Mk54
JF-Expert Member
- Dec 29, 2016
- 1,996
- 3,950
1 . Kikawaida Bangi ni Tiba .
Wazee wetu wanajua hili vyema. Wahindi wanajua hili vyema. Unaweza kutumia Bangi na usiwe HIGH.
Ile kitu watu wanavuta na kuwafanya High , yale ni maua ya bangi known as Cannabis Buds. Or the smokable part or Sugar flower.
Female Marijuana ndio inatoa maua mengi na mengi ndiyo yana THC nyingi, THC ni ile stuff inayokufanya uwe high.
Sehemu nyingi kama mizizi ya bangi, shina za bangi, majani ya Bangi na Mbegu zake hazina THC nyingi kabisa. Sehemu hizi za mmea huu, hutumika for medicinal purpose.
India , China, Wazee wa Kilimanjaro, Mara, Middle East, Tarime etc etc they know what I mean here.
Trust me , if you manage to take majani ya bangi from trusted sources na mizizi ya bangi and you make tea of it , yaani unachukua majani ya bangi especially male Cannabis ambapo THC ipo chini or almost hakuna kabisa na mizizi yake ukachemsha ukaweka sukari ukanywa kama chai ; believe me,
Hutokuja kujua what is diabetes, what is high blood pressure, , ischemic Cardiac na any kind of Cardiovascular Disease hutokuja kuisikia .
Majani ya Bangi na Mizizi yake kama chai hapo juu. Hii wahindi wanaita Elixir of Pendant Eternity. The Medicine Of Death
You will die sababu ya age .. yaani your age is no longer supporting any life on earth.
Now days you may find kijana wa 35, tayari ana pressures, kisukari, erectile dysfunctional...., what the hell !
It is because we have buried these truths .