Kama ipi ?Kuna kada wanaruhusu pale ukishindwa kutema yai unaweza jibu kwa kiswhili
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama ipi ?Kuna kada wanaruhusu pale ukishindwa kutema yai unaweza jibu kwa kiswhili
Explain objectives or importance of keywords filing systemHebu liweke swali lako vizuri mkuu
Maswali ya written ya record management
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Kiingereza mwanzo mwisho inatakiwa uende umeshiba mzee
Ukiongea kiswazi tu unajipunguzia marks.
Kuna kada wanaruhusu pale ukishindwa kutema yai unaweza jibu kwa kiswhili
😂😂😂😂Siku ya kwanza napiga oral kiingereza chote kilipotea daaahHahaha, hili ni balaa. Cha ajabu ukifika ofisini unaongea na kuhudumia kwa kiswahili.
Lakini hakuna shida, ndio vizuri ili wapunguze ushindani.
amna Yale maswali sio yakiswahili sasa utajibuje kwakiswahili?Sawa Mkuu, au ni vyema ukiwa kwenye usaili wawaulize wasimamizi pale pale? Usishangae inaruhusiwa ila wengi huwa ni uoga tu.
4. -Title or name of the file
Hawaruhusu hata siku hiziDuh! Mkuu kwamba Saili za siku hizi wanaruhusu kuingia na simu?
Nakumbuka miaka ya nyuma walikuwa wanakataza hata saa za mkononi!
Nilifika oral ila sikutoboa mkuuKwa hizo nyanga ulitoboa kweli mkuu?
Hawaruhusu kabsaDuh! Mkuu kwamba Saili za siku hizi wanaruhusu kuingia na simu?
Nakumbuka miaka ya nyuma walikuwa wanakataza hata saa za mkononi!
Bila shaka ulitoboa mkuu?Oral ya Afisa Usajili wa Dawa mwaka 2017.
1: Walk us through your resume
2: What are the responsibilities of a drug registration officer?
3: What is system suitability testing? Mention at least 5 SST parameters
4: Mention 5 different approaches to establish therapeutic equivalence between a multi source drug and an innovator product
5: What are the challenges that you expect to face as a drug registration officer. How will you overcome them?
Hawaitaji cv mimi nimeudhuria oral mwaka jana na mwaka huu mwezi huu wa 9, sijaona hicho kitu. Mambo hayo nasika yapo private hukoSina uhakika na hiki unachokizungumza.niliwahi kufika oral moja ya utumishi na hakuna sehemu walisema twende na cv zetu.tulichoambiwa kwenda nacho ni vyeti pamoja na vitambulisho tu.hilo la cv labda kama limeanza awamu hii ya Samia.
Hairuhusiwi kabisa tena siku hizi hata saa haziruhusiwiSawa Mkuu, au ni vyema ukiwa kwenye usaili wawaulize wasimamizi pale pale? Usishangae inaruhusiwa ila wengi huwa ni uoga tu.
LA 3 mkuu majibu4. -Title or name of the file
-Duration of the coverage subject or activity
- The operators or the names of ones who excuted the activity
-The name of instute performed the activity