu mwenye possible ya maswali ya kada ya Mifugo( assistant tutor||).
Umetoboa mkuu?yote nimejibu mkuu yaani yotee
Unaweza kujibu yote na ukafeliUmetoboa mkuu?
Post hiyo iliwahi kutoka mwaka 2020, na waliofaulu waliitwa kazini mwaka 2021 mwanzoni(kama sijakosea)wakuu mwenye possible ya maswali ya kada ya assistance drug inspector atuambie hapa tafadhali
Sent from my PDBM00 using JamiiForums mobile app
hiyo ni kweli mkuu maana sio kila jibu ni sahihiUnaweza kujibu yote na ukafeli
Tafuta humu kama walipost kablaWadau naomba possible za kada ya agricultural field officer kwa ASA. Kindly share [emoji120]
Wadau naomba possible za kada ya agricultural field officer kwa ASA. Kindly share [emoji120]ndugu unafanya lini
Umepata Kiongozi..?Wadau naomba possible za kada ya agricultural field officer kwa ASA. Kindly share [emoji120]
Japo pepa lilikuwa gumu nitoe shukran zangu za dhati kwa msaada wako.Post hiyo iliwahi kutoka mwaka 2020, na waliofaulu waliitwa kazini mwaka 2021 mwanzoni(kama sijakosea)
Miongoni mwao kuna mmoja anaitwa Samuel Saanane, ungempata(kama utatafuta hilo jino mitandaoni unaweza kumpata) na kumuuliza maswali jinsi yalivyoulizwa.
Kwasasa utumishi washabadili jinsi ya kuuliza maswali kwa kiasi fulani, ila hata ukipata yale ya nyuma inakuwa muongozo.
Mimi nakushauri kama ifuatavyo:
1. Somo kuhusu kada yako kwa ujumla.(hasa Pharmacy practise)
2. Soma kulingana na job description
3. Soma namna Inspection inavyofanyika kwenye madawa
-Aina za Inspection
-Report ya Inspection na jinsi ya kuiandaa(contents)
4. Soma TMDA Act hasa kipengele cha Law Enforcement
Sawa mkuu.Japo pepa lilikuwa gumu nitoe shukran zangu za dhati kwa msaada wako.
Sent from my PDBM00 using JamiiForums mobile app
Wadau naomba possible za kada ya agricultural field officer kwa ASA. Kindly share [emoji120]
[emoji1787][emoji1787]Pole Kwa written mzee,
Vipi majibu yapoje mzee?[emoji1787][emoji1787]
Mbona unacheka jaamaa[emoji1787][emoji1787]