Pamoja na huo mfumo bila wewe mwenyewe kufuatilia physically kuanzia kwa HR wako mpaka PSSSF kwenyewe basi utasubiri sana.Bado sasa huo sio mfumo automated...wamehamishia majukumu yao kutoka physical kwenda online .. ila means wasipofanyia kazi mfumo hauna msaada
Nikero nyakati zote na pande zotePamoja na huo mfumo bila wewe mwenyewe kufuatilia physically kuanzia kwa HR wako mpaka PSSSF kwenyewe basi utasubiri sana.
Ila waliowengi sio professionals bali ni uzoefu na kujuana tuProfessionalism ipo private sectors tu..
Kamdomo kwao ndio kero,ukipiga simu nikamdomo kamdomo kamdomooooSasa ukiwakuta ofisini wanavyojifanya wapo bize. Kumbe usanii tu hamna uwajibikaji wa asilimia mia
Hawa naona kamdomo ndio wanakojivunia nakoProfessionalism ipo private sectors tu..
Hayo ni matatizo ya kufanya kazi kwa mazoeaOfisi za serikali muda wa kufanya kazi ni masaa 4 tu mengine ni kuzuga na kupoteza muda
Huyo mhasibu na mkurugenzi nikama wachawituWanaona wivu kuwapa watu hela zao. Hao niwachawi
Hao ni kikosi Cha wasumbufu,wazembe na viburiHawa PSSSF wana shida si bure, wanasema sasa utume taarifa online lakini response yao imekuwa shida sana.
Nimeshuhudia kama wawili wameclaim mwezi October lakini mpaka leo hamna kitu.
Inawezekana hao niwale walioiweka serikali mfuko wa nyuma ya surualiHao ni kikosi Cha wasumbufu,wazembe na viburi