Dully4real
Member
- May 10, 2015
- 20
- 13
Habari!Huu ni uzi maalumu kwa ajiri ya kushare Maswali ambayo ulishawahi kukutana nayo katika Interview za UTUMISHI (PSRS) kwenye kada tofauti tofauti iwe ni Oral,pract au written....
Acha swali ulilokutana nalo ujibiwe hapa
Unapokuwa unatoa maswali jitahidi kutaja kada husika.
Kiongozi unapozungumzia central gvt,hapo unakuwa una maanisha taasisi zipi kwa mfano ambako kuna hizo Green Pasture?Mi ni in-service muda tu..mwanzoni nilikiwa natafuta green pasture ili niondoke huku TAMISEMI..nilikuwa nataka central gvt lakini ndio imeshindika...file imejaa mbarua ya PSRS mpaka mwajiri anakuita anakwambia najua una uwezo tulia unisaidie kazi nitakupendekeza unapotaka kwenda.
Saivi navizia za transfer tu.
Sijasomea ila Ili Pepa ningetoboa ni simple sanaEXAMINATION OFFICE
Maswali niliyowahi kukutana nayo.
1. Assume you are living in dar es salaam, you observe the problem of waste all over the city. As a researcher write up a proposal to express the problem you observed.
2. Briefly explain two types of observation as used in research.
3. You are hired as an examination officer in institution..explain the measures you would apply to constrain cheating in examination.
4. Briefly explain the examinations rules applied before and after examination.
5. Procedures to write research proposal.
And so on...mengne sikumbuki mana nshaenda paper zao nying za Tutorial Assistant na Examination Officer.
Ni kawaida paper ikishapigwa na upepo kiwa rahisi na watahiniwa kisema ningepiga Mia. Lakini ukiwa na mawazo ya interview ukakutana na hayo maswali kwa Mara ya kwanza hayo uliyosema hayawezi kutokea.Sijasomea ila Ili Pepa ningetoboa ni simple sana
Sijui ila n ya kawaidaNi kawaida paper ikishapigwa na upepo kiwa rahisi na watahiniwa kisema ningepiga Mia. Lakini ukiwa na mawazo ya interview ukakutana na hayo maswali kwa Mara ya kwanza hayo uliyosema hayawezi kutokea.
Huku kuwapata ngumu bro kwenye whatsup groups wamejaaaGuys nani amechaguliwa kuingia oral ya community development officer grade II?
Haha
Nisaidie Link ya WhatsApp nduguHaha
Inawezekana watu wameitwa usaili maana huko whatsapp kuna tangazo la mwalimu anafundisha maswali nadhani ya watu wa customs na tax.
Again;”inawezekana”
Ukiipata nitag na mm ndugu yanguNisaidie Link ya WhatsApp ndugu
Naomba uniadd kwa hiyo grup ya wasap km hutojalHaha
Inawezekana watu wameitwa usaili maana huko whatsapp kuna tangazo la mwalimu anafundisha maswali nadhani ya watu wa customs na tax.
Again;”inawezekana”
Na mm naomba unitag km ukipat ndg
si ulisema wameshaitwa wewe? link ya nini? hahaNisaidie Link ya WhatsApp ndugu
Samahani naomba msaada npate abdc.. wa interview ya computer system analysis
Sent from my Infinix X6816 using JamiiForums mobile app
tupe basi mikeka ya TAA nduguKwa interview nyingi nimeona dakika 40 lisaa lizima kwa TAA mara nyingi ndo wanatoaga hivyo