I agree. For the first time nilipokuwa Amazon kwa ajili ya kufanya journeying ya Ayahuasca, tuliingizwa kwenye small room chenye mwanga hafifu.
And they told us to stay in a meditating way .
Baada ya 40 Mins, Nilielewa kuwa it was preparedness to spiritual journey beyond human conditions that supersede any faith.
Baada ya muda huo ; tukaitwa kwa kupata kinywaji. Baada ya kupata the DMT ndani ya Ayahuasca...... nilianza kuona how my body was dissolving to unknown realms.
Sikuwahi kujua wala kuelewa mtu akiniambia Live in Present moment. I never knew what the present moment really was untill I journeying through Psychedelic mind altering drugs.
Nature ya kazi yangu ilinifanya niwe thirsty to unknown knowledge. I don’t believe in LIMITATIONS..... , The SKY is never my limit..... infinity is never my limit ..... I don’t have any limits. I am as I am. I was I am and I will Be I am in the here now.
Katika kazi zangu ; nimehudumia binadamu wengi sana; Nimewapatia Pharmaceuticals medicine kwa ajili ya kutibu magonjwa yao huku nikijua wazi , baada ya Muda huyu mtu ataangukia kwenye ugonjwa wa ini; au ataangukia kwenye ugonjwa wa Figo.
Mwaka 2018, nilikutana na mgonjwa mmoja; baada ya consultation ya muda; nikampatia dawa ambayo it was the only solution for her. In few days , familia yake ikani contact kuwa ndugu yao amepata tatizo la memory loss; ameshatumia almost nusu ya dose .nilijua what was wrong ; niliwaambia immediately to withdraw the medicine . In few days ; the women alikutwa kajinyonga. I knew it was the medicine iliyo create the depression na suicidal thoughts. I have lots of things to share.
Kwa TZ , ukiangalia kasi ya Kansa, Ini , Figo na Impotence( Erectile dysfunction) imeongezeka kwa asilimia zaidi ya 15% .... na inaonekana hatujui nini chanzo , lakini kwa wenye kuujua ukweli tunajua nini chanzo.
Dada zetu kupata mimba siku hizi ni kwa boster ya hormonal therapy.... you know something is missing.
Nimetumia hii mimea na sina Ugonjwa wowote ; I am healthy, smart , intelligent, innovative and considerate and my ability to make love is extraordinary. Sina maana kwamba na wewe utumie, i mean find your own purpose.
I worked in Tanzania, kuanzia Halmashauri.... then I grew up nikaenda NGOs ..... then nikaenda Netherland... worked there for 3( 2 yrs + few months) .... being smart and innovative....as well as considerate nikapangiwa Namibia as Country Manager at the age of less than 30 years old during that time.
I smoked bangi first time, carefully determined by this Frenchwoman, My prof.
The choise is yours ....... choice it wisely. Bila ya kufuata mkumbo