Habari wanabodi.
Mimi ni mmoja wa watu waliofanya saili wa kuhojiwa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma. Sina hakika kama nilifikisha maksi za kufaulu au la.
Nimekuwa nikitembelea ajira portal ,status bado ni ileile ya kuitwa kwenye usaili wa mahojiano(SIJUI KAMA HUWA INABADILIKA). KWA WANAOJUA, NAOMBA KUJUZWA.
NITAJUAJE ZOEZI LA KUPANGIA WATU KAZI LIMEFUNGWA AU KWAMBA NILIFELI/KUFAULU USAILI WA MAHOJIANO.
ASANTE
NAWASILISHA.