Mwenye maelekezo jinsi ya kuandaa datura kwa ajili ya consciousness transcendence atuelekeze basi
Sent from my Infinix X572 using
JamiiForums mobile app
Kama hujawahi kutumia hii mambo, Datura is not a good start for you.
Inahitaji detailed knowledge na experience.
Kumbuka kwamba mmea huu ni toxic. The Tropane Alkaloids zilizopo ndani yake kama vile Atropine, Hyoscyamine na Scopolamine zinasababisha Anticholinergic Syndrome yaani ile hali ya kama kuchanganyikiwa , mapigo ya moyo kwenda mbio na Unaweza paralysis’s, confusion na induced psychosis kama uki mess kwenye Dose.
Nilitumia huu mmea nikiwa Amazon, tulitegenezewa majani yake, a tea like. ... I had a milder trip lasted for hours .... almost like baada ya 72 hours ndio nikaanza kurudi kwenye Ordinary Mind.
Mzee Boby alituambia kwamba majani ndio safe zaidi. You can smoke majani, au ingest by preparing a tea like , au uka apply tropical for skin absorption ndio maana huu mmea hata kuishika shika sio vyema.
Mzee Boby alisema pia, maua ya Datura yana hiyo Tropane Alkaloids very powerful , enzi zao za ujana walipendelea kuwapa enemies wao flowers [emoji259] za datura yaani zilizotengenezwa kama chai.... yaani zinaenda sababisha Serious Death kama hujawahishwa Hospitali.
Some people mix Datura leaves na Tobacco. I had a girl friend from USA, yeye alikuwa akichanganya zile mbegu za Datura , anachukua ukubwa wa kijiko cha chai, anasaga na kuweka kwa wine . Alipata Trip and Transcendence lasted for 4 days .. baada ya 4 days akawa anashindwa kutofautisha Rangi .... alidumu na hiyo hali kwa mwezi mzima. Datura ni mmea HATARI kama Huna knowledge nao.
Elimu ya Datura ni Esoteric Information, Yaani ni information ambayo haitakiwi kuwa kwa watu wote. Only specialized people.
The Plants has a lot of Magic issues.... imagine you are Transcendending for 4 days .... consecutively...MY Gosh.... you realize that there is no reason to be afraid in this life .... EVER!
The plant gives you the test of reality and fantasy. I had one of the precious moment in my life following consumption of DATURA under technical personnel.
I discourage anyone to try out knowledge and technical team.
Datura imetumika kama sumu sana hata kuua viongozi wa kuu. Don’t mess with the plant .... ever
. Mmea kama Bangi ni Exoteric Plant ..... anyone can use na kila mtu can get the information.
If you are very much interested kujua namna ya kuandaa Datura , I will put here ... and you will have to be the responsibility. na hiyo siyo tiketi ya wewe kutumia..... you will still need a guidance