PSRS interview questions (written, pract & oral)

Dah! Niliitwa ktk usahili huo ila sikwenda kwa kuwa nilikuwa mbali na hivyo nilijiweka pembeni.lakini pia kukatishwa tamaa baada ya kujua kuna watu wanne wanajitolea na wanasomeshwa na chuo na kipaumbele ktk nafasi hizo ilikuwa kwao, na taasisi yoyote ya serikali ukiona kuna mtu anajitolea kada husika,basi jua wanakamilisha mchakato tu japo kuwa neema yaweza kukuanguka kwa kudra za Mola tu.
Kwa usahili huo,hakika mapema tu ningesubili round ya pili, ambapo nilijipa matumaini ya mahali nilipopita chuoni hapo japo kikubwa uwezo.
Nakutakia kila lakheri msahiliwa,bila shaka ulitoboa
 
Sikuwa mm mkuu, alikuwa Hamas yangu

Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…