Kuwa na subira wataita tuuPSRS ndio chombo kilichopewa dhamana ya kusimamia michakato ya ajira lakini kama sio kuelemewa basi itakua wana changamoto ambayo ni vyema waiweke wazi,mchakato wa ajira siku hizi umeanza kuchukua mida mrefu sana.mfano ajira zile za MDA's na LGA,s walizotangaza tangu mwezi wa tano mpaka leo hata interview bado ilihali kulingana na taarifa ya serikali ilipaswa waajiriwa wawe kazini kabla ya mwaka wa fedha.kuchukua muda mrefu kwenye kuajiri kunaweka maswali hasa kujua hizi ajira nia za mwaka upi wa fedha.
Una mhaho na mchecheto sana,shika jembe kalime na sio kulialia JF sijui mchakato unacheleweshwa,khaaaaPSRS ndio chombo kilichopewa dhamana ya kusimamia michakato ya ajira lakini kama sio kuelemewa basi itakua wana changamoto ambayo ni vyema waiweke wazi,mchakato wa ajira siku hizi umeanza kuchukua mida mrefu sana.mfano ajira zile za MDA's na LGA,s walizotangaza tangu mwezi wa tano mpaka leo hata interview bado ilihali kulingana na taarifa ya serikali ilipaswa waajiriwa wawe kazini kabla ya mwaka wa fedha.kuchukua muda mrefu kwenye kuajiri kunaweka maswali hasa kujua hizi ajira nia za mwaka upi wa fedha.
Ndo usaili wako wa kwanza nini, kuitwa mtaitwa punguza munkari.PSRS ndio chombo kilichopewa dhamana ya kusimamia michakato ya ajira lakini kama sio kuelemewa basi itakua wana changamoto ambayo ni vyema waiweke wazi,mchakato wa ajira siku hizi umeanza kuchukua mida mrefu sana.mfano ajira zile za MDA's na LGA,s walizotangaza tangu mwezi wa tano mpaka leo hata interview bado ilihali kulingana na taarifa ya serikali ilipaswa waajiriwa wawe kazini kabla ya mwaka wa fedha.kuchukua muda mrefu kwenye kuajiri kunaweka maswali hasa kujua hizi ajira nia za mwaka upi wa fedha.
usijali utaitwa mkuuPSRS ndio chombo kilichopewa dhamana ya kusimamia michakato ya ajira lakini kama sio kuelemewa basi itakua wana changamoto ambayo ni vyema waiweke wazi,mchakato wa ajira siku hizi umeanza kuchukua mida mrefu sana.mfano ajira zile za MDA's na LGA,s walizotangaza tangu mwezi wa tano mpaka leo hata interview bado ilihali kulingana na taarifa ya serikali ilipaswa waajiriwa wawe kazini kabla ya mwaka wa fedha.kuchukua muda mrefu kwenye kuajiri kunaweka maswali hasa kujua hizi ajira nia za mwaka upi wa fedha.