Asante Sana.Omba Mungu huku unasubiri kupangiwa kituo cha kazi, ukiona kimya ujue imetoka hiyo. Endelea kushiriki saili zingine kama umeitwa bila kukata tamaa. Pitia huo uzi hapo chini una madini yote.
Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?
Wanajamvi, Nilitaka kujua kwanini utumishi hutumia takriban miez miwili kuita watu kazini baada ya kufanya Oral, kuna nini kinachoendelea?www.jamiiforums.com
Endelea kusubiri na kuendelea kufanya Maombi, subira ndio kila kitu. Hakika mwenye kusubiri yuko pamoja na Mwenyzi Mungu.Habari wanabodi.
Mimi ni mmoja wa watu waliofanya saili wa kuhojiwa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma. Sina hakika kama nilifikisha maksi za kufaulu au la. Nimekuwa nikitembelea ajira portal ,status bado ni ileile ya kuitwa kwenye usaili wa mahojiano(SIJUI KAMA HUWA INABADILIKA). KWA WANAOJUA, NAOMBA KUJUZWA,
NITAJUAJE ZOEZI LA KUPANGIA WATU KAZI LIMEFUNGWA AU KWAMBA NILIFELI/KUFAULU USAILI WA MAHOJIANO.
ASANTE
NAWASILISHA.
Status huaga haibadilikii mpaka siku ukipataa kazi,,,utajua kama hukufaulu ukishapita mwaka mmoja Tangia ufanye interview,,maake majina ya waliofaulu yanayowekwa kwenye database yanaexpire baada ya mwaka mmoja!!!!!endelea kutembelea akaunti yako ya ajira portal mara kwa maraHabari wanabodi.