Psychedelic Drugs & Consciousness

Ngoja nile chakula kwanza then ntarudia ulichoandika...
 
Hivi sheria inasemaje kuhusiana na hii psychedeli drug kama san pedro kama mtu ameipanda kwake labda, au importation yake kuja bongo . Sheria ikoje kwa upande huu

Mk54
 
Hivi sheria inasemaje kuhusiana na hii psychedeli drug kama san pedro kama mtu ameipanda kwake labda, au importation yake kuja bongo . Sheria ikoje kwa upande huu

Mk54
Bora ukutwe na bangi kuliko huu mzigo, kwa sababu serikali inajua mzigo ukiangukia mikono tofauti na anayejua anachofanya basi utapoteza watu wengi.
 
Tell us your heart and what you believe..
 
Ebu eleza zaidi hapo kwenye nyama based on maasai na the rest of us.. kuna una taarifa zaidi please
 
Bora ukutwe na bangi kuliko huu mzigo, kwa sababu serikali inajua mzigo ukiangukia mikono tofauti na anayejua anachofanya basi utapoteza watu wengi.
kupoteza watu wengi kivipi? kwamba wananchi wataamka na kujua kwamba walikuwa misukule ama!?
 
Drugs aint for everybody.
Neither San Pedro nor mescaline appear to have caused any deaths—not by their physical action, anyway. As with any psychedelic, poorly planned set and setting can lead to risks, including hazardous environments, being in public, etc. It may also cause problems for those with a history of mental illness, heart conditions, high blood pressure, and liver issues, as well as pregnant or breastfeeding women.
 
Ever heard of a bad trip?! The same drugs to make you whole can be the same drugs to break you apart if you have no knowldge of what those drugs could do to you.
Mimi nimeshatumia weed, bado sijatumia pschedelics lakini naweza kusema, weed is harmless kwangu lakini kwa mwingine ikawa otherwise. The same goes to psychedelics.

Nina miaka mingi natumia weed lakini lakini napata faida kubwa sana, lakini nina rafiki yangu wa utotoni akivuta weed anajishtukia sana. Mnaweza kuwa mmekaa akakuuliza mbona kama nimepiga kelele wakati alikuwa very calm. Kwa hiyo kama ataendelea kusmoke imagine ni nini kitamkumba. Hapo ndipo serikali itakuja kuingilia kati na kukamata accomplice kama sisi wavutaji wenziwe na plugs (pusha). Mind you that weed is not as a hardcore drug as psychedelics, the latter do rewire your brain and alter your brain chemistry, so if unknowingly of the right amount of drug intake, or without the spiritual guide. You could overdose or end up in a bad trip which could send you in a mental institutions.
So, do you think the government will simply give your plant a boarder pass?!
 

Bongo kuna psychdellics??
 
Vipi kuhusu (psychdellic Music) Huwa inasaidia?
Kuitumika Kama mbadala wa psychdellics drugs.
 
Mwaka jana March nilikunywa Datura, nilipata psychedelic effects ndani ya nusu saa. Though people claim about its toxicity I didnt get pretty much of any poisonous or serious effects (such as delirium or urine retention and death) as it has been insinuated in most online articles.

Used weed for more than six years, though its not psychedelic itself, but it made me reflect on more on myself and self worth as am an artist. I decided to quit last year as I found being clear headed more of a productive and profound feeling, and back when I was puffin, I stopped dreaming, and weed was becoming more of an insidious type of drug.
On the first days of quitting, I had lucid and wildest dreams, night sweats, imbalanced emotions were the signs of withdrawal of the drug from my body.
 
Duh! seems like a bit scary
Not really, but the dreams were so intense, to the point it seems like real life.
On the side note, the mood swings were really hard to supress, as they lasted for the first three weeks, since quitting.
I do believe it takes a month for THC to fully clean up and withdrawal symptoms to get away.

But I don't regret ever smoking weed since it gave me the strength to carry on, and made more creative, as my job requires more creativity and I have to sit for hours on my computer screen, so it was something that made working really fun.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…