Doubleg Malafyale
JF-Expert Member
- Feb 17, 2017
- 2,733
- 3,561
😀😀 nimekupataUkikosa kwenye mfumo wa tamisemi unakuwa hujatumia gharama kama kwenye hizo za psrs unatumia nauli kutoka bukoba had dodoma unafikia lodge alafu hata kwenye oral hufiki
Ila ata utumishi siku hizi written unafanyia mkoani kwako yaani online, ukifaulu unaenda kufanya oral dodoma