Psychedelic Drugs & Consciousness

Psychedelic Drugs & Consciousness

Mwenye maelekezo jinsi ya kuandaa datura kwa ajili ya consciousness transcendence atuelekeze basi

Sent from my Infinix X572 using JamiiForums mobile app

Kama hujawahi kutumia hii mambo, Datura is not a good start for you.

Inahitaji detailed knowledge na experience.

Kumbuka kwamba mmea huu ni toxic. The Tropane Alkaloids zilizopo ndani yake kama vile Atropine, Hyoscyamine na Scopolamine zinasababisha Anticholinergic Syndrome yaani ile hali ya kama kuchanganyikiwa , mapigo ya moyo kwenda mbio na Unaweza paralysis’s, confusion na induced psychosis kama uki mess kwenye Dose.

Nilitumia huu mmea nikiwa Amazon, tulitegenezewa majani yake, a tea like. ... I had a milder trip lasted for hours .... almost like baada ya 72 hours ndio nikaanza kurudi kwenye Ordinary Mind.

Mzee Boby alituambia kwamba majani ndio safe zaidi. You can smoke majani, au ingest by preparing a tea like , au uka apply tropical for skin absorption ndio maana huu mmea hata kuishika shika sio vyema.

Mzee Boby alisema pia, maua ya Datura yana hiyo Tropane Alkaloids very powerful , enzi zao za ujana walipendelea kuwapa enemies wao flowers [emoji259] za datura yaani zilizotengenezwa kama chai.... yaani zinaenda sababisha Serious Death kama hujawahishwa Hospitali.

Some people mix Datura leaves na Tobacco. I had a girl friend from USA, yeye alikuwa akichanganya zile mbegu za Datura , anachukua ukubwa wa kijiko cha chai, anasaga na kuweka kwa wine . Alipata Trip and Transcendence lasted for 4 days .. baada ya 4 days akawa anashindwa kutofautisha Rangi .... alidumu na hiyo hali kwa mwezi mzima. Datura ni mmea HATARI kama Huna knowledge nao.

Elimu ya Datura ni Esoteric Information, Yaani ni information ambayo haitakiwi kuwa kwa watu wote. Only specialized people.

The Plants has a lot of Magic issues.... imagine you are Transcendending for 4 days .... consecutively...MY Gosh.... you realize that there is no reason to be afraid in this life .... EVER!

The plant gives you the test of reality and fantasy. I had one of the precious moment in my life following consumption of DATURA under technical personnel.

I discourage anyone to try out knowledge and technical team.

Datura imetumika kama sumu sana hata kuua viongozi wa kuu. Don’t mess with the plant .... ever

. Mmea kama Bangi ni Exoteric Plant ..... anyone can use na kila mtu can get the information.

If you are very much interested kujua namna ya kuandaa Datura , I will put here ... and you will have to be the responsibility. na hiyo siyo tiketi ya wewe kutumia..... you will still need a guidance
 
Faida nyingine ya Datura , hutumika kutengenezea Dawa kama Atropine Injection, Hyoscyamine ( kwa ajili ya kichefuchefu na maumivu ya tumbo ) na Scopolamine.

Dawa kama Atropine Injection ni Dawa muhimu sana na hakuna Hosp inayokosa dawa hii. Hutumika wakati wa upasuaji, kurahisisha Upasuaji, sécrétions za mwili wakati wa upasuaji.

Hutumika pia kama Antidote ya Poisons za Organophosphate Poisonings, ni ile poison unayoipata kwenye Pesticides na haya madawa ya mbu, sumu za panya, mbolea etc etc ambayo kimsingi zinaenda ku block Acetylcholinesterase enzymes hivyo kupelekea kuwa na Acetylcholine nyingi kwenye mwili.

Inaenda kushusha presha ya mwili, mapigo ya moyo na unapata confusion, unqpoteza balance ya mwili na kupelekea coma na kifo.

So Atropine 1mg Injection is there to help you as Antidote ambayo inaenda ku inhibit muscarinic receptors za Acetylcholine. To reverse the actions za Acetylcholine. Na kuondoa makali ya sumu.

All these blessings come from Datura plant....I love Datura Plant. Ni mystical plant on this planet ...it has also killed thousands of people on earth, unfortunately.

IMG_5309.jpg
 
Kama hujawahi kutumia hii mambo, Datura is not a good start for you.

Inahitaji detailed knowledge na experience.

Kumbuka kwamba mmea huu ni toxic. The Tropane Alkaloids zilizopo ndani yake kama vile Atropine, Hyoscyamine na Scopolamine zinasababisha Anticholinergic Syndrome yaani ile hali ya kama kuchanganyikiwa , mapigo ya moyo kwenda mbio na Unaweza paralysis’s, confusion na induced psychosis kama uki mess kwenye Dose.

Nilitumia huu mmea nikiwa Amazon, tulitegenezewa majani yake, a tea like. ... I had a milder trip lasted for hours .... almost like baada ya 72 hours ndio nikaanza kurudi kwenye Ordinary Mind.

Mzee Boby alituambia kwamba majani ndio safe zaidi. You can smoke majani, au ingest by preparing a tea like , au uka apply tropical for skin absorption ndio maana huu mmea hata kuishika shika sio vyema.

Mzee Boby alisema pia, maua ya Datura yana hiyo Tropane Alkaloids very powerful , enzi zao za ujana walipendelea kuwapa enemies wao flowers [emoji259] za datura yaani zilizotengenezwa kama chai.... yaani zinaenda sababisha Serious Death kama hujawahishwa Hospitali.

Some people mix Datura leaves na Tobacco. I had a girl friend from USA, yeye alikuwa akichanganya zile mbegu za Datura , anachukua ukubwa wa kijiko cha chai, anasaga na kuweka kwa wine . Alipata Trip and Transcendence lasted for 4 days .. baada ya 4 days akawa anashindwa kutofautisha Rangi .... alidumu na hiyo hali kwa mwezi mzima. Datura ni mmea HATARI kama Huna knowledge nao.

Elimu ya Datura ni Esoteric Information, Yaani ni information ambayo haitakiwi kuwa kwa watu wote. Only specialized people.

The Plants has a lot of Magic issues.... imagine you are Transcendending for 4 days .... consecutively...MY Gosh.... you realize that there is no reason to be afraid in this life .... EVER!

The plant gives you the test of reality and fantasy. I had one of the precious moment in my life following consumption of DATURA under technical personnel.

I discourage anyone to try out knowledge and technical team.

Datura imetumika kama sumu sana hata kuua viongozi wa kuu. Don’t mess with the plant .... ever

. Mmea kama Bangi ni Exoteric Plant ..... anyone can use na kila mtu can get the information.

If you are very much interested kujua namna ya kuandaa Datura , I will put here ... and you will have to be the responsibility. na hiyo siyo tiketi ya wewe kutumia..... you will still need a guidance
Mkuu asante sana kwa maelezo yako. Still am very interested kujua jinsi ya kuuandaa na kuutumia.
Thanks

Vipi kuhusu coordination! inabadilisha control ya mwili kwa namna yoyote ile? Kama mwendo n.k
 
Mada yako ni nzuri. Kwanza Tanzania Bangi tu wanaita ni Madawa ya kulevya; so hizo Pyschodelics ndiyo kabisa.

Drug Control and Enforcement Authority (DCEA) imeweka Bangi na hizo drugs mind altering kama Madawa ya Kulevya. I found it to be okay kwasababu watz wengi are still sleeping.

Consciousness yangu ilibadilika baada ya kuvuta Bangi for the first time. Nilianza kuvuta bangi nikiwa mwaka wa tatu kwenye somo la Pharmacology nikiwa nchini Ufaransa kimasomo. Tulishauriwa pia na mwalimu wetu.

Ilinisaidia sana kwenye meditation, spiritual transformation and transcendence. Huwa ninavuta bangi only when I want to reconnect my soul with the universe itself, naweza kukaa 5 years bila ya kuvuta.
-
When I feel losing my faith , I Smoke to regain the transcendence through meditation practice and astral projection, feeling the death itself.
-
I love the experience, brave and creativity in it . However, if you keep smoking too much na mara kwa mara , it has a lot of side effects; so you have to be really desciplined to monitor yourself na ikiwezekana uwe na technical personnel
-
Kama hujawahi kutumia Bangi, never use psychedelics substance; it is very dangerous .
-
Nilipata bahati ya kwenda Amazon to experience Ayahuasca ambayo siku hizi unaweza kuipata kwa Pharmaceuticals.

Wao wanatengeneza na kuwa kama mbege fulani hivi, wanatumia magome ambayo yame contain DMT ( N N Dimethytriptamne) kisha wanachanganya na majani yaliyo contain MAO(Monoamine Oxidase Inhibitor. Hii ni enzymes inayoenda ku digest zile contents za magome na kuifanya brew kuwa absorbed Orally na active.
-
Kwa kweli my first experience chini ya guidance ya mzee mmoja wa huko huko alietambulika kwa jina la Bob siwezi kuielezea.
-
I saw things I cannot explain , but I came to realize that there is more than what we think.
-
Nikapata uwezo mkubwa wa kuelewa mambo and changing my perspective in so many things : Nikaanza kuitazama dunia as it really is , not as I was conditioned to see it.
-
I saw my death ; and realized that there is something bigger than myself ,bigger than I am . I am as I am. I am I am, I was I am .... I will be I am.

I actually died, I became more aware of my existence; it was a radical change of my consciousness behind this world as well as insecurities of the eternity.
-
I came to realize Buddha teachings are more meaningful and closer to truth of existence.

I appreciate Cannabis and Pyschodelics Drugs; and I advise that every human being should have smoked and use these mind altering drugs once in his life time to awaken the sleeping energy.
-
Watu wengi wanakufa bila ya kujua how powerful they are. It is so painful to see that, kuna wakati nilijuta why niliamsha hii sleeping energy, maana nikaanza feel so sorry to others, to animals . I also had to stop eating meat. Huwa i feel so offended kuchinja Mnyama for my food.

It is so painful to awaken the energy of consciousness ; but is is very good to awaken for future endeavors.
-
The Pyschodelic drugs make you realize that the one looking at you through my eyes , and the one looking at me through your eyes is the same one. The same to everything , to animals, trees, chair , tables etc etc

Ni kweli kabisa hizi drugs zinaenda ku awaken human consciousness, it makes someone more aware and fearless which makes it more difficult for the government to control such citizens. And that is the reason they are illegal.
Paragraph ya mwisho hyo huwa nawambia watu hawataka kuelewa
 
Wazee kimya sana,btw nilitaka nijue kama jimson weed,datura na mnanaa ni kitu kimoja?nimekuta mada sehem jamaa kaandika kwa kiswahili
 
IMG_5390.jpg

Nimefanya kazi sana na Drug Control and Enforcement Authority. Nikiri kwamba ile entity haijawahi kupata CRITICAL THINKERS. Kazi za pale ni Monkeys See Monkeys Do.

Why can’t they research on the subject kwanza? Je , hiyo « RÉPUDIATION »yao ( rejection) ilishawahi kuwa na any positive impacts ?

Pamoja na KATAZO hilo , Je Cannabis hailimwi ? Haisafirishwi nje ? which makes it worse kwa sababu inalimwa out of knowledge na vijana wanapotea sana.

Wekeni miongozo na sample ; pelekeni wahusika kupata elimu ya kulima Medicinal Cannabis na Recreational Cannabis.

Sajilini wakulima wachache wafuate miongozo . Wasaidieni kupata masoko nchi za nje. Yapo mengi na ndio maaana kila siku Mmea hiyo inasafirishwa kwa bei ya KUTAPA. Kama hamujui namna ya kupata masoko kwa vijana wetu semeni tuwasaidie.... mbona TZ taifa kubwa but tunaachwa kimaarifa na technology na ka nchi kama RWANDA. CCM inaturudisha nyuma sana inatakiwa ikae kando tupate maendeleo ya kweli, hawana jipya tena Over 50 years https://jamii.app/JFUserGuide off

Kwanini msiwawezeshe vijana kupata TAALUMA hiyo na AJIRA na wajipatie kipato cha kutosha. Badala yake zao hulimwa na wapuuzi na ku EXPORT ! Vijana wetu wanabaki kubwia bangi na kuwa maloser out of knowing how, when and what!

Kagame tu hapo: kapeleka vijana wake kupata elimu now wanalima na ku export. Nyie mmpo busy na fantasy zisizo na kichwa wala miguu huku jamii inazidi kupotoka kwa kukosa MAARIFA
 
Kuna siku nlizidisha Ile dawa nliambiwa inaleta hypersensitivity for the first time nliona Random colors patterns nkawa naskia sounds hata za mbali kila kitu kilikuwa heightened ikafanya ni question everything nkawa nawaza was it a poison, am I dead yaan my mind was racing maswali kibao nkawa najibu najiuliza mwenyewe mara nakosa majibu it was real rough. yaan sku ile nkafikiri ndio was the end... aisee Nkawa naomba mungu na iliendelea kwa siku kazaa i was loosing my mind aisee. Sku ile hapana nkapelelekwa hadi kwa psychiatrist hizo dawa sio nzuri kabisa.

Nlikuwa na hallucinate, ndoto za ajabu kulala hakulaliki yaan everything was turning against me, was one of the most terrifying moments kibaya zaidi baadhi ya watu wakawa wanansema hapo hapo, wanasema tatizo ni langu why would i want hypersensitivity ...

Nb: usitumie dawa za kutaka kujua beyond au kupata hypersensitivity sio nzuri kabisa[emoji47]
 
Duh pole sana mkuu, kwahiyo baada ya kupelekwa kwa psychiatrist ulipewa msaada gani.. alikusaidiaje kuondokana na hiyo hali?
 
Dah! alienda akawa ananiuliza maswali kama nshawahi kuwaza suicide before mara maswali mengi kiukweli, maswali yakawa yananiboa wakat mm nlkuwa mzima kuchukua ile kitu boom ndio nkachange, hivyo basi akaandika kuwa nna possibly Bipolar & Psychosis ambazo ni mbaya kiukweli ila ahsante Mungu nilienda na Mama angu Mkubwa ambae alikuwa Doctor sema sio wa haya mambo ila alisema alisoma course kidogo akakataa mm kupewa dawa akasema zile dawa unalala sana unakuwa inactive sio nzuri yule psychiatrist akawa anforce npelekwe kwa ward zile kabisa sema familia ikagoma, ikanichukua ikanipeleka home.

Kwa hiyo aunt akawa haendi kazini yeye na mm ananipiga drip mwenyewe nkawa nmelazwa home kila dawa na matibabu akawa anafanya mwenyewe akawa kama personal therapist kwahyo nkishtuka au akiona naogopa ananiambia “Look at me hiyo ni hallucination” sio real “False belief ndio tatizo lako hakuna kinachotokea” maneno yake hayo nakumbuka, basi akiwa ananiona nna wasiwasi ananiambia “False Belief, I believe in you utapona akawa ananipa moyo” basi nkapambana kiukweli i owe her a lot alinsaidia ila nsingekuwa na supportive family aisee dah sijui ingekuwaje Thanks to Mom and her
 
Kuna siku nlizidisha Ile dawa nliambiwa inaleta hypersensitivity for the first time nliona Random colors patterns nkawa naskia sounds hata za mbali kila kitu kilikuwa heightened ikafanya ni question everything nkawa nawaza was it a poison, am I dead yaan my mind was racing maswali kibao nkawa najibu najiuliza mwenyewe mara nakosa majibu it was real rough. yaan sku ile nkafikiri ndio was the end... aisee Nkawa naomba mungu na iliendelea kwa siku kazaa i was loosing my mind aisee. Sku ile hapana nkapelelekwa hadi kwa psychiatrist hizo dawa sio nzuri kabisa.

Nlikuwa na hallucinate, ndoto za ajabu kulala hakulaliki yaan everything was turning against me, was one of the most terrifying moments kibaya zaidi baadhi ya watu wakawa wanansema hapo hapo, wanasema tatizo ni langu why would i want hypersensitivity ...

Nb: usitumie dawa za kutaka kujua beyond au kupata hypersensitivity sio nzuri kabisa[emoji47]

Dawa gani hizo Super Assassin!? Name them kindly
 
Dah! alienda akawa ananiuliza maswali kama nshawahi kuwaza suicide before mara maswali mengi kiukweli, maswali yakawa yananiboa wakat mm nlkuwa mzima kuchukua ile kitu boom ndio nkachange, hivyo basi akaandika kuwa nna possibly Bipolar & Psychosis ambazo ni mbaya kiukweli ila ahsante Mungu nilienda na Mama angu Mkubwa ambae alikuwa Doctor sema sio wa haya mambo ila alisema alisoma course kidogo akakataa mm kupewa dawa akasema zile dawa unalala sana unakuwa inactive sio nzuri yule psychiatrist akawa anforce npelekwe kwa ward zile kabisa sema familia ikagoma, ikanichukua ikanipeleka home.

Kwa hiyo aunt akawa haendi kazini yeye na mm ananipiga drip mwenyewe nkawa nmelazwa home kila dawa na matibabu akawa anafanya mwenyewe akawa kama personal therapist kwahyo nkishtuka au akiona naogopa ananiambia “Look at me hiyo ni hallucination” sio real “False belief ndio tatizo lako hakuna kinachotokea” maneno yake hayo nakumbuka, basi akiwa ananiona nna wasiwasi ananiambia “False Belief, I believe in you utapona akawa ananipa moyo” basi nkapambana kiukweli i owe her big time alinsaidia ila nsingekuwa na supportive family aisee dah sijui ingekuwaje Thanks to Mom and her

Story yako ni nzuri sana kwa mafunzo kwa wengine;

Je naweza kujua names of those substances ulizo ingest ?
How did you get there?

Nimefurahi pia kusikia you did not go into Pharmaceuticals, most of those medicine Benzodiazepines au hizo Serotonin Reuptake Inhibitors zingekuletea shida baadae. Dawa kama Fluoxetine, Amitriptiline, Haloperidol, Fluphenazine, etc etc yaani zingeenda kukutuliza But zingekuachia kidonda cha maisha.

I am glad kwamba Mummy wako alijua mapema you were mentally disturbed and psychologically challenged. Na I am doubt ulitumia hayo mavitu out of peer pressure.

Ni hatari sana.

Pole and thanks for sharing your personal story.
 
Back
Top Bottom