PSRS interview questions (written, pract & oral)

PSRS interview questions (written, pract & oral)

Huu ni uzi maalumu kwa ajiri ya kushare Maswali ambayo ulishawahi kukutana nayo katika Interview za UTUMISHI (PSRS) kwenye kada tofauti tofauti iwe ni Oral,pract au written....

Acha swali ulilokutana nalo ujibiwe hapa

Unapokuwa unatoa maswali jitahidi kutaja kada husika.
Habari!
Kwa Post ya EXAMINATION OFFICER maswali yanaweza kuwa ni yapi???
 
Mi ni in-service muda tu..mwanzoni nilikiwa natafuta green pasture ili niondoke huku TAMISEMI..nilikuwa nataka central gvt lakini ndio imeshindika...file imejaa mbarua ya PSRS mpaka mwajiri anakuita anakwambia najua una uwezo tulia unisaidie kazi nitakupendekeza unapotaka kwenda.
Saivi navizia za transfer tu.
Kiongozi unapozungumzia central gvt,hapo unakuwa una maanisha taasisi zipi kwa mfano ambako kuna hizo Green Pasture?
 
EXAMINATION OFFICE
Maswali niliyowahi kukutana nayo.
1. Assume you are living in dar es salaam, you observe the problem of waste all over the city. As a researcher write up a proposal to express the problem you observed.

2. Briefly explain two types of observation as used in research.

3. You are hired as an examination officer in institution..explain the measures you would apply to constrain cheating in examination.

4. Briefly explain the examinations rules applied before and after examination.

5. Procedures to write research proposal.

And so on...mengne sikumbuki mana nshaenda paper zao nying za Tutorial Assistant na Examination Officer.
Sijasomea ila Ili Pepa ningetoboa ni simple sana
 
Habari wakuu,
Natafuta mtu ambaye amewahi kufanya sahili A ICT officer _ Data analyst na Database administrator anipe abcd.

Nawasilisha
 
Haha
Inawezekana watu wameitwa usaili maana huko whatsapp kuna tangazo la mwalimu anafundisha maswali nadhani ya watu wa customs na tax.
Again;”inawezekana”
Naomba uniadd kwa hiyo grup ya wasap km hutojal
 
Wakuu mliowahi kufanya mtihani wa account officer hua wanatoa explanation au calculations (makabati?)
 
Back
Top Bottom