PSRS interview questions (written, pract & oral)

PSRS interview questions (written, pract & oral)

Ukikosa kwenye mfumo wa tamisemi unakuwa hujatumia gharama kama kwenye hizo za psrs unatumia nauli kutoka bukoba had dodoma unafikia lodge alafu hata kwenye oral hufiki
😀😀 nimekupata
Ila ata utumishi siku hizi written unafanyia mkoani kwako yaani online, ukifaulu unaenda kufanya oral dodoma
 
Sawa soma tu kwa kupitia job description vzr na uzielewe
Hawatoki nje ya hapo

NECTA mbona sijaona tangazo? Au unaongelea zile za transfer?
Eee, za transfer.
Japo sijui itachukua muda gani kufanya analysis na kuita watu kwenye intavyuu
 
Kwa ambaye alishawahi kufanya interview za Laboratory technician II(Fundi sanifu maabara) ashushe basi maswali ambayo huwa yanaulizwa
 
Wale mlioitwa usaili chuo cha kilimo Mwalimu Julius K. Nyerere na SUA baada ya usaili mje hapa kuwapa ABCs Majobless wenzenu!

KUMBUKA:UKIMUINUA MWENZIO,NAWE UNAINUKA NAE.
 
Oral uliulizwa maswali gan?
1.La kwanza education background/introduce your self/your history
2.duties zako hili hutegemeana wakati mwingine wanakuuliza your daily routine ndo hizo hizo duties
3.challenge za kazi yako na kuzisolve
4.ujue mambo mengi ya kazini kwako
 
Samahani wana JF, hivi ni busara kukaa wakati wa oral interview? Na je kama ni busara kukaa, unakura wamekuwejea notebook na pen hapo mezani, je ni busara kuitumia ile notebook na pen?
 
Samahani wana JF, hivi ni busara kukaa wakati wa oral interview? Na je kama ni busara kukaa, unakura wamekuwejea notebook na pen hapo mezani, je ni busara kuitumia ile notebook na pen?
Wanakuwekea kiti cha kukaa, huwezi kujibu ukiwa umesimama
 
Hello, natumai mko poa.
Naomba msaada Kwa mwenye maswali mbalimbali ya practical na oral upande WA data analyst na database administrator sahili za PSRS msaada wako tafadhali.
 
Hello, natumai mko poa.
Naomba msaada Kwa mwenye maswali mbalimbali ya practical na oral upande WA data analyst na database administrator sahili za PSRS msaada wako tafadhali.
Nimebahatika kuwa shortlisted post ya data analyst mwenye abc za hii post tafadhali, tukibase kwenye sahili za psrs
 
Samahani wana JF, hivi ni busara kukaa wakati wa oral interview? Na je kama ni busara kukaa, unakura wamekuwejea notebook na pen hapo mezani, je ni busara kuitumia ile notebook na pen?
Fanya kwa maelekezo yao. British Council wanakuwekea pen na notebook lakin swali Lao la mwisho kuna vitu uandike kwa mtiririko kisha una narrate
 
Hivi hizi kada zisizo na professional yaani inahitaji mtu wa form four tu.. nature ya maswali yake ikoje
 
Back
Top Bottom