Hii ni kweli , changamoto kubwa mimi naona watu wafundishwe kwanza.
-
Kwa sababu hakuna kitu hakina madhara.
-
Hata maji uki Over dose kwa Mfano ukanywa 6 L per day wakati wewe body mass yako inataka unywe 1.5L per day, utaenda ku create fluid retention in your body , Na utasababisha pressure kupanda, over time utaanza ku damage your vital organs such as kidney, brain vessels leading to stroke etc etc.
-
Vivo Hivyo kwa hizi mind altering drugs. They have serious side effect ukiwa una Over dose na kutumia mara kwa mara . Yaani vina ku dissociate na reality ya dunia, na sometimes unapoteza feelings za maisha kabisa. Yaani unaona kupata au kukosa is just a game. Let it be .
-
Substance kama hiyo LSD, DMT kwanza zinapatikana naturally kwenye mimea lakini pia drug dealers wanazitumia kutengeneza illicit substance in form of powder and tablets wakati huo huo wanachanganya na chemicals nyingine and makes it more addictive and dangerous.
-
DMT, LSD , Pscilocibin Mushroom zote zimekwa na WHO kwenye Schedule I Controlled Drug ikiwa na maana ya kuwa haifai kwa matumizi ya Dawa wala kwa matumizi yoyote na ukishikwa nayo you should go to Jail . Lakini jiulize Mbona mmea wake bado unaendelea kulimwa .
Shida kubwa pia kwa mfano, leo unamuuliza mtu anaetumia bangi, kwanini unavuta bangi ? Hatoweza kukupa Jibu sahihi.
-
Wengi huvuta kwa makundi, kuiga bila ya kujifunza na kufanya research matokeo yake wanaenda kuharibu akili zao na kuwa wahuni.
-
Na bangi wanazotumia sio zile kutoka shamba , ni zile ambazo wameshachanganya na cocaine ili Kesho uje tena .... baadae mtu anakuwa teja.
-
Know why do you have to smoke ; what do you want from smoking: ? Je unahitaji Creativity or writings or transcendence etc etc yaani lazima uwe na sababu ya kuvuta au kutumia psychedelic substances. Kama Huna sababu then stop it .
Methadone is one of psychedelic, mind altering substance, Na ndiyo hutumika kwenye ku withdraw wale watu waliokuwa addicted na cocaine. methadone Center ipo hapo MNH, Amana , Temeke , Mwananyamala kwa Hospital za Dar Tu.
-
Suali la Msingi unawezaje kuitumia methadone ukaacha DMT, LSD au Pscilocybin Mushroom [emoji265]. Hizi ndio the natural substance ambazo zinamfanya mtu aache kabisa kuwa addicted na kuacha kutumia cocaine na Heroin.
-
Ni substance ambazo zikitumiwa at recommended dose under guidance, makes your life more meaningful, spiritual, brave and creative.
It is all about awaken the consciousness, self realization, the one we are.
-
I personally have used all those psychedelic substances. If you are lucky to get the natural plant from your own garden, then you are done.
LSD tablets, I don’t recommend t’ buying
View attachment 1707053
these laboratories made.
View attachment 1707053
DMT powder, it is also laboratory made, I don’t recommend. You have to get the natural plants kama unavoipata Cannabis.
View attachment 1707054
Magic Mushroom, Pscilocybin Mushroom. The tree of Life. The tree of Good and Evil .
View attachment 1707055
LSD plant containing. You need to have this in your secret garden. You may use once per year or 3 years. If you use like that, you will see the benefits of being born on earth.
View attachment 1707056
The DMT plant containing, the tree of life and death, the Vial of pendant eternity.
View attachment 1707057
The Powder , don’t buy this, find the natural plant.
I have a lot of photos and my experience to DMT and LSD , kutokana na uhalisia wa kazi yangu. I am not allowed to share anything from Social platforms .
View attachment 1707054