The Sunk Cost Fallacy
JF-Expert Member
- Dec 1, 2021
- 19,582
- 14,167
Akipanda ndege za abiria huwa nani wanaendesha?Rais Samia Suluhi Hassan leo alitumia usafiri wa boti kutoka Zanzibar kuja Dar Es Salaam.
Je huko kwenye Idara ya Ulinzi wa Rais kuna ambao ni manahodha wa boti au meli? Ambapo ikitokea Rais anatumia usafiri wa maji basi waweze kumuendesha?
Maana safari za namna hizi za Rais kutumia usafiri wa maji huwa ni mara chache sana.
Na je ikitokea watu wa namna hiyo hawapo huko idarani? Rais anaweza kuendeshwa na nahodha yoyote yule?