Psychedelic Drugs & Consciousness

mbona nchi nyingi za America kusini zimekuwa zikitumia hizi drugs naturally and artificial, kwa maelfu ya miaka sasa, lakini sio bora na salama kama jamii za mfano hapa duniani? unachokisema sio kipya kufanyika kwa jamii ya wanadamu, but matokeo imekuwa kuibuka kwa jamii mbovu na hatari ambazo sio salama kwa uso wa dunia.

mm nilisoma mafundisho ya Ellen G. whites juu ya natural history ya hii dunia na phases za vizazi vya binadamu ambavyo vimewahi kuikalia hii dunia kwa zaidi ya miaka 6000 tangu binadamu kuumbwa, jamii yetu hii ya sasa ndio yenye maarifa madogo zaidi kuliko vyote, plus na umri mdogo sana, hii namaanisha jamii zilizopita zilikuwa na maarifa ya juu sana hivyo mungu hakupendezwa na ubunifu wao, aliwaangamiza. chanzo cha dhambi ilikuwa kutafuta maarifa zaidi beyond our limits, hicho ndio Eva alifanya.... akapewa maarifa mabaya, gunduzi nyingine hufanya viumbe wenye gene za Malaika waasi, ambao walijivika umbo la kibinadamu.. hivyo viumbe vipo, usishangae
 

There is one thing you need to differentiate. Wanatumia for which purpose yaani wanatumia kwa lengo gani. Psychedelic inamatumizi mengi.

1. For Recreational ambayo hii ndiyo watu wengi hudondokea kwenye hili kundi. Wengi hutumia kukimbia shida zao za maisha.
-
Nimeuliza hapo juu ; uliza vijana 5 leo wanaotumia Canabis ; muulize kwanini unavuta Bangi, then pay attention Kwenye majibu yake.
-
Utagugundua nini maana ya Recreational . Au waulize wanywa pombe, kwanini unakunywa Pombe, pay attention Kwenye majibu.
-
Hii mimea yote na vinywaji vyote viliwekwa kwa ajili yetu.
-
Mfano mmea kama wa Papaver somniferum ambao utomvu wake( ule utomvu wa kama mpapai) unaenda kukaushwa kama Opium ambayo mwisho wa siku tunaenda kutengeneza Morphine ambayo ni Analgesic Yaani Painkiller.
-
Imagine watu wa Cancer wangekuwa wanaishi vipi bila huu mmea ? Bila ya Morphine Injection or Powder. Tembelea pale Ocean Road uone Morphine Powder inavo bwiwa. We are talking professionally not blah blah . ‘
-
Shida ni kwamba you need to learn and stop limiting yourself, however I accept kwamba binadamu sisi ni changamoto.....you know the precursor of Heroin is Morphine. Morphine is obtained from Opium. Opium is a dried milky Juice ( Utomvu) obtained from the unripe seeds of Papaver Somniferum kwa maana nyingine ni kwamba binadamu tumepewa mmea for good purpose sisi tukaenda kutumia Morphine kuzalisha Heroin . Heroin is a devil in chemical form, it is not naturally occurring, it is lab compound.

Once you start using Heroin, it will never leave you until it has completely destroyed your life and finally takes you to death. Tumeona kina Mangwea, Ray C how handsome and beautiful they were.
-
Ray C is still struggling the after-effect . Nimemuhudumia sana Kwenye Methadone pale Mwananyamala Hosp before I left the Country. She cannot get out of Heroin despite of Methadone. The only way to help her is to subject into DMT + MAOI ile mbege ya Amazon, the red Vine , Ayahuasca

So shida inaonekana hapa ipo Kwenye ELIMU na Kuwekwa wazi juu ya Benefits of Psychedelic and side effects if you misuse.

2. For Creativity. Believe it or not , most of the good writers , most of the books, artist, Engenears , movies , science etc etc vina exist kwa msaada wa Psychedelic .

They transcendented their consciousness then waka project their minds out of the universe wakaja na majibu ya maswali magumu , and they said it was revelation..

Soma Historia za Scientists, Autobiography, Literature etc etc

3. Self realization and power within

4. Fearless. When you consume Psychedelic, you realize that there is no reason to be Afraid...... ever !

5. Spiritual Transcendence, Astral Projection, Profound Meditation : these Psychedelic helps you to achieve the transcendence beyond the limitations of this Mundane World.

Kuibuka kwa jamii mbovu ni ukosefu wa elimu, kufanya vitu bila maarifa.

All in all I respect your perspective and limitations based on your faith. I always believe that faith is something personal and no one has the right to judge someone’s faith.

It might not make sense to me but it makes sense to others , we therefore have to respect and live in peace and harmony. It’s called MATURITY !

View attachment 1707416

The Milky Juice( Utomvu) when dried it’s called Opium. Opium inaenda kutengeneza Morphine. Tuna Dawa inayoitwa Morphine Injection and Powder hutumika sana kwa wagonjwa wa Saratani. Morphine hiyo hiyo inatumika kutengeneza Heroin, A devil in the chemical form anae ku promise furaha week ya kwanza tu, then mziki wake utauona kadiri Muda unavoenda unless you are lucky ukawahiwa.View attachment 1707417
 
kaka hizo drugs zina stimulate grandiose, ambayo actually ni mental illness. brain cells zikiwa hyperactivated na increased imbalance of neural chemicals... hapo utakuwa umetengeneza ukichaa wa msimu, kubali hizo drugs hazina faida sana za kuleta mabadiliko chanya kwa maisha yetu ya duniani, lakini ni dhahiri huleta matokeo kwa binadamu ambaye hana hulka na tabia za kiubinadamu.binadamu wa namna hii hana maamuzi sahihi ya kuifanya dunia iwe salama sababu ya mihemuko iliyoharibiwa

kuna mfano, Amphetamines ni drugs zilizogundulika zikitumiwa na waasi wa IS, Kuwapa ujasiri wa kufanya matendo ya kikatili..... hivyo unakuta sio wanadamu wa kawaida, wameharibiwa akili, na psychology, mission ngumu za kijeshi zenye dalili nyingi za kushindwa, wanajeshi wake hupewa hizi drugs kama sehemu ya mafunzo, ili kumtoa akili zenye ufahamu, na kuweza kufata amri tu,

kaka usipromote hizi drugs... tutapata binadamu wenye kizazi cha ukichaa, hivyo badala ya kuishi maisha ya furaha hii kidogo tuliyo nayo, basi tutavurugana sana, na twaweza tesana sisi kwa sisi binadamu..... # am a doctor too!
 


May be you should read the thread from top to bottom to understand.

Nahisi kama hujaelewa kinachozungumzwa.

No one is promoting hard drugs, read carefully please with the intent to understand not to reply.

Pia, Amphetamines has been there before hao Waasi au Wajeshi .

Pia Amphetamines sio Psychedelic substance. You need to understand kinachojadiliwa.

Amphetamines ni Stimulant ya CNS kama ilivyo Khat Yaani Mirungi.

Also unatakiwa kujifunza kwamba pamoja kuwa Amphetamines inakuwa misuse na abused, it has also medical uses na inakuwa prescribed under doctor guidance .

Kwenye Post zangu, hakuna sehemu nimetaja Amphetamines, ni wewe ndio umetaja. And I did not ask whether you are a doctor or not. This topic has nothing to do na U doctor wako.
-
I am not a doctor, Incase ulihisi mimi ni doctor.
-
The topic on the table is Psychedelic and Change of Consciousness. May be you should remain on the topic, and kindly share your experience , not your title
 
topic nilishasoma nimeelewa, shida unataka kunishape niendane na guidelines zako
 
Mkuu hii DMT plant containing unaitumiaje? Huku kwetu ipo mingi tu inajiotea mashambani na huo mmea wenye maua yanayotanda jirani yangu amepanda kama maua.
 
Are magic mushrooms available in TZ?
 
A
Nimeshasoma sana kuhusu psychdelic mushrooms, au magic mushrooms. Hizi mushrooms ni popular sana nchi za magharibi, lakini sijawahi kufahamu ni aina zipi za mushrooms ambazo zina psychdelic effects.
Are magic mushrooms available in TZ?
 
Mkuu umetisha sana. Yaani nimejifunza vingi sana hapa kutoka kwako. Bila Shaka watu wengi watakaopitia hii comment yako watu pata vitu vingi sana. Thank you so much 🙏.
 
Hili suala linahitaji discussion mkuu. Elen G Whites angezaliwa kipindi hiki ambacho Elon Musk anaenda colonize space, asingesema alichosema kuhusu akili za binadamu waliopo kwenye hii civilization.

Nachojua mimi, akili ya binadamu ina get better with time.
Nakubaliana na ww kwamba inawezekana matumizi ya ivi vitu yanadhibitiwa kuleta order kwa namna fulani.
 
Hahaha, mkuu MK54 🙌🏽
 
Mkuu hii DMT plant containing unaitumiaje? Huku kwetu ipo mingi tu inajiotea mashambani na huo mmea wenye maua yanayotanda jirani yangu amepanda kama maua.

Mkoa gani huko kwenu inapojiotea ?
 
Dunia haina miaka 6,000.. Umri wa sayari ya dunia ni angalau miaka biliomi 4.5
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…