The Sunk Cost Fallacy
JF-Expert Member
- Dec 1, 2021
- 19,582
- 14,167
Akipanda ndege za abiria huwa nani wanaendesha?Rais Samia Suluhi Hassan leo alitumia usafiri wa boti kutoka Zanzibar kuja Dar Es Salaam.
Je huko kwenye Idara ya Ulinzi wa Rais kuna ambao ni manahodha wa boti au meli? Ambapo ikitokea Rais anatumia usafiri wa maji basi waweze kumuendesha?
Maana safari za namna hizi za Rais kutumia usafiri wa maji huwa ni mara chache sana.
Na je ikitokea watu wa namna hiyo hawapo huko idarani? Rais anaweza kuendeshwa na nahodha yoyote yule?
Mkuu nimejikuta nacheka kama mjinga, watanganyika nyie ni kiboko,Kaenda kukaa kule mbelee.
Halafu alikua anachat.
Sasa sijui alikua anamtumia nani sms.
Ila naamini ni kwangu maana nimeona namba ngeni hapa.
MkurungwaπKaenda kukaa kule mbelee.
Halafu alikua anachat.
Sasa sijui alikua anamtumia nani sms.
Ila naamini ni kwangu maana nimeona namba ngeni hapa.
Hizo rocket za sayari ya mbali tunazo?Idara nyeti kama hiyo haitakiwi iwe na mapungufu yeyote yale. Nafikiri watakuwa na mpaka warusha yale maroketi ya kwenda sayari za mbali.
Story za huko kwenye vijiwe vyenu vya kahawa
Ila mayalla ana uandishi flan wa kichokozi sana π€£ eti tuliishia kulia ndio maana kawe ulipata kura moja πMbona hao PSU wetu walishindwa kuzuia na mwisho wa siku...
Si tuliishia kulia?!.
P
Hizo rocket za sayari ya mbali tunazo?
Mbona msg ya sensa katutumia wote?Kaenda kukaa kule mbelee.
Halafu alikua anachat.
Sasa sijui alikua anamtumia nani sms.
Ila naamini ni kwangu maana nimeona namba ngeni hapa.
Bado nipo mkuu.Mbona msg ya sensa katutumia wote?
Na hivi bado upo Ccm au kile chama kilichokufa kabla ya usajiri?
Mkuu raraa reree , mimi nina tatizo moja kubwa, ni mkweli too much!. Kwenye hilo, tumelia au hatukulia?.Ila mayalla ana uandishi flan wa kichokozi sana π€£ eti tuliishia kulia ndio maana kawe ulipata kura moja π
Aisee kweli tulilia..Mkuu raraa reree , mimi nina tatizo moja kubwa, ni mkweli too much!. Kwenye hilo, tumelia au hatukulia?.
P
kitimoto haikuwa ITVAisee kweli tulilia..
Alaf pasco nikiangalia picha yako nakumbuka mbali japo nilikuwa mdogo kama kumbukumbu zangu zitakuwa sawa ITV viti viwili nyuma background ya blue yameandikwa kitimoto nikaja kuvutiwa tena na mahojiano yako wakt wa 77 tena nimekukuta na uandishi wako wa kusisimua hapa jf π
Uwe unasoma sana articles mkuu ni ukweli mtupu hapoStory za huko kwenye vijiwe vyenu vya kahawa