PSRS interview questions (written, pract & oral)

PSRS interview questions (written, pract & oral)

Duh

mkuu mbili tu wakati wenzako kumi na na oral hawajawahi kuingia vuta pumzi
Daa acha tuu mzee hii shughuli inakata stimu sana aisee, bora hata ingekua inafanyika kwa kanda issue kwenda Dodoma na hali yenyewe hii hatari mkuu.
 
Mfano wa maswali ya examination officer written kwa ambaye ashawahi fanya
 
Ajira watangaze tu jamani maana hizo Hbr za kusafiri na bado ukose Bora uombe kwenye mfumo alafu ukose
 
Kuna yeyote anajua maswali wanayouliza kwenye interview za TANAPA kada ya conservation ranger III - Account, yaani Assistant accountant?
 
Hujaeleweka vizuri mkuu, "kusafiri bado ukose na bora uombe kwenye mfumo alafu ukose" fafanua
Ukikosa kwenye mfumo wa tamisemi unakuwa hujatumia gharama kama kwenye hizo za psrs unatumia nauli kutoka bukoba had dodoma unafikia lodge alafu hata kwenye oral hufiki
 
Back
Top Bottom