PSRS interview questions (written, pract & oral)

Interview yangu ya kwanza maswali yalikua matano
1.Briefly explain the geophysical methods that used in oil and gas exploration
2. Mention geomorphic land forms that arise from geological process
3.Explain briefly the types of observation
4.Mention the branches of geography
Maswali ya form 4 hayo
 
Apa wengi tunachemkaga sana,kama Kuna mtu anaweza kutuelezea short and brief jinsi ya kujibu itasaidia sana.
Ukiulizwa ivyo inategemea na wewe uko vip? Nina maana hapo Kuna option kibao na wala hwanaga shida ya kujua unatokea ukoo gani na umezaliwa wapi

Kuna option hapa kama ulikuwa ni mfanyakazi huko nyuma na job kati ya equivalent zake ilikuwa experienced candidates is highly preferred!! Hapa unagusia elimu kidogo mfano itapiga position ya mwisho kwa level ya elimu yako for instance am a degree holder in ........utajuta kada yako na utaongea na udambwi kibao katika ufanyi kazi wako kama una experience utaelezea achievement katika carrier katika ufanisi wako umetatua ishu ....Nina maana ukisema una degree tayar washajua ulisoma msingi ukaenda sekondari labda ukaenda advance na chuo kabisa yaani imebeba kila kitu juu kwa juu kumbuka!! Pala washapitia documents zako za muhimu wanajua mpaka trh ya kuzaliwa so sio lazima ujieleze sana wanajua base katika carrier yako ulete ushawishi kidogo hawana shida na unatokea wapi sijui umezaliwa wapi.

Kingine we ni fresh graduate directly from the University hauna experience 😂😂😭wala nn je point za carrier utazipata wapi? Yeap ushajitambulisha fresh mpaka wakujua una degree sehemu lakini kumbuka degree yako iko na mambo kibao ulipitita labda field Kuna project kama mmi tulifanya project mwaka wa pili kwenda wa tatu ,hata kama ukifanya volunteer ,hata research kama inarelate na kazi unaweza kumgusi kuonyesha uko fresh sehemu fulani ..gonga kingereza kilichoenda mbele japo unaweza kusita ila usirudie maneno jipangilie flow mwanzo mwisho .

Usipoteze mda unaweza kupewa dk 3 ukileta zile saijui I was born in ,am the third child in my family 😥😥😥utaumia watakustopisha wakutoe nje.
 
😂😂😂😂😂Wanaonaga kama unawapotezea muda hivi
Vipi ili upate kazi ni mpaka ujibu na kupata maswali yote?au huwa wanazingatia nini hasa
 
Kingine we ni fresh graduate directly from the University hauna experience [emoji23][emoji23][emoji24]wala nn je point za carrier utazipata wapi? Yeap ushajitambulisha fresh mpaka wakujua una degree sehemu lakini kumbuka degree yako iko na mambo kibao ulipitita labda field Kuna project kama mmi tulifanya project mwaka wa pili kwenda wa tatu ,hata kama ukifanya volunteer ,hata research kama inarelate na kazi unaweza kumgusi kuonyesha uko fresh sehemu fulani ..gonga kingereza kilichoenda mbele japo unaweza kusita ila usirudie maneno jipangilie flow mwanzo mwisho .

Usipoteze mda unaweza kupewa dk 3 ukileta zile saijui I was born in ,am the third child in my family [emoji26][emoji26][emoji26]utaumia watakustopisha wakutoe nje.
Hapa kwenye kipengele cha
"I was born in ....,
I attended primary school at ...."
Huwa tunayumba sana hapa!!!
.
 
😂😂😂😂😂Wanaonaga kama unawapotezea muda hivi
Vipi ili upate kazi ni mpaka ujibu na kupata maswali yote?au huwa wanazingatia nini hasa
Inawezekana kama wenzio watajbu yote kwa fasta na usahihi utapoteza point kikubwa fanya vizuri kwa jitihada zako zote
 
Hapa kwenye kipengele cha
"I was born in ....,
I attended primary school at ...."
Huwa tunayumba sana hapa!!!
.
Ukisema ukimaliza chuo tayar kiakili wanajua ulisoma primary ,ukaja sekondari labda advance then chuo so sioni haja maana utapoteza muda mwingi wangekuwa wataka elimu ya sekondari sijui primary ungeona kweny Tangazo
.umeenda pale kama mtu mweny degree basi aanzia hapo hapo kweny degree yako ndo wanahitaji ujieleze kwingine wanajua since ukitumia maombi wanajua
 
okay sawa nimekupata na marks za written hazihusiki kwenye oral??
Mi naona written ni ngumu kuliko oral yaani mtu upasue vizuri written ora ukashindwe uwe muoga ila yupo jamaa yangu written alikuwa wa pili kwa marks ila oral hakupata na walipita watano yeye hayupo ......kaja kuitwa kazini kada nyingine hata hajafanya interview sema inahusiana na kada yake na mwenzio aliykuwa wa kwanza written alitwa kada ya mwanzo ambayo alikosa
 
Kwa maana hapa naomba kuuliza kukuplace from database mpk waipate nafasi ileile kabisa mf. Human resource officer II, ukiikosa utakaa data base mpk waipate tena human resources officer II, au any related job post wanakuplace?

Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom