Psychedelic Drugs & Consciousness

I quote you very well everything is poison just an appropriate quantity make it not.
 
I know that the spiritual door has been completely closed for many of us, but why drugs, the names don't change the certainty.

But they are not drugs.

Swali lako ni sawa na kuuliza kwanini natumia dawa nikiumwa wakati About 40% ya dawa yenyewe ni sumu.

Paracetamol ni dawa tunatumia sana kwa maumivu, lakini je tunajua madhara yake Kwenye ini? Na ukizidisha dose unakufa. Just meza vidonge 20 vya Acetaminophen( Paracetamol) uone kama hatumuokoti Mtu.

Au dawa ya pressure kama Hydralazine, it can cause tachycardia leading to heart failure, Fluid Retention leading to oedema etc etc but ndio dawa watu wanameza.

Siku hizi magonjwa kama ya Figo, kisukari Ini yamekuwa mengi, the reason behind ni madawa tunayotumia when we are sick.

You should ask pia kama tunatumia dawa kwa ajili ya kupona, why tena zinatufanya sick zaidi.

You treat diabetes you end up in high blood pressure, diabetes haijapona tayari umeshajiongezea na pressure.

You treat Obesity you end up in
diabetes.

You treat cholesterols you end up
In heart failure and kidney disease. Figo imekufa unaanza balaa la kwenda kila week Hospial kufanyiwa Haemodyalisis. Na ukija bima wanakwambia hii haipo kwenye bima hii huduma, lipia..... my friend unapotea.

You get the point
 
I feel you, but an apple can not be banana, ninakubaliana na sehemu ya andiko ila sasa njia ya kufungua hio mind ndio bado nahitaji juhudi binafsi za kusoma zaidi.

For my personal opinion not facts, nahis kurudi kwa Mungu ndio kutarudisha hio spiritual awereness ambayo tunaitafuta katikat hizo divine plants. In the end the I learned a lot too
 

I respect your opinion Brother. Mawazo yako pia ni Chanya.
 
There have been evidence of human existence which dates more than 180,000 years ago! Humanity is far older than 6,000 years!
I believe in science but I don't believe human existence dates back up to 180000 years. U want to tell me that it took 180000 years to reach the current technological advancement??

Hata population haimake sense tungekuwa tusha deplete resources zote and our population could be way higher than the current number.

Unless hao humans unaozungumzia walikuwa primitive ( not fully evolved) .
 
Elon musk is a visionary but kuhusu mars naona anandoto za alinacha.

Dream za Ku colonize mars bado sana. We have a lot to learn kuhusu mars intact duniani tu hapa we still have a lot to learn.

I beleie that one day humans might become interplanetary species however sio in the near future.

The martian environment is too harsh for humans to. survive ( with our current technology)
 
They are not drugs. They are Devine Plants gifted to mankind by The Almighty for those who contemplate.
Hakuna divine plants, superstition at it's best
.
 
Mkuu nikihitaji hiyo kitu ( Psychedelic Divine Plant )
Naweza kuipata wapi? Nahitaji kuamsha The power within ikiwezekana kwa haraka iwezekanavyo
 
Haya kama mbona nmewahi kuyaona, na ule mmea mwingine LSD pia kama nipo familiar nayo. Kama hizi type za hii mimea hazipatiakani huku yaweza kuwa hizi zilizopo huku ni jamii ya hiyo mimea ambayo hupatikana huko ilipo?

Ndiyo Kaka
 
Mkuu nikihitaji hiyo kitu ( Psychedelic Divine Plant )
Naweza kuipata wapi? Nahitaji kuamsha The power within ikiwezekana kwa haraka iwezekanavyo

[emoji1787]
 
Kuna kitu nimejifunza hapa,mada kama hizi zinafanya wengine tujione weupe sana aisee..lakini wazee msifanye tukajaribu kitu cha ganja ili tu boost akili maana dah..tunaishi kwenye comfort zone!

Usijaribu bila kuwa na Purpose.

Like what do you want from Cannabis ?

Ukishajibu hilo swali then fanya Research.

Then find the guidance katika kukamilisha lengo.
Never never never buy from the local market. Kachume yako shambani. Or take from credible sources.
-

always start with the smallest dose.

Tumia ukiwa sehemu yenye utulivu no disturbance na interaction ili uweze ku observe changes na Transcendence to persuade your purpose for smoking.
 
Haya kama mbona nmewahi kuyaona, na ule mmea mwingine LSD pia kama nipo familiar nayo. Kama hizi type za hii mimea hazipatiakani huku yaweza kuwa hizi zilizopo huku ni jamii ya hiyo mimea ambayo hupatikana huko ilipo?

Hapa ni Bibi wa Ki Amazon akiandaa Ayahuasca.




Hapo kuna hayo magome ndiyo yana DMT ambayo haiwezi kuwa active tumboni kutokana na uwepo wa enzymes ya MAO.

Then Shaman wana claim kwamba wali transcendence na kuja na solution ya kuifanya iwe active Orally. Through Transcendence, wakajua kwamba kuna majani yana Inhibitor ya MAO, ndiyo hayo Unayaona Hapo. Huchanganywa na hayo magome kutengeneza Mbege lol .

The Juice is called Ayahuasca, the divine Juice, wahindi na wasomali wanaijua sana hii, ndio siri yao kubwa ya mafanikio kizazi kwa kizazi.

 
Hii ni kweli , changamoto kubwa mimi naona watu wafundishwe kwanza.

Nilichogundua mimi jamii kubwa ya watu wa Africa ni wachoyo wa maarifa pale ambapo mtu yupo committed kwenye kupata hayo maarifa ambayo utakuta mtu anayayo blah blah zinakuwa nyingi, mpaka mtafuta maarifa anakata taama, lakini ukiwa kwenye forums za wenzetu wa dunia ya 1, utakuta knowledge uliyonyimwa na mweusi mwenzako yeye anakupa for free tena kwakupoteza muda wake.

Kuna vitu vingi sana vyakujifunza dunia hii ambavyo wenzetu wa dunia 1 wanavijua na wana maeneo maalumu ya elimu hizo.

The world is the better place but only i you decided to share the knowledge you have to save others..

The Knowledge Seeker
 

I Agree. Wakati nipo TZ, kuna rafiki yangu alikuwa addicted na Cocaine , yeye alikuwa akisoma medicine pale MUHAS.

By the time nimerudi TZ, naambiwa bana jamaa kawa Teja. Nilistuka sana.

Nikamfuatilia nikaambiwa yupo methadone center fulani hapo Dar.

Nilikuwa najua watu wote wa Methadone.

Asubuhi yake nikamkuta kweli, kumuona akastuka, akataka kunikwepa. Nilimwambia nimekuja kwa ajili yako.

Baada ya kumeza ile solution yake , nikaondoka nae .

Nilimfanyia Consultation ya maana. Nikamwambia nataka uache kwenda methadone for a week, you have to trust me.

Yeye akawa anaogopa kuacha maana uki miss siku tu jamaa wanaweza kukutema kabisa. Ni lazima kila siku uende na usaini kuwa umekunywa methadone.

Akanielewa, nilikuwa na Ayahuasca yenye DMT na MAOI from overseas na kwakua I came for Special task maramoja.

Nikamuanzishia the smallest dose kwa interval ya siku tatu tatu. Ndani ya wiki mbili nikapunguza dose ya chini kabisa then nikastop.

Nikamwambia vipi,do you still need methadone ? Baada ya wiki nikahakisha Ayahuasca imetoka kabisa ndani ya mwili wake, nikamwambia nenda Center waambie hutaki tena Methadone Sababu wewe sio teja teja and you are fine now .

Alipoenda wakampima pima. Wakamuuliza mda gani hujatumia methadone akasema wiki tatu, wakamwabia ili uache unatakiwa kuja kila siku hapa kwa Muda wa siku 14. Bila ya kutumia chochote ili tufanye observation.

Jamaa akaanza hiyo safari. Na alibadilika, akawa anafanya mazoezi asubuh na jioni.akawa anachomekea looked very smart.

Jamaa wakaprove huyu kapona without knowing how could that be so quickly.

Wakamuomba afanye kazi pale ya kushauri wengine na awe kama mfano.

Nikamwambia NO, rudi shule kasome.

Akabadili na Course. Akasoma Accountant pale Uhasibu maana MUHAS walishamtimua.

now anafanya kazi moja ya Bank kubwa TZ kama Afisa, na alinisaidia sana Kwenye biashara zangu wakati nilipokuwa nahitaji huduma ya kibenk.

amekuwa ni Mtu wa Mungu full maushauri kwa watu na anaonekana he is very bright.

This is true story I am telling kwa hakika.
Always nashauri Culture Conditions ime create condition kubwa snaa kwa uwezo wa maisha yetu. Imemaliza uwezo wa kufikiri na kutuaminisha kuwa mazuri ni kwa wenzetu tu . Na kama huna great endeavors hatuwezi kutoka katika hiyo enslavement ya tamaduni zetu. Funguo ya break our limitations created by culture conditions tunazo, ni namna ya kutumia funguo ndio inahitajika.


Wengi wanakufa na inner secrets zao bila ya kuzi reveal. That is the worst part . Yaani watu wapo duniani kama
Mizoga waiting for their deaths.

Unaamka asubuhi, una enda haja kubwa na ndogo, you take shower, unaingia kwa IST yako , you go to work . Unakunywa chai , unamaliza kazi , una rudi home. Unalala. Asubuhi unaanza cycle ile ile.

Jmosi utaenda church au msikitini. That is our cycle till death.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…