PSSSF yampa pole Mdau aliyelalamikia huduma yao, yatoa ufafanuzi na kusisitiza inazingatia Maadili, Uaminifu, Weledi na Uwazi

Acha tuzungumze hata wasiposikia na kutokubadilika lakini tumesema ila ipo siku watakuja ambao hawatasema bali watainuka na kufanya ambayo sisi tuliyadai kwa mdomo.Hakunu marefu yasiyokuwa na ncha.Wote na tuseme, Amina.
 
PSSSF Makao Makuu pamejaa matapeli tupu!

Hicho kitengo cha Hudumu kwa wateja msipoteze muda kupiga hizo namba!

Ukiwapigia kwa namba za ofisi ukaeleza shida baadae utapigiwa na namba binafsi na mtu atajitambulisha ni mfanyakazi wa pale na atakuwa na taarifa zako zote!

Utatengenezewa mazingira ya kutapeliwa tu.
 
Baada ya Mwanachama wa JamiiForums.com anayetambulika kwa jina la Mkumbwa Jr kulalamikia huduma ya Mfuko wa Hifadhi ya Jamii kwa Watumishi wa Umma (PSSSF) upande wa Dodoma kuwa siyo nzuri, mamlaka hiyo imetoa taarifa ya ufafanuzi.

Kusoma hoja ya Mdau bofya hapa ~ PSSSF Dodoma tofautisheni msaada na Haki ya Mtu

UFAFANUZI KUHUSU MALALAMIΚΟ YA MTU AMBAYE HATUJAMTHIBITISHA KAMA MWANACHAMA WA PSSSF

Januari 31, 2025
Mfuko wa Hifadhi ya Jamii kwa Watumishi wa Umma (PSSSF) umebaini mjadala unaoendelea kwenye jukwaa la Jamii Forums kuhusu utendaji wa PSSSF, ambapo mtu anayejitambulisha kwa jina la Mkumbwa Jr ameonyesha kutoridhika na huduma zetu.

Kwanza, tunatoa pole kwa Mkumbwa Jr. iwapo kweli alipata changamoto yoyote alipotafuta huduma katika ofisi zetu. PSSSF inajitahidi kila siku kutoa huduma bora na kwa wakati, kwa kuwa tupo kwa ajili ya wanachama wetu.

Hata hivyo, hadi sasa, hatujapokea rasmi malalamiko yanayofanana na yale yaliyoelezwa na Mkumbwa Jr. Zaidi ya hayo, kutokana na kutotumia majina yake halisi, tumeshindwa kuthibitisha uanachama wake au kufuatilia suala lake kwa usahihi.

Tunamkaribisha Mkumbwa Jr. au mtu yeyote mwenye malalamiko kufika katika ofisi zetu au kuwasiliana nasi kupitia namba 0800 110 040 (bure) ili atupatie taarifa muhimu kama namba ya uanachama, zitakazotuwezesha kufuatilia na kutatua tatizo lake haraka.

Pia, tunapenda kuwakumbusha wanachama wetu kuwa tangu Agosti 2024, PSSSF imehamasisha matumizi ya mifumo ya kidijitali katika uwasilishaji wa madai na upatikanaji wa huduma.

Tunaamini kuwa mwanachama yeyote anayeweza kushiriki kwenye majukwaa ya mtandaoni pia anaweza kunufaika na huduma zetu za kidijitali kwa urahisi. Kwa maelezo zaidi, tafadhali piga 0800 110 040 bila malipo.

PSSSF inaendelea kujitahidi kutoa huduma bora za hifadhi ya jamii kwa wanachama wetu na Watanzania kwa ujumla, tukiwa waaminifu kwa maadili yetu ya kumjali mteja, uaminifu, weledi na uwazi.

Yessaya Mwakifulefule
Meneja Uhusiano na Elimu kwa Umma.
PSSSF nyie ni wahuni na wendawazimu! Na mnajizima data kutufanya wajinga. Kilichobaki kwangu ni kwenda mahakamani. Na mlaaniwe! Mimi nimedai madai yangu kwenye mfuko kwa muda wa zaidi ya miaka 14 alafu mnakuja hapa kujishaua? Huyu anachokidai ni kweli! Kuthibitisha haya nenda kwenye mfumo wenu wa CRM tafuta mtu mwenye check no. 11349624 muone kama ni uongo! Nimedai na madai yangu yamethibitishwa na mwajiri wangu na pia yamethibitishwa na meneja PSSSF iringa lakini hamtaki kunilipa! Nyie mmelaaniwa! Na ninawalaani maana nimetumia muda na gharama kubwa kwa miaka 14 kudai madai yangu hamtaki kunilipa! Mnachonifanyia mimi kikawatokee nyie kipindi mkiacha au kuachishwa kazi au kustaafu sio kwenu tu bali uzao wenu wooote mpaka mwisho wa dunia! How comes nimedai madai tena yakathibitishwa na mwajiri tena yakathibitishwa na nyie katika ngazi ya kwanza alipo mwajiri wangu Iringa mjini alafu kwa miaka 14 hamtaki kunilipa? Msidhani mtakaa kwenye ajira na nyie hayo madai yenu nayalaani! Hamtayafaidi nyie wala familia zenu wala watoto zenu! Mtakuwa masikini na mafukara! Mtapatwa na ajari na kuvunjika miguu kama hamtakufa! LABDA MNILIIPE MADAI YANGU. NIMEWAAMBIA YA KWAMBA MADAI YANGU YAKO KWENYE MFUMO WENU WA CRM yenye check no. 11349624 tangu mwaka May 2012.
 
Yatakuwa yapo madhaifu,wayafanyie kazi tuu! Wafanyakazi wengine Huwa wanajisahau kama wapo kazini!
PSSSF nyie ni wahuni na wendawazimu! Na mnajizima data kutufanya wajinga. Kilichobaki kwangu ni kwenda mahakamani. Na mlaaniwe! Mimi nimedai madai yangu kwenye mfuko kwa muda wa zaidi ya miaka 14 alafu mnakuja hapa kujishaua? Huyu anachokidai ni kweli! Kuthibitisha haya nenda kwenye mfumo wenu wa CRM tafuta mtu mwenye check no. 11349624 muone kama ni uongo! Nimedai na madai yangu yamethibitishwa na mwajiri wangu na pia yamethibitishwa na meneja PSSSF iringa lakini hamtaki kunilipa! Nyie mmelaaniwa! Na ninawalaani maana nimetumia muda na gharama kubwa kwa miaka 14 kudai madai yangu hamtaki kunilipa! Mnachonifanyia mimi kikawatokee nyie kipindi mkiacha au kuachishwa kazi au kustaafu sio kwenu tu bali uzao wenu wooote mpaka mwisho wa dunia! How comes nimedai madai tena yakathibitishwa na mwajiri tena yakathibitishwa na nyie katika ngazi ya kwanza alipo mwajiri wangu Iringa mjini alafu kwa miaka 14 hamtaki kunilipa? Msidhani mtakaa kwenye ajira na nyie hayo madati yenu nayalaani! Hamtayafaidi nyie wala familia zenu wala watoto zenu! Mtakuwa masikini na mafukatara! Mtapatwa na ajari na kuvunjika miguu kama hamtakufa! LABDA MNILIIPE MADAI YANGU. NIMEWAAMBIA YA KWAMBA MADAI YANGU YAKO KWENYE MFUMO WENU WA CRM yenye check no. 11349624 tangu mwaka May 2012.
 
Hawa wabalikiwe sana siyo kama wale mabwege, wapuuz, washenzi wanaoitwa TRA Tanzania wao huwa hawajibu chochote hata kama utataka kupata ufanunuzi kutoka kwao

Wamo humu jamiiforums kutuchora tu
PSSSF nyie ni wahuni na wendawazimu! Na mnajizima data kutufanya wajinga. Kilichobaki kwangu ni kwenda mahakamani. Na mlaaniwe! Mimi nimedai madai yangu kwenye mfuko kwa muda wa zaidi ya miaka 14 alafu mnakuja hapa kujishaua? Huyu anachokidai ni kweli! Kuthibitisha haya nenda kwenye mfumo wenu wa CRM tafuta mtu mwenye check no. 11349624 muone kama ni uongo! Nimedai na madai yangu yamethibitishwa na mwajiri wangu na pia yamethibitishwa na meneja PSSSF iringa lakini hamtaki kunilipa! Nyie mmelaaniwa! Na ninawalaani maana nimetumia muda na gharama kubwa kwa miaka 14 kudai madai yangu hamtaki kunilipa! Mnachonifanyia mimi kikawatokee nyie kipindi mkiacha au kuachishwa kazi au kustaafu sio kwenu tu bali uzao wenu wooote mpaka mwisho wa dunia! How comes nimedai madai tena yakathibitishwa na mwajiri tena yakathibitishwa na nyie katika ngazi ya kwanza alipo mwajiri wangu Iringa mjini alafu kwa miaka 14 hamtaki kunilipa? Msidhani mtakaa kwenye ajira na nyie hayo madati yenu nayalaani! Hamtayafaidi nyie wala familia zenu wala watoto zenu! Mtakuwa masikini na mafukatara! Mtapatwa na ajari na kuvunjika miguu kama hamtakufa! LABDA MNILIIPE MADAI YANGU. NIMEWAAMBIA YA KWAMBA MADAI YANGU YAKO KWENYE MFUMO WENU WA CRM yenye check no. 11349624 tangu mwaka May 2012.
 
Maana ya kuwa humu taasisi ,Lazima iwajibike kujibu kama vile Dr Gwajima anavyosimamia wizara yake!

Sawa sawa

Wabarikiwe kwa usikivu
PSSSF nyie ni wahuni na wendawazimu! Na mnajizima data kutufanya wajinga. Kilichobaki kwangu ni kwenda mahakamani. Na mlaaniwe! Mimi nimedai madai yangu kwenye mfuko kwa muda wa zaidi ya miaka 14 alafu mnakuja hapa kujishaua? Huyu anachokidai ni kweli! Kuthibitisha haya nenda kwenye mfumo wenu wa CRM tafuta mtu mwenye check no. 11349624 muone kama ni uongo! Nimedai na madai yangu yamethibitishwa na mwajiri wangu na pia yamethibitishwa na meneja PSSSF iringa lakini hamtaki kunilipa! Nyie mmelaaniwa! Na ninawalaani maana nimetumia muda na gharama kubwa kwa miaka 14 kudai madai yangu hamtaki kunilipa! Mnachonifanyia mimi kikawatokee nyie kipindi mkiacha au kuachishwa kazi au kustaafu sio kwenu tu bali uzao wenu wooote mpaka mwisho wa dunia! How comes nimedai madai tena yakathibitishwa na mwajiri tena yakathibitishwa na nyie katika ngazi ya kwanza alipo mwajiri wangu Iringa mjini alafu kwa miaka 14 hamtaki kunilipa? Msidhani mtakaa kwenye ajira na nyie hayo madati yenu nayalaani! Hamtayafaidi nyie wala familia zenu wala watoto zenu! Mtakuwa masikini na mafukatara! Mtapatwa na ajari na kuvunjika miguu kama hamtakufa! LABDA MNILIIPE MADAI YANGU. NIMEWAAMBIA YA KWAMBA MADAI YANGU YAKO KWENYE MFUMO WENU WA CRM yenye check no. 11349624 tangu mwaka May 2012.
 
Tunamkaribisha Mkumbwa Jr. au mtu yeyote mwenye malalamiko kufika katika ofisi zetu au kuwasiliana nasi kupitia namba 0800 110 040 (bure) ili atupatie taarifa muhimu kama namba ya uanachama, zitakazotuwezesha kufuatilia na kutatua tatizo lake haraka.
Hamuwezi kumlengesha kwa wasiojulikana?
 
Pumbavu na ukome nani Pssf hapa.
PSSSF nyie ni wahuni na wendawazimu! Na mnajizima data kutufanya wajinga. Kilichobaki kwangu ni kwenda mahakamani. Na mlaaniwe! Mimi nimedai madai yangu kwenye mfuko kwa muda wa zaidi ya miaka 14 alafu mnakuja hapa kujishaua? Huyu anachokidai ni kweli! Kuthibitisha haya nenda kwenye mfumo wenu wa CRM tafuta mtu mwenye check no. 11349624 muone kama ni uongo! Nimedai na madai yangu yamethibitishwa na mwajiri wangu na pia yamethibitishwa na meneja PSSSF iringa lakini hamtaki kunilipa! Nyie mmelaaniwa! Na ninawalaani maana nimetumia muda na gharama kubwa kwa miaka 14 kudai madai yangu hamtaki kunilipa! Mnachonifanyia mimi kikawatokee nyie kipindi mkiacha au kuachishwa kazi au kustaafu sio kwenu tu bali uzao wenu wooote mpaka mwisho wa dunia! How comes nimedai madai tena yakathibitishwa na mwajiri tena yakathibitishwa na nyie katika ngazi ya kwanza alipo mwajiri wangu Iringa mjini alafu kwa miaka 14 hamtaki kunilipa? Msidhani mtakaa kwenye ajira na nyie hayo madati yenu nayalaani! Hamtayafaidi nyie wala familia zenu wala watoto zenu! Mtakuwa masikini na mafukatara! Mtapatwa na ajari na kuvunjika miguu kama hamtakufa! LABDA MNILIIPE MADAI YANGU. NIMEWAAMBIA YA KWAMBA MADAI YANGU YAKO KWENYE MFUMO WENU WA CRM yenye check no. 11349624 tangu mwaka May 2012.
 
PSSSF nyie ni wahuni na wendawazimu! Na mnajizima data kutufanya wajinga. Kilichobaki kwangu ni kwenda mahakamani. Na mlaaniwe! Mimi nimedai madai yangu kwenye mfuko kwa muda wa zaidi ya miaka 14 alafu mnakuja hapa kujishaua? Huyu anachokidai ni kweli! Kuthibitisha haya nenda kwenye mfumo wenu wa CRM tafuta mtu mwenye check no. 11349624 muone kama ni uongo! Nimedai na madai yangu yamethibitishwa na mwajiri wangu na pia yamethibitishwa na meneja PSSSF iringa lakini hamtaki kunilipa! Nyie mmelaaniwa! Na ninawalaani maana nimetumia muda na gharama kubwa kwa miaka 14 kudai madai yangu hamtaki kunilipa! Mnachonifanyia mimi kikawatokee nyie kipindi mkiacha au kuachishwa kazi au kustaafu sio kwenu tu bali uzao wenu wooote mpaka mwisho wa dunia! How comes nimedai madai tena yakathibitishwa na mwajiri tena yakathibitishwa na nyie katika ngazi ya kwanza alipo mwajiri wangu Iringa mjini alafu kwa miaka 14 hamtaki kunilipa? Msidhani mtakaa kwenye ajira na nyie hayo madati yenu nayalaani! Hamtayafaidi nyie wala familia zenu wala watoto zenu! Mtakuwa masikini na mafukatara! Mtapatwa na ajari na kuvunjika miguu kama hamtakufa! LABDA MNILIIPE MADAI YANGU. NIMEWAAMBIA YA KWAMBA MADAI YANGU YAKO KWENYE MFUMO WENU WA CRM yenye check no. 11349624 tangu mwaka May 2012.
Mungu wangu!
Mbona kama wanilaumu mie mkuu?
Mi ni mhanga mwenzio
 
PSSSF Makao Makuu pamejaa matapeli tupu!

Hicho kitengo cha Hudumu kwa wateja msipoteze muda kupiga hizo namba!

Ukiwapigia kwa namba za ofisi ukaeleza shida baadae utapigiwa na namba binafsi na mtu atajitambulisha ni mfanyakazi wa pale na atakuwa na taarifa zako zote!

Utatengenezewa mazingira ya kutapeliwa tu.
Hiyo ofisi inachafua taswira ya utumishi wa umma. Bora kuweka hela kwenye vikoba hata kukiwa na riba unapata mgao.
Hawa matapeli hawazidishi hata miamoja kutoka kwenye michango. Isitoshe wanakuzawadia na usumbufu juu
 
PSSSF nyie ni wahuni na wendawazimu! Na mnajizima data kutufanya wajinga. Kilichobaki kwangu ni kwenda mahakamani. Na mlaaniwe! Mimi nimedai madai yangu kwenye mfuko kwa muda wa zaidi ya miaka 14 alafu mnakuja hapa kujishaua? Huyu anachokidai ni kweli! Kuthibitisha haya nenda kwenye mfumo wenu wa CRM tafuta mtu mwenye check no. 11349624 muone kama ni uongo! Nimedai na madai yangu yamethibitishwa na mwajiri wangu na pia yamethibitishwa na meneja PSSSF iringa lakini hamtaki kunilipa! Nyie mmelaaniwa! Na ninawalaani maana nimetumia muda na gharama kubwa kwa miaka 14 kudai madai yangu hamtaki kunilipa! Mnachonifanyia mimi kikawatokee nyie kipindi mkiacha au kuachishwa kazi au kustaafu sio kwenu tu bali uzao wenu wooote mpaka mwisho wa dunia! How comes nimedai madai tena yakathibitishwa na mwajiri tena yakathibitishwa na nyie katika ngazi ya kwanza alipo mwajiri wangu Iringa mjini alafu kwa miaka 14 hamtaki kunilipa? Msidhani mtakaa kwenye ajira na nyie hayo madati yenu nayalaani! Hamtayafaidi nyie wala familia zenu wala watoto zenu! Mtakuwa masikini na mafukatara! Mtapatwa na ajari na kuvunjika miguu kama hamtakufa! LABDA MNILIIPE MADAI YANGU. NIMEWAAMBIA YA KWAMBA MADAI YANGU YAKO KWENYE MFUMO WENU WA CRM yenye check no. 11349624 tangu mwaka May 2012.
Yaani huyu mkurugenzi na management yake hawastahili kusemwa kwa upole. Hao ni matapeli waliovaa tai,waliopewa nyumba na walionunuliwa magari na serikali
 
PSSSF ni shamba la bibi vigogo na serikali wanajikopesha
Yaani huyo mzee ameharibu taswira ya taasisi ya umma.
Nashangaa kwanini hata waziri hajali. Inawezekana kweli wapo wakulungwa wanajitwaliatu mpunga
 
Back
Top Bottom