- Thread starter
- #21
Hao hawana haja ya kuchunguza. Wanafaa kutimua tu kuanzia Mkurugenzi hadi hao wavaa sare, ofisi isafishwe hiyo.Hii tabia ni KERO kwa kweli..... Kuna ndugu yangu amejaza fao la uzazi toka October lakini mpaka leo hakuna malipo
Ukienda OFISI zao kuuliza wanasema mara anayetakiwa kulipa Yuko likizo mpaka arudi
Sasa unajiuliza mtu akitoka kazi zote zinasimama?
Mbona kwenye makato Huwa hakuna excuse kama hizo?
Hii taasisi inahitaji kuchunguzwa
Ingawaje sio kama kila aliyepo hapo ni mzembe lakini ofisi imetawaliwa na uzembe.
Mhasibu ndio mzembe. Eti hapeleki vocha benki anajitia tu ubize.