Mmea wa San Pedro-Cactus wenye ingredient ya Mescaline as a Psychedelic Substance which give you an insight of oneself.
Mescaline at therapeutic dose, gives you an insight and ability to supersede the bondage of human conditions and become liberated being. ( kuondoa uchafu wote tuliowekewa kwenye akili zetu wakati wa utoto).
Wote tuliwekewa uchafu na takataka kwenye akili zetu.....Mescaline as Psychedelic inakupa fursa ya kuufuta huo uchafu na kuwa kiumbe kipya kama ulivyozaliwa with no ego, discrimination etc etc.
It increases your mental strength and creativity beyond thoughts. Nilitumia Juice ya San Pedro nikiwa some where kwenye nchi fulani katika nyumba ya Ibada yao.
France and German hutumia sana huu mmea wa San Pedro kama ishara ya Liberation to mankind , ni ishara pia ya Mankind Becoming one brotherhood . Ambapo kimsingi haiwezi kuja kutokea binadamu tukawa kitu kimoja.... it will never happen.
Tayari mifumo ilishawekwa to divide the human race . Divide and Conquer it is the law of our age.
Mmea wa San Pedro hupendelewa kupandwa kwenye institution backyard like school , College , University to remind us who we truly are ,for those who contemplate ( Kwa wenye tafakuru)
Halikadhalika, mmea huu kwa fadhila za Mescaline una siri nyingi katika fumbo la maisha ya mwanaadamu katika dhumuni lake la kuutafuta ukweli wa lengo juu ya yeye kuwepo duniani.
One of the human condition tulizowekewa kwenye Childhood yetu almost everyone ni kukiogopa KIFO as a tool to manipulate us na kuaminishwa kuwa tumekuja duniani kuabudu tu. That statement closes the doors for discussion. It prevents people from revealing their inner secrets and becoming one brotherhood.
Aidha, kwa kutambua hilo, the human race is blessed with these Psychedelic plants ...... for those who are willing to step out of the human conditions .
Think about it and I dedicate to those who are reading ; my favorite song by John Lenon ———IMAGINE. ( listen-lyrics) — The truth has been hidden everywhere, my friends .
——
The other plant , Peyote wenye Mescaline ingredients as Psychedelic substance
Always usifanye kitu bila ya kuwa na knowledge ya kutosha.
These are forbidden plants ....... the trees of good and evil . Depends on how you perceive them .
You can steal knowledge from these plants if you choose to ..... or else ..you can be in mental institutions if you are not making up your mind.
The Choice is yours .... choose it wisely