Polee kiongozi umeomba post gani?Vipi umeshapata mkuu maana na mimi nineshaingia written mbili sijafanikiwa kufika oral....
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Polee kiongozi umeomba post gani?Vipi umeshapata mkuu maana na mimi nineshaingia written mbili sijafanikiwa kufika oral....
Polee kiongozi umeomba post gani?
Interview lini au bado?Niliomba mwaka jana Youth Development Officer ilikua December, nyingine kama sikosei ilikua mwezi wa saba.
mkuu mbili tu wakati wenzako kumi na na oral hawajawahi kuingia vuta pumziVipi umeshapata mkuu maana na mimi nineshaingia written mbili sijafanikiwa kufika oral....
Interview tayari mzee...Interview lini au bado?
Daa acha tuu mzee hii shughuli inakata stimu sana aisee, bora hata ingekua inafanyika kwa kanda issue kwenda Dodoma na hali yenyewe hii hatari mkuu.Duh
mkuu mbili tu wakati wenzako kumi na na oral hawajawahi kuingia vuta pumzi
Kaka wengine ni vacation huwa tunafanya hizi mambo za kikanda zinauwa mind setDaa acha tuu mzee hii shughuli inakata stimu sana aisee, bora hata ingekua inafanyika kwa kanda issue kwenda Dodoma na hali yenyewe hii hatari mkuu.
Wizy ndani ya nyumba,ulipotea ghafla mkuu baada ya kulamba asaliPolee kiongozi umeomba post gani?
😂😂😂Nilisota sana mtaani nikaona nijipoze kidogoWizy ndani ya nyumba,ulipotea ghafla mkuu baada ya kulamba asali
Nimefurahi kuona umerudi
😁😁😁 sawa mkuu😂😂😂Nilisota sana mtaani nikaona nijipoze kidogo
Soma na elewa vizuri 'research'.Maswali yapi huulizwa kwenye interview ya research assistant?
aya ahsante kwa mchango wakoSoma na elewa vizuri 'research'.
Jibu la hapa tafadhari 😭😭Mfano wa maswali ya examination officer written kwa ambaye ashawahi fanya
Umeitwa usaili?Jibu la hapa tafadhari 😭😭
Hujaeleweka vizuri mkuu, "kusafiri bado ukose na bora uombe kwenye mfumo alafu ukose" fafanuaAjira watangaze tu jamani maana hizo Hbr za kusafiri na bado ukose Bora uombe kwenye mfumo alafu ukose
Ukikosa kwenye mfumo wa tamisemi unakuwa hujatumia gharama kama kwenye hizo za psrs unatumia nauli kutoka bukoba had dodoma unafikia lodge alafu hata kwenye oral hufikiHujaeleweka vizuri mkuu, "kusafiri bado ukose na bora uombe kwenye mfumo alafu ukose" fafanua