Mung Chris
JF-Expert Member
- Sep 12, 2017
- 3,391
- 3,849
Kwa sasa wanakwambia walikuwa wanasubiri mshahara wa mwisho uwasilishwe na serikali maana ungepunjwa pesa zako baada ya hapo pokea maumivu hamna kitu. Samia na waziri wake wana siri kubwaTukiri tu japo tumesema sana ila kipindi cha Magufuli mambo yalikuwa yanaenda.
Wapo wastaafu wana zaidi ya mwaka sasa na hawajui watalipwa lini.
Yalikuwa yanaenda poa sana ila tulikuwa tunampigia toka kona zote za nchi kutokana na kuwa kwake msukuma maana msukuma ni mtani wa kila kona. Kila mtu alimwita ngosha na kuzodoa mipango yake huku moyoni akikiri kuwa ngosha anachapa kazi.Tukiri tu japo tumesema sana ila kipindi cha Magufuli mambo yalikuwa yanaenda.
Wapo wastaafu wana zaidi ya mwaka sasa na hawajui watalipwa lini.
Tukiri tu japo tumesema sana ila kipindi cha Magufuli mambo yalikuwa yanaenda.
Wapo wastaafu wana zaidi ya mwaka sasa na hawajui watalipwa lini.
Muache mama ashuti muvi kwanza ya kiwango cha hollywood.Kwa sasa wanakwambia walikuwa wanasubiri mshahara wa mwisho uwasilishwe na serikali maana ungepunjwa pesa zako baada ya hapo pokea maumivu hamna kitu. Samia na waziri wake wana siri kubwa
sio kweli mama mambo ni yaleyale pale PSSSFTukiri tu japo tumesema sana ila kipindi cha Magufuli mambo yalikuwa yanaenda.
Wapo wastaafu wana zaidi ya mwaka sasa na hawajui watalipwa lini.