aikamatemu
JF-Expert Member
- Jan 29, 2020
- 464
- 1,897
[emoji23]mkuu IQ yake ipo njema sana heshima kwake na elimu aliyotuongezea[emoji109][emoji109]Mkuu unaishi na wanadamu ila wewe umetengwa na unaishi ulimwengu wako.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23]mkuu IQ yake ipo njema sana heshima kwake na elimu aliyotuongezea[emoji109][emoji109]Mkuu unaishi na wanadamu ila wewe umetengwa na unaishi ulimwengu wako.
mbona nchi nyingi za America kusini zimekuwa zikitumia hizi drugs naturally and artificial, kwa maelfu ya miaka sasa, lakini sio bora na salama kama jamii za mfano hapa duniani? unachokisema sio kipya kufanyika kwa jamii ya wanadamu, but matokeo imekuwa kuibuka kwa jamii mbovu na hatari ambazo sio salama kwa uso wa dunia.Habari zenu wakuu,
Natanguliza salamu za pole kwa wale waliofiwa na wapendwa wao katika kipindi hiki kigumu. Kikubwa tuwasikilize watalaam wa afya na tuwakinge tuwapendao.
Mtanisamehe kwa kuchanganya lugha zote mbili katika hii thread lakini naomba kwa wale watakao kua interested with the thread watoe kile wanakifahamu maana I still have a room for new knowledge.
Ningependa nianze na one of my lovely quote from the evolutionary biologist, Julian Huxley " We are the means of the Universe to become conscious of itself." Ukiangalia vizuri kwenye hii quote, unaona kuna kitu special human beings tumepewa compared to the rest of the known species na kuna kitu kingine pia kinachoitwa consciousness. Kitu special tulichopewa binadamu ni IMAGINATION. Kila specie iko na intelligence lakini for us, we have an extra thing called Imagination which is a root of all creations.
Nimekuwa ni shabiki mkubwa wa William Blake hasa katika zile poem ziko na mstari kama "To see a World in a Grain of Sand and a Heaven in a Wild Flower, Hold Infinity in the palm of your hand and Eternity in an hour" . Huu mstari umetoka kwenye poem ya the great Blake inaitwa (Auguries of Innocence, 1863). Lakini pia kuna mstari kama "If the doors of perception were cleansed every thing would appear to man as it is, Infinite. For man has closed himself up, till he sees all things thro' narrow chinks of his cavern”. Huu mstari umetoka kwenye kitabu chake Blake kinaitwa (The Marriage of Heaven and Hell, 1793), na ndio huu mstari ulimu-influence Aldous Huxley kuandika kitabu kinaitwa (The Doors of Perception, 1954) ambapo jamaa alijaribu kuelezea psychedelic experience baada ya kutumia psychedelic drug inayoitwa Mescaline (peyote and San Pedro cactus). Pyschedelic Experience (mimi napenda kuita spiritual experience) alioipata Aldous Huxley ni ile alioisema Blake, seeing a world in a grain of sand and a heaven in a wild flower. The pychedelic drug cleansed the doors of perception of Huxley and everything appeared to him as infinite.
Graham Hancok kwenye TED talk yake ya The War on Consciouness ambayo by the way imekua banned for some weird reasons, anajaribu kuelezea namna ambavyo researches kwenye pyschedelic drugs na drugs zenyewe zinavopigwa vita sana wakati experiments nyingi zimeonesha hizi drugs hazina side effects zozote mwilini lakini wakati huo huo drugs kama alcoholic drinks, energy drinks na cigarettes ambazo ziko na side effects katika miili yetu, hazipigwi vita na hakuna sheria ngumu zinazobana matumizi yake . Kwenye hio talk, anatuongezea another Psychedelic drug inaitwa Ayahuasca ambayo iko na uwezo wa ku-alter hii normal awareness tulionayo na kutupeleka kwenye other realm/dimension/plane of consciousness.
Hapa chini nitaandika literature review, nikisahau kum-cite mtu msinifokee sana.
What's consciousness by the way? Ukisoma kitabu cha Divine Matrix (2007) by Gregg Braden, au ukifatilia vizuri mafundisho ya Buddha na Jesus Christ (hasa kwenye Gospel of Thomas), utaona kuna kitu kinakaziwa sana. We're one. We are the intelligent energy (pure love). We are lot more than our bodies. Don't u agree with this? then let's go to Quantum Physics. According to Quantum Phyiscs, what looks like the solid world to us is really not so solid at all. Why? Our world is made up of atoms, and those atoms are made up of sub-atomic particles, only the particles aren’t particles at all. They are fluctuations of energy (vibrations). To to be one with pure love, one must transcend to our his or her higher self. To transcend, one must first die. That's if you die before you die, you wont die when you die. Wengi tunasema we are not human beings having spiritual experience but the spiritual beings having human experience, lakini hatujui what doesn't it mean and what's the big deal with it.
According to Russell Targ in his book Limitless Mind (2004), anasema "In a meditative state of mind, we can become aware that we are not a body, but rather limitless, non-local awareness animating or residing as a body. Resting in the spacious flow of loving awareness - which some call God - we discover that we already have, right now within us, everything we could possibly be looking for". That's Our minds are star-gates, our bodies celled of mysteries. Hata ukisoma Luke 17:20-21, utaona Jesus Christ anakazia kwamba heaven is within.
So far nilivofatilia (hapa nitaomba wajuzi waongeze nyama), kuna three ways za kuwa katika higher version (heaven) of you, viz; Using Psychedelics Drugs, Practising Meditation and Yoga. Nimewai meditate kidogo na niliona namna ambavyo unavokua different from ukiwa katika hali ya kawaida. Maada ya leo ningependa ijikite hapa kwenye matumizi ya Pyschedelics drugs katika ku-alter consciousness, na upatikanaji wake hapa kwetu Tanzania na sheria zetu zinasemaje.
Binafsi ni mfatiliaji mkubwa wa Quantum Theory and Mystics. Lakini pia ni mdau mkubwa wa kazi za William Blake, Joseph Campbell, Gregg Braden, Graham Hancok, Allan Watts, Rusell Targ, Terrence Mckenna, Dan Brown, Nikola Tesla, Carl Sagan and other few mystical people ever lived on our planet earth. Naomba wenye kupenda discussion kama hizi tuchekeane PM au tutaftane mimi naishi Dar es salaam.
Ningependa niwaache na quote moja ya Albert Einstein,
"The most beautiful thing we can experience is the mysterious. It is the source of all true art and science. He to whom the emotion is a stranger, who can no longer pause to wonder and stand wrapped in awe, is as good as dead; his eyes are closed. The insight into the mystery of life, coupled though it be with fear, has also given rise to religion. To know what is impenetrable to us really exists, manifesting itself as the highest wisdom and the most radiant beauty, which our dull faculties can comprehend only in their most primitive forms-this knowledge, this feeling is at the center of true religiousness."
mbona nchi nyingi za America kusini zimekuwa zikitumia hizi drugs naturally and artificial, kwa maelfu ya miaka sasa, lakini sio bora na salama kama jamii za mfano hapa duniani? unachokisema sio kipya kufanyika kwa jamii ya wanadamu, but matokeo imekuwa kuibuka kwa jamii mbovu na hatari ambazo sio salama kwa uso wa dunia.
mm nilisoma mafundisho ya Ellen G. whites juu ya natural history ya hii dunia na phases za vizazi vya binadamu ambavyo vimewahi kuikalia hii dunia kwa zaidi ya miaka 6000 tangu binadamu kuumbwa, jamii yetu hii ya sasa ndio yenye maarifa madogo zaidi kuliko vyote, plus na umri mdogo sana, hii namaanisha jamii zilizopita zilikuwa na maarifa ya juu sana hivyo mungu hakupendezwa na ubunifu wao, aliwaangamiza. chanzo cha dhambi ilikuwa kutafuta maarifa zaidi beyond our limits, hicho ndio Eva alifanya.... akapewa maarifa mabaya, gunduzi nyingine hufanya viumbe wenye gene za Malaika waasi, ambao walijivika umbo la kibinadamu.. hivyo viumbe vipo, usishangae
kaka hizo drugs zina stimulate grandiose, ambayo actually ni mental illness. brain cells zikiwa hyperactivated na increased imbalance of neural chemicals... hapo utakuwa umetengeneza ukichaa wa msimu, kubali hizo drugs hazina faida sana za kuleta mabadiliko chanya kwa maisha yetu ya duniani, lakini ni dhahiri huleta matokeo kwa binadamu ambaye hana hulka na tabia za kiubinadamu.binadamu wa namna hii hana maamuzi sahihi ya kuifanya dunia iwe salama sababu ya mihemuko iliyoharibiwa

kuna mfano, Amphetamines ni drugs zilizogundulika zikitumiwa na waasi wa IS, Kuwapa ujasiri wa kufanya matendo ya kikatili..... hivyo unakuta sio wanadamu wa kawaida, wameharibiwa akili, na psychology, mission ngumu za kijeshi zenye dalili nyingi za kushindwa, wanajeshi wake hupewa hizi drugs kama sehemu ya mafunzo, ili kumtoa akili zenye ufahamu, na kuweza kufata amri tu,
kaka usipromote hizi drugs... tutapata binadamu wenye kizazi cha ukichaa, hivyo badala ya kuishi maisha ya furaha hii kidogo tuliyo nayo, basi tutavurugana sana, na twaweza tesana sisi kwa sisi binadamu..... # am a doctor too!

topic nilishasoma nimeelewa, shida unataka kunishape niendane na guidelines zakoMay be you should read the thread from top to bottom to understand.
Nahisi kama hujaelewa kinachozungumzwa.
No one is promoting hard drugs, read carefully please with the intent to understand not to reply.
Pia, Amphetamines has been there before hao Waasi au Wajeshi .
Pia Amphetamines sio Psychedelic substance. You need to understand kinachojadiliwa.
Amphetamines ni Stimulant ya CNS kama ilivyo Khat Yaani Mirungi.
Also unatakiwa kujifunza kwamba pamoja kuwa Amphetamines inakuwa misuse na abused, it has also medical uses na inakuwa prescribed under doctor guidance .
Kwenye Post zangu, hakuna sehemu nimetaja Amphetamines, ni wewe ndio umetaja. And I did not ask whether you are a doctor or not. This topic has nothing to do na U doctor wako.
-
I am not a doctor, Incase ulihisi mimi ni doctor.
-
The topic on the table is Psychedelic and Change of Consciousness. May be you should remain on the topic, and kindly share your experience , not your title
topic nilishasoma nimeelewa, shida unataka kunishape niendane na guidelines zako
Are magic mushrooms available in TZ?Nimeshasoma sana kuhusu psychdelic mushrooms, au magic mushrooms. Hizi mushrooms ni popular sana nchi za magharibi, lakini sijawahi kufahamu ni aina zipi za mushrooms ambazo zina psychdelic effects.
Mkuu umetisha sana. Yaani nimejifunza vingi sana hapa kutoka kwako. Bila Shaka watu wengi watakaopitia hii comment yako watu pata vitu vingi sana. Thank you so much 🙏.It is true; kwa mfano pia, Creativity ya Pharmaceuticals Industry and Medicine Researchers wanategemea sana Hii mimea.
-
Yaani mtu astue kwanza, apate ile Transcendence ndiyo awaze nini cha kufanya. Baadae Mtu anakuja na majibu na kama ni Dawa atakwambia tufanye hivi hii dawa itatibu : na kweli inatibu ; ukimuuliza inafanye kazi vipi?! Atakwambia sijui. Kwasababu wanapata majibu wakiwa kwenye Transcendance Mode. Sasa wakirudi Kwenye Normal Mode, hawezi kupata Majibu. Unless other researchers waje kufanyia kazi ile idea yake na kuitengeneza kisayansi zaidi.
Ndiyo ile unasikia dawa hii inatibu ugonjwa fulani but mechanism is unknown.
Hollywood wengi wanatoa idea za move za kufa mtu wakistua na psychedelic substance. Nyimbo nyingi za kina The Beatles, Bob Marley na wengine ili waandike mashairi ambayo ni more meaningful and spiritual ni lazima kwanza wa transcendent beyond their minds limit.
-
Na hii ndio Sababu nyimbo zao mpaka leo leo still makes sense to this life.
-
The song like Redemption, unaona kabisa Bob was out of his body. The Movie like The Wizard Oz, it has a lot of hidden message juu ya hizi Psychedelic.
The Movie like American Beauty.
-
Siri kubwa ya Steve Jobs, ipo kwenye Psychedelic. Alisafiri hadi India, under spiritual guidance, Job contacted DMT and LSD as a natural plant. He also learned about the Power Within.
-
It is so fascinating
-
Hawa Spirutual Teachers , kama mapadri, wachungaji wenye nguvu, psychedelics ndio siri yao kubwa. View attachment 1707072
The DMT , Tree of good and evil
Aisee kwa Tz hii yetu, sina uhakika. May be it’s a lack of interest in it.Are magic mushrooms available in TZ?
Hili suala linahitaji discussion mkuu. Elen G Whites angezaliwa kipindi hiki ambacho Elon Musk anaenda colonize space, asingesema alichosema kuhusu akili za binadamu waliopo kwenye hii civilization.mbona nchi nyingi za America kusini zimekuwa zikitumia hizi drugs naturally and artificial, kwa maelfu ya miaka sasa, lakini sio bora na salama kama jamii za mfano hapa duniani? unachokisema sio kipya kufanyika kwa jamii ya wanadamu, but matokeo imekuwa kuibuka kwa jamii mbovu na hatari ambazo sio salama kwa uso wa dunia.
mm nilisoma mafundisho ya Ellen G. whites juu ya natural history ya hii dunia na phases za vizazi vya binadamu ambavyo vimewahi kuikalia hii dunia kwa zaidi ya miaka 6000 tangu binadamu kuumbwa, jamii yetu hii ya sasa ndio yenye maarifa madogo zaidi kuliko vyote, plus na umri mdogo sana, hii namaanisha jamii zilizopita zilikuwa na maarifa ya juu sana hivyo mungu hakupendezwa na ubunifu wao, aliwaangamiza. chanzo cha dhambi ilikuwa kutafuta maarifa zaidi beyond our limits, hicho ndio Eva alifanya.... akapewa maarifa mabaya, gunduzi nyingine hufanya viumbe wenye gene za Malaika waasi, ambao walijivika umbo la kibinadamu.. hivyo viumbe vipo, usishangae
Unaishi wapi mkuu nikutembelee 😃Mkuu hii DMT plant containing unaitumiaje? Huku kwetu ipo mingi tu inajiotea mashambani na huo mmea wenye maua yanayotanda jirani yangu amepanda kama maua.
Hahaha, mkuu MK54 🙌🏽There is one thing you need to differentiate. Wanatumia for which purpose yaani wanatumia kwa lengo gani. Psychedelic inamatumizi mengi.
1. For Recreational ambayo hii ndiyo watu wengi hudondokea kwenye hili kundi. Wengi hutumia kukimbia shida zao za maisha.
-
Nimeuliza hapo juu ; uliza vijana 5 leo wanaotumia Canabis ; muulize kwanini unavuta Bangi, then pay attention Kwenye majibu yake.
-
Utagugundua nini maana ya Recreational . Au waulize wanywa pombe, kwanini unakunywa Pombe, pay attention Kwenye majibu.
-
Hii mimea yote na vinywaji vyote viliwekwa kwa ajili yetu.
-
Mfano mmea kama wa Papaver somniferum ambao utomvu wake( ule utomvu wa kama mpapai) unaenda kukaushwa kama Opium ambayo mwisho wa siku tunaenda kutengeneza Morphine ambayo ni Analgesic Yaani Painkiller.
-
Imagine watu wa Cancer wangekuwa wanaishi vipi bila huu mmea ? Bila ya Morphine Injection or Powder. Tembelea pale Ocean Road uone Morphine Powder inavo bwiwa. We are talking professionally not blah blah . ‘
-
Shida ni kwamba you need to learn and stop limiting yourself, however I accept kwamba binadamu sisi ni changamoto.....you know the precursor of Heroin is Morphine. Morphine is obtained from Opium. Opium is a dried milky Juice ( Utomvu) obtained from the unripe seeds of Papaver Somniferum kwa maana nyingine ni kwamba binadamu tumepewa mmea for good purpose sisi tukaenda kutumia Morphine kuzalisha Heroin . Heroin is a devil in chemical form, it is not naturally occurring, it is lab compound.
Once you start using Heroin, it will never leave you until it has completely destroyed your life and finally takes you to death. Tumeona kina Mangwea, Ray C how handsome and beautiful they were.
-
Ray C is still struggling the after-effect . Nimemuhudumia sana Kwenye Methadone pale Mwananyamala Hosp before I left the Country. She cannot get out of Heroin despite of Methadone. The only way to help her is to subject into DMT + MAOI ile mbege ya Amazon, the red Vine , Ayahuasca
So shida inaonekana hapa ipo Kwenye ELIMU na Kuwekwa wazi juu ya Benefits of Psychedelic and side effects if you misuse.
2. For Creativity. Believe it or not , most of the good writers , most of the books, artist, Engenears , movies , science etc etc vina exist kwa msaada wa Psychedelic .
They transcendented their consciousness then waka project their minds out of the universe wakaja na majibu ya maswali magumu , and they said it was revelation..
Soma Historia za Scientists, Autobiography, Literature etc etc
3. Self realization and power within
4. Fearless. When you consume Psychedelic, you realize that there is no reason to be Afraid...... ever !
5. Spiritual Transcendence, Astral Projection, Profound Meditation : these Psychedelic helps you to achieve the transcendence beyond the limitations of this Mundane World.
Kuibuka kwa jamii mbovu ni ukosefu wa elimu, kufanya vitu bila maarifa.
All in all I respect your perspective and limitations based on your faith. I always believe that faith is something personal and no one has the right to judge someone’s faith.
It might not make sense to me but it makes sense to others , we therefore have to respect and live in peace and harmony. It’s called MATURITY !
View attachment 1707416
The Milky Juice( Utomvu) when dried it’s called Opium. Opium inaenda kutengeneza Morphine. Tuna Dawa inayoitwa Morphine Injection and Powder hutumika sana kwa wagonjwa wa Saratani. Morphine hiyo hiyo inatumika kutengeneza Heroin, A devil in the chemical form anae ku promise furaha week ya kwanza tu, then mziki wake utauona kadiri Muda unavoenda unless you are lucky ukawahiwa.View attachment 1707417
Mkuu hii DMT plant containing unaitumiaje? Huku kwetu ipo mingi tu inajiotea mashambani na huo mmea wenye maua yanayotanda jirani yangu amepanda kama maua.
Dunia haina miaka 6,000.. Umri wa sayari ya dunia ni angalau miaka biliomi 4.5mbona nchi nyingi za America kusini zimekuwa zikitumia hizi drugs naturally and artificial, kwa maelfu ya miaka sasa, lakini sio bora na salama kama jamii za mfano hapa duniani? unachokisema sio kipya kufanyika kwa jamii ya wanadamu, but matokeo imekuwa kuibuka kwa jamii mbovu na hatari ambazo sio salama kwa uso wa dunia.
mm nilisoma mafundisho ya Ellen G. whites juu ya natural history ya hii dunia na phases za vizazi vya binadamu ambavyo vimewahi kuikalia hii dunia kwa zaidi ya miaka 6000 tangu binadamu kuumbwa, jamii yetu hii ya sasa ndio yenye maarifa madogo zaidi kuliko vyote, plus na umri mdogo sana, hii namaanisha jamii zilizopita zilikuwa na maarifa ya juu sana hivyo mungu hakupendezwa na ubunifu wao, aliwaangamiza. chanzo cha dhambi ilikuwa kutafuta maarifa zaidi beyond our limits, hicho ndio Eva alifanya.... akapewa maarifa mabaya, gunduzi nyingine hufanya viumbe wenye gene za Malaika waasi, ambao walijivika umbo la kibinadamu.. hivyo viumbe vipo, usishangae
nilisema tangu wanadamu wa exist kwenye uso wa dunia, toka adamu.. ni miaka 6000. sio billions of yearsDunia haina miaka 6,000.. Umri wa sayari ya dunia ni angalau miaka biliomi 4.5
There have been evidence of human existence which dates more than 180,000 years ago! Humanity is far older than 6,000 years!nilisema tangu wanadamu wa exist kwenye uso wa dunia, toka adamu.. ni miaka 6000. sio billions of years