Psychedelic Drugs & Consciousness

Pole mkuu, ulichokiandika nimekielewa sana kwasababu nilishawahi kuona mtu akiwa kwenye hali kama hiyo uliyoielezea. Na pia huwa inapotea baada ya muda.
 

Hii Haloperidol nakumbuka nliandikiwa, Yes ilikuwa ni peer pressure ujana & ujinga nakumbuka jamaa aliniambia achana na pombe jaribu hii kitu alisema ni Edibles kwa kidonge aliita Capsule, sikuichukua right away nlikataa then siku zikaenda akawa anaiongelea siku nkasema okay ngoja leo nchukue mambo yakawa hivyo
 
Ila sidhani kama hiyo ilikuwa inatatizo kubwa sana, ila nachodhani ni kuwa hofu ilikutawala kwa kiasi kikubwa na maranyingi watu wakiwa kwenye hali kama uliokuwa nayo hofu kubwa wanayoipata ni kuhisi kuwa haitawezekana kurududia ukawaida waliouzoea (mental normality).
 

Sawa and POLE sana. Next time brother, usitumie anything kutokana na INFLUENCÉE. Get the knowledge and know how when and what.

Then, naomba nitajie JINA la hiyo chemical uliyokuwa unatumia. CAPSULE is not a medicine or chemical .... it is just formulation galenic like Tablets , Injection, Syrup, Capsule etc etc !

So what was the name of the CHEMICAL... was it Heroin , Cocaine , Cannabis, Amphétamine , Khat or DMT , DATURA or what .....?

This is open discussion we want to help others by example while keeping our selves connected to the UNIVERSE.

Ukipitia huu UZI vyema tumeonya kutumia HARD DRUGS bila ya knowledge.

Nimefanya Halmashauri, Mirembe na MNH , nimefanya kazi na DCEA , Cancer Hospitals like Ocean Road and KCMC Cancer dptmt....methadone centres in TZ .....before shifting to WHO.

Most of the psychosis cases za sisi VIJANA below 35 ni Marijuana INDUCED PSYCHOSIS.

Na wengine wanakuwa ni genetic disposition na psychosis yaani kwenye family line yao wana hiyo gene [emoji3459] ya UCHIZI. It might be recessives.... but inapoopata stimulant or associated factors ... lead a person into mental institutions.

Ndio maana, technically, kabla hujatumia haya mambo , you are required to know family history yako juu ya mental issues.

Hii genetic disposition ipo zaidi kwa jamii ya pwani. Asilimia kubwa ya watu wa pwani na visiwani wakitumi Psychedelic stuffs and Canabis..... they are likely to end up in mental issues or psychologically challenged.

We therefore discourage them to use the stuff. Or they can consume but closely monitoring.
-

Vijana wanapenda sana ku escape REALITY ya maisha. Huwezi kukimbia maumivu ya maisha. Ili ufanikiwe lazima UPIGANE,ni katika kupigana huko ndiyo unapata maumivu ya maisha.... it can be emotional pain, spirituality pain , au physical pain , economic pain etc etc ...... HOLD IT !

Nimetumia mimea yote almost includes but not limited to Psychedelic.

sina tatizo lolote I am smart , intelligent, Financialy OK, Handsome, healthy and good .... , and most importantly, I am a good SOUL and better human being . I never hated anyone, harm anyone, I feel sorry for those who are in sorrow and pain.

TUJIFUNZE or else, we ruin our lives .
 

Asante kwa maelezo mazuri ila ungetusaidia ni jinsi gani ya kuandaa ingependeza zaidi kuliko kutupa elimu nusu nusu,
 

apo kwenye kuiandaa ndipo napo subiri kwa ham
 
Ndg zangu tulofaidika na kupata ukombozi kutoka kuaminishwa tango pori, mikono juu tafadhali.

Kwa sasa hivi Niko ktk stage yaku observe the naked facts with evidence. Sina haraka. But from a distance I can smell the forbidden facts.
 
Ndg zangu tulofaidika na kupata ukombozi kutoka kuaminishwa tango pori, mikono juu tafadhali.

Kwa sasa hivi Niko ktk stage yaku observe the naked facts with evidence. Sina haraka. But from a distance I can smell the forbidden facts.
Naomba ufafanuzi wako mkuu Querido

Sent from my Infinix X572 using JamiiForums mobile app
 
Hivi ni dawa gani ya kuponyesha mtu aliye addict na ulevi wa pombe za kienyeji(gongo), mzee wangu ana shida hii.
 
I'm crying! 😢
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…