Psychedelic Drugs & Consciousness

Weed is not a psychedelic drug because it doesn't recreate new connections in the brain the way psychedelics do.
But people are stil debating whether its a psychedelic or not, kwa sababu kwa baadhi ya watu wanaamini wamepata psychedelic experiences, wakati wengine wanaoppose.

So you might still be right kwa sababu nobody has ever proven about this argument.
 
But people are stil debating whether its a psychedelic or not, kwa sababu kwa baadhi ya watu wanaamini wamepata psychedelic experiences, wakati wengine wanaoppose. So you might still be right kwa sababu nobody has ever proven about this argument.
San Pedro ambayo ni jamii ya katani inakutembeza bila shida.
 
San Pedro ambayo ni jamii ya katani inakutembeza bila shida.
Psychedelic trip yenye spiritual uplifting kabisa or hallucinations bro

EDIT: Nimejaribu kupitia kidogo, hii ni psychedelic pia. Na kuna baadhi ya jamii wameitumia katika traditional ceremonies. Ingawa inashauriwa kama una historia ya mental illness usijaribu kwa sababu itakupa bad trips. Kudos mkuu
 
But people are stil debating whether its a psychedelic or not, kwa sababu kwa baadhi ya watu wanaamini wamepata psychedelic experiences, wakati wengine wanaoppose. So you might still be right kwa sababu nobody has ever proven about this argument.

Bangi inakupa hallucinogenic experience tuu ya kuwa high (heightening your senses) lakini haikupi permanent change kwenye ubongo wako.

Hizi psychedelics zinachofanya pale zinapoingia ubongoni, zinapunguza mtiririko wa information kupita sehemu zile zilizo zoeleka, kwa kupunguza kiasi cha damu kwenda sehemu hizo. Na hivyo kuufanya ubongo kutengeneza njia nyingine mpya (plasticity) za mawasiliano. Yaani ubongo wako unawekwa kwenye reset mode (natural state), unakuwa na ubongo kama wa mtoto vile.

Ndiyo maana watu waliokuwa na PTSD wakipata dozi moja tuu, wanaacha. Mlevi wa pombe akipata gram zake za uyoga ladha ya pombe inaisha kabisa. Bangi na dawa zote za maabara kama vile adderall, haziwezi fanya hivyo, na hii ndiyo sababu kuu ya psychedelics kuwekwa kwenye schedule 1, zitaua biashara za watu.
 
Mkuu vipi kuhusu dosage, maandalizi na consumption. Kwa sababu nimeifuatilia nimeona ina spiritual benefits kubwa..
kama kweli unataka kutumia hivi vitu bila ya wataalamu (shaman), ni bora ufanye microdosing. Yaani unatumia dozi ndogo sana ( 10% ya ile dozi ya kukufanya utembee) ambayo haikutembezi ila bado inakuwa inatengeneza ile plasticity kwenye ubongo wako taratibu.

Watu wengi sana kama ma CEO kule silicon valley wanafanya microdosing kwaajili ya creativity.
 
Kwan kuna tofauti gan kati ya meditation na yoga?mi najua yoga ni form of meditation...anyway drugs kali ni roofies,LSD,DMT ila kuzipata sasa hapa bongo..labda utapata za kawaida tu na zenyewe mpaka ufoji kuwa na magonjwa ya akili utapata vibali vya kuyanunua kwenye pharmacy kubwa
 
Ni kweli mkuu nimeona hata baadhi ya watu online wanashauri sana kuhusu hili, kwa sababu inasaidia kupunguza risk ya bad trip. Asante mkuu.

Huu mmea nauona sana nje ya mji nikiendaga weekend kunyoosha miguu. Nitajaribu kuuandaa nipate benefits kwa sababu kuna mengi natazamia kuyapata kutoka kwenye mmea huu...
 
Mimi natoa warning tu jamani hapa Nendeni polepole...Men at work..Construction inandendelea
 
Narudia tena...the road is under construction,,,nendeni taratibu
 

Hakuna Pharmacy kubwa yoyote TZ inayoruhusiwa kuuza au kununua any kind of mind altering drugs.

Mnunuzi mkuu wa hizo Dawa under special permit ya TMDA ni Bohari kuu ya Dawa yaani Medical Stores Department ( MSD) .

Pia, LSD, DMT hazina any medical uses kwa mujibu wa WHO na Wizara ya Afya Maendeleo ya Jamii,Jinsia, Wazee na Watoto.

Dawa zinazonunuliwa kwa special permit ambazo kimsingi zinakuwa abused ni pamoja na Morphine, Ketamine, Pethidine, Fentanyl , Halothane( The Gas), methadone ambazo mnunuzi ni Bohari Kuu ya Dawa kwa mujibu wa Sheria ya JMT na ndio wanaweza kuiba huko mahospitali to experience the partial Transcendence.

In fact these are not psychedelic drugs. Psych means Mind, delic means to reveal your inner secret. In fact You hold something you don’t know, and no one will tell you, you have to find it by yourself. Some people have been helped by Psychedelic plants to find their inner truths.

The best way you can be , is to learn how to use Psychedelic Plants for special purpose.

The only way to withdraw a person from hard drugs is to subject that person into Psychedelic course. This has been a hidden secrets to keep the business of hard drugs alive.

Most of the DMT, LSD in developing countries are laboratory made which makes it worse. The lab made does not even dissolve your little ego.

Only natural and raw plants containing DMT, LSD , Psilocybin is the best way to approach if you have guidance. In addition to that, These plants dissolve your little ego; you had a very good heart and mind to all humans when you were around 0-5 years old. Untill the culture came to distort your minds, teach you how to Judge and discriminate people, think you are better than others, thinking your faith will lead you to heaven, others are misguided, making things less than one or greater than one while we are one.

But remember you are worms food , just a matter of time; A lot of micro organisms are waiting for you on your deathbed. They will destroy your flesh to bones, making you smell fishy and horrible. Think about it .

In view of the above , you therefore need something to make you remember who you are, and make you realize that you have lost your true God given mind. Find it.

I love kids, because they truly live the life, and they have true love until Mind distortation takes place .

Knowledge makes you unfit to be slave, honey.

no one is at any work as you said.

Open your mind to learn new things, the world has a lot to offer than what you have been enslaved to believe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…