Doubleg Malafyale
JF-Expert Member
- Feb 17, 2017
- 2,733
- 3,561
ππ nimekupataUkikosa kwenye mfumo wa tamisemi unakuwa hujatumia gharama kama kwenye hizo za psrs unatumia nauli kutoka bukoba had dodoma unafikia lodge alafu hata kwenye oral hufiki
Hapana, nauliza tu tips zake ila ni NECTAUmeitwa usaili?
Soma kutokana na job description hawatoki nje na hapo
Sawa soma tu kwa kupitia job description vzr na uzieleweHapana, nauliza tu tips zake ila ni NECTA
Eee, za transfer.Sawa soma tu kwa kupitia job description vzr na uzielewe
Hawatoki nje ya hapo
NECTA mbona sijaona tangazo? Au unaongelea zile za transfer?
Ok endelea na maandaliziEee, za transfer.
Japo sijui itachukua muda gani kufanya analysis na kuita watu kwenye intavyuu
How Biology laboratory different from other schools facilities???Kwa ambaye alishawahi kufanya interview za Laboratory technician II(Fundi sanifu maabara) ashushe basi maswali ambayo huwa yanaulizwa
Oral uliulizwa maswali gan?Naomba tusaidiane kwenye oral wakuu mlijibu maswali yote ndo mkapita au ilikuaje?maana nimeshaingia oral kadhaa na bado sijatoboa
1.La kwanza education background/introduce your self/your historyOral uliulizwa maswali gan?
Samahani wana JF, hivi ni busara kukaa wakati wa oral interview? Na je kama ni busara kukaa, unakura wamekuwejea notebook na pen hapo mezani, je ni busara kuitumia ile notebook na pen?1.La kwanza education background/introduce your self/your history
2.duties zako hili hutegemeana wakati mwingine wanakuuliza your daily routine ndo hizo hizo duties
3.challenge za kazi yako na kuzisolve
4.ujue mambo mengi ya kazini kwako
Wanakuwekea kiti cha kukaa, huwezi kujibu ukiwa umesimamaSamahani wana JF, hivi ni busara kukaa wakati wa oral interview? Na je kama ni busara kukaa, unakura wamekuwejea notebook na pen hapo mezani, je ni busara kuitumia ile notebook na pen?
Na vipi kuitumia notebook?Wanakuwekea kiti cha kukaa, huwezi kujibu ukiwa umesimama
Nimebahatika kuwa shortlisted post ya data analyst mwenye abc za hii post tafadhali, tukibase kwenye sahili za psrsHello, natumai mko poa.
Naomba msaada Kwa mwenye maswali mbalimbali ya practical na oral upande WA data analyst na database administrator sahili za PSRS msaada wako tafadhali.
Labda iwepo sababu ya kukufanya utumieNa vipi kuitumia notebook?
Fanya kwa maelekezo yao. British Council wanakuwekea pen na notebook lakin swali Lao la mwisho kuna vitu uandike kwa mtiririko kisha una narrateSamahani wana JF, hivi ni busara kukaa wakati wa oral interview? Na je kama ni busara kukaa, unakura wamekuwejea notebook na pen hapo mezani, je ni busara kuitumia ile notebook na pen?