Dully4real
Member
- May 10, 2015
- 20
- 13
Habari!Huu ni uzi maalumu kwa ajiri ya kushare Maswali ambayo ulishawahi kukutana nayo katika Interview za UTUMISHI (PSRS) kwenye kada tofauti tofauti iwe ni Oral,pract au written....
Acha swali ulilokutana nalo ujibiwe hapa
Unapokuwa unatoa maswali jitahidi kutaja kada husika.
Kwa Post ya EXAMINATION OFFICER maswali yanaweza kuwa ni yapi???