Hongera sana FEAR ZONE ndio the Real Devil [emoji49]. Yaani ukiweza kuelewa kwamba there is no reason to be afraid, umefaulu.
Kwa Sababu Fear Zone ni mbegu iliyopandwa since day one ya childhood yetu. Ndio maana it is so hard kuondoa fear ya Mtu.
Imagine unaanza kumwambia mtoto sijui ukifa Mungu ataenda kukuchoma moto,utaenda kuteswa kaburini na malaika 70 . Sijui utachomwa moto. So ile creativity ya mtoto out of fear inakuwa imeshauliwa.
Na maisha yake yote ataishi kwa muktadha wa uoga. Hata Zone ya kujifunza hatoisogelea.
Kauli yake mbiu ni umekuja kuabudu. Hivyo elimu yako ni kuabudu tu
Elimu nyingine yoyote ataona inataka kumtoa kwenye maisha ya uzima. Matokeo yake anaishi the whole life akiamini kuishi hivo ndio kutamfanya aingie Uzima.
, anasahau kwamba so many people died ili leo hii yeye kujua dose halisi ya magnisum Sulfate Injection kwa mama mwenye kichaa cha mimba( Eclampsia) , so many people died kupata dose ya Oxytocin ( maji ya uchungu) , so many people died to establish epidural dose ili mama azae kwa upasuaji vyema etc etc . Hizi zote ni knowledge out of fear and comfort zone.
Watoto wako usiwafundishe uoga. Teach them to question, to conform, to believe in themselves to learn as much
As they can .
Tell them kwamba wamekuja kuimilika hii dunia, dunia bila ya wao bado haijakamilika na ndio maana wapo duniani.
Aidha, bila elimu na Maarifa ya elimu out of fear huwezi kumiliki dunia . They should never be caged bird [emoji1659] . Let them be .
Uoga ndio umetufikisha hapa kama Taifa.
Uoga ni real devil , hata kama umesoma for as long as upo kwenye zone
Ya uoga, ni katika uhalisia huo maisha yako yatakuwa ni KISANGA
Great things are never easy; great things hufanywa out of fear. Great things hufanywa kwenye zone ya Learning na Growth !
View attachment 1712302