Psychedelic Drugs & Consciousness

Psychedelic Drugs & Consciousness

Mada yako ni nzuri. Kwanza Tanzania Bangi tu wanaita ni Madawa ya kulevya; so hizo Pyschodelics ndiyo kabisa.

Drug Control and Enforcement Authority (DCEA) imeweka Bangi na hizo drugs mind altering kama Madawa ya Kulevya. I found it to be okay kwasababu watz wengi are still sleeping.

Consciousness yangu ilibadilika baada ya kuvuta Bangi for the first time. Nilianza kuvuta bangi nikiwa mwaka wa tatu kwenye somo la Pharmacology nikiwa nchini Ufaransa kimasomo. Tulishauriwa pia na mwalimu wetu.

Ilinisaidia sana kwenye meditation, spiritual transformation and transcendence. Huwa ninavuta bangi only when I want to reconnect my soul with the universe itself, naweza kukaa 5 years bila ya kuvuta.
-
When I feel losing my faith , I Smoke to regain the transcendence through meditation practice and astral projection, feeling the death itself.
-
I love the experience, brave and creativity in it . However, if you keep smoking too much na mara kwa mara , it has a lot of side effects; so you have to be really desciplined to monitor yourself na ikiwezekana uwe na technical personnel
-
Kama hujawahi kutumia Bangi, never use psychedelics substance; it is very dangerous .
-
Nilipata bahati ya kwenda Amazon to experience Ayahuasca ambayo siku hizi unaweza kuipata kwa Pharmaceuticals.

Wao wanatengeneza na kuwa kama mbege fulani hivi, wanatumia magome ambayo yame contain DMT ( N N Dimethytriptamne) kisha wanachanganya na majani yaliyo contain MAO(Monoamine Oxidase Inhibitor. Hii ni enzymes inayoenda ku digest zile contents za magome na kuifanya brew kuwa absorbed Orally na active.
-
Kwa kweli my first experience chini ya guidance ya mzee mmoja wa huko huko alietambulika kwa jina la Bob siwezi kuielezea.
-
I saw things I cannot explain , but I came to realize that there is more than what we think.
-
Nikapata uwezo mkubwa wa kuelewa mambo and changing my perspective in so many things : Nikaanza kuitazama dunia as it really is , not as I was conditioned to see it.
-
I saw my death ; and realized that there is something bigger than myself ,bigger than I am . I am as I am. I am I am, I was I am .... I will be I am.

I actually died, I became more aware of my existence; it was a radical change of my consciousness behind this world as well as insecurities of the eternity.
-
I came to realize Buddha teachings are more meaningful and closer to truth of existence.

I appreciate Cannabis and Pyschodelics Drugs; and I advise that every human being should have smoked and use these mind altering drugs once in his life time to awaken the sleeping energy.
-
Watu wengi wanakufa bila ya kujua how powerful they are. It is so painful to see that, kuna wakati nilijuta why niliamsha hii sleeping energy, maana nikaanza feel so sorry to others, to animals . I also had to stop eating meat. Huwa i feel so offended kuchinja Mnyama for my food.

It is so painful to awaken the energy of consciousness ; but is is very good to awaken for future endeavors.
-
The Pyschodelic drugs make you realize that the one looking at you through my eyes , and the one looking at me through your eyes is the same one. The same to everything , to animals, trees, chair , tables etc etc

Ni kweli kabisa hizi drugs zinaenda ku awaken human consciousness, it makes someone more aware and fearless which makes it more difficult for the government to control such citizens. And that is the reason they are illegal.
If what your saying is true ningetegemea watu UsA kuwa most civilized and most caution people lakini kiuhalisia hamna watu wa ovyo kama hao just to pin point hayo mapyschodelics ndio yanawafanya wawe wanyama kabisa in fact yanaongeza rate ya suicide yani its just another trap kama cocain and heroine for specific group of people kama ilivokuwa heroine to black Americans and cocain to poor white people.
THINK, IT AIN'T ILLEGAL YET.

Sent from my 601SO using JamiiForums mobile app
 
Wakuu nimejaribu kuufatilia huu mmea ambao Mk54 anauita datura,ila Mimi nimependezwa na jina lake vile wazungu wanauita jeemson weed/Devils trumpet, huu mmea una nguvu kubwa sana kuliko tunavyodhani,huu mmea unazo nguvu za kumfanya mtu asionekane kwa macho ya nyama.

Lakini pia huu mmea ukiutumia vibaya unazonguvu za kukufanya upate ukichaa Wa muda(moment craziness)
Actually, kama mtu hajawahi kutumia psychedelic drug ya aina yoyote basi asifikirie kabisa kuujaribu huu mmea..
 
If what your saying is true ningetegemea watu UsA kuwa most civilized and most caution people lakini kiuhalisia hamna watu wa ovyo kama hao just to pin point hayo mapyschodelics ndio yanawafanya wawe wanyama kabisa in fact yanaongeza rate ya suicide yani its just another trap kama cocain and heroine for specific group of people kama ilivokuwa heroine to black Americans and cocain to poor white people.
THINK, IT AIN'T ILLEGAL YET.

Sent from my 601SO using JamiiForums mobile app
Kabla ya kuanza kukosoa ni vyema kwanza kuelewa kilichoandikwa.
 
The Big Question is !

What is the right dose for smoking Cannabis? And what is the right dose for edibles Cannabis( for those who prefer for food) .

Well , I’m ............. this can be explained into two parts

1. Determining dose Traditionally
2. Determining dose Scientifically ( Pharmaceutical and Laboratory based)

———-

1. Traditionally
Am following....
I believe in balance..

ulisema sahihi sana kuhusu amounts za dosage...

someday under guidance pia would love to smoke this aisee
 
Baada ya kuila nilienda kulala,baada ya dakika chache tu nikaona km kuna mwili mwingine upo pembeni yangu,nikadata,ukawa unaniambia kwann nimelala mapema wakati nikichek saa(physically)ni saa saba usiku.Nikaamka nikaenda sitting nikakaa ile hali ikatoweka,cha ajabu nimerud kulala ikarud tena,kumbuka sio km ninaota yaani najielewa kabisa kwamba nipo kwenye hali ile,nikaanza kujiongelesha kwamba I want my mind back yaani nilihisi nimedata kabisa,nilipata hiyo dhoruba mpaka saa kumi na moja ndo nikapata usingizi.
NB Aliyenipa hiyo kashata anasema aliichukua akaivundika ikawa kali ndo mana ilinipeleka vile,pia mi ni jr kwenye hata kuvuta tu,all in all ilikua balaa.
Wanauza wapi?.
 
I agree. For the first time nilipokuwa Amazon kwa ajili ya kufanya journeying ya Ayahuasca, tuliingizwa kwenye small room chenye mwanga hafifu.

And they told us to stay in a meditating way .
Baada ya 40 Mins, Nilielewa kuwa it was preparedness to spiritual journey beyond human conditions that supersede any faith.

Baada ya muda huo ; tukaitwa kwa kupata kinywaji. Baada ya kupata the DMT ndani ya Ayahuasca...... nilianza kuona how my body was dissolving to unknown realms.

Sikuwahi kujua wala kuelewa mtu akiniambia Live in Present moment. I never knew what the present moment really was untill I journeying through Psychedelic mind altering drugs.

Nature ya kazi yangu ilinifanya niwe thirsty to unknown knowledge. I don’t believe in LIMITATIONS..... , The SKY is never my limit..... infinity is never my limit ..... I don’t have any limits. I am as I am. I was I am and I will Be I am in the here now.

Katika kazi zangu ; nimehudumia binadamu wengi sana; Nimewapatia Pharmaceuticals medicine kwa ajili ya kutibu magonjwa yao huku nikijua wazi , baada ya Muda huyu mtu ataangukia kwenye ugonjwa wa ini; au ataangukia kwenye ugonjwa wa Figo.

Mwaka 2018, nilikutana na mgonjwa mmoja; baada ya consultation ya muda; nikampatia dawa ambayo it was the only solution for her. In few days , familia yake ikani contact kuwa ndugu yao amepata tatizo la memory loss; ameshatumia almost nusu ya dose .nilijua what was wrong ; niliwaambia immediately to withdraw the medicine . In few days ; the women alikutwa kajinyonga. I knew it was the medicine iliyo create the depression na suicidal thoughts. I have lots of things to share.
Kwa TZ , ukiangalia kasi ya Kansa, Ini , Figo na Impotence( Erectile dysfunction) imeongezeka kwa asilimia zaidi ya 15% .... na inaonekana hatujui nini chanzo , lakini kwa wenye kuujua ukweli tunajua nini chanzo.

Dada zetu kupata mimba siku hizi ni kwa boster ya hormonal therapy.... you know something is missing.
Nimetumia hii mimea na sina Ugonjwa wowote ; I am healthy, smart , intelligent, innovative and considerate and my ability to make love is extraordinary. Sina maana kwamba na wewe utumie, i mean find your own purpose.

I worked in Tanzania, kuanzia Halmashauri.... then I grew up nikaenda NGOs ..... then nikaenda Netherland... worked there for 3( 2 yrs + few months) .... being smart and innovative....as well as considerate nikapangiwa Namibia as Country Manager at the age of less than 30 years old during that time.
I smoked bangi first time, carefully determined by this Frenchwoman, My prof.

The choise is yours ....... choice it wisely. Bila ya kufuata mkumbo
Ukiwa hio dunia beyond human comprehension unaona nini? Na una feel nini?.

kama motive ni kuondoa ego and the like hio experience mbona wengine tunaishi nayo tyr...
Ulisema ukaona utakufaje how?.
Unaona nini?vitu vinabadilika form and color ama?tuambie zaidi pls
 
Ni wapi huko na inauzwaje..?
Itabidi ni mchek muuzaji kwanza kama upo au ulikwisha uzwa. But kama uko serious?

Actually, kama mtu hajawahi kutumia psychedelic drug ya aina yoyote basi asifikirie kabisa kuujaribu huu mmea..
Uko na personal experience ya Datura. Pengine uko na maelezo mengi yahusuyo huo mmea karibu utupatie maarifa hayo

Wakuu nimejaribu kuufatilia huu mmea ambao Mk54 anauita datura,ila Mimi nimependezwa na jina lake vile wazungu wanauita jeemson weed/Devils trumpet, huu mmea una nguvu kubwa sana kuliko tunavyodhani,huu mmea unazo nguvu za kumfanya mtu asionekane kwa macho ya nyama.

Lakini pia huu mmea ukiutumia vibaya unazonguvu za kukufanya upate ukichaa Wa muda(moment craziness)

Pia nimejifunza kuwa mmea huu unao uwezo Wa kumfanya mtu aje kwako afanye chochote kwani akikupulizia unalala usingizi mzito matokeo yake mhusika anakufanyia chochote anachotaka..

Huu mmea ni hatari sana,nimeuogopa sanaView attachment 1783967

Sent from my TECNO KB7j using JamiiForums mobile app
Uko na personal experience yeyote kati ya hizo 3 ulizosema?

Sure mkuu, hata Mimi najitolea kutoa maelekezo ili yawasaidie wenye uhitaji na kipimo cha matumizi kuzuia bad trips.
Hongera wajuzi mnazidi kuongezeka Mk54
 
Nimekuta hapa mbeya , ina harufu mbaya sana.
Je wenyewe?
JPEG_20210514_130021_8641395146047518591.jpg


Sent from my SM-J810F using JamiiForums mobile app
 
Yes huu ni wenyewe,unaitwa devils trumpet (baragumu /tarumbeta la shetani) nikisema tarumbeta la shetani namaanisha tarumbeta la shetani kweli kweli,don't try it.

Sent from my TECNO KB7j using JamiiForums mobile app
**** mwanakijiji kadai huu mmea haufai huwa unaonekana kwa mbinde nimeshindwa kumwelewa na amegoma kunielekeza

Sent from my SM-J810F using JamiiForums mobile app
 
If what your saying is true ningetegemea watu UsA kuwa most civilized and most caution people lakini kiuhalisia hamna watu wa ovyo kama hao just to pin point hayo mapyschodelics ndio yanawafanya wawe wanyama kabisa in fact yanaongeza rate ya suicide yani its just another trap kama cocain and heroine for specific group of people kama ilivokuwa heroine to black Americans and cocain to poor white people.
THINK, IT AIN'T ILLEGAL YET.

Sent from my 601SO using JamiiForums mobile app


1. Kindly define the word CIVILIZATION.

2. You have just said about the RATE OF SUICIDE , In Europe and America, the rate of suicide has increased significantly A LA SUITE de consumption of Antidepressants medication, hizi ni dawa zinazotolewa Hospitalini .
3. Ufaransa pekee, ENVIRON 11, 000 deaths kwa mwaka zinazotokana na suicide ya kutumia antideppresants medication prescribed by doctors.

4. USA vifo zaidi ya 22,000 kwa mwaka kutoka na matumizi ya dawa za Depression. Kati ya watu 100,000, watu 10 hadi 20 hujiua ikiwa ni aftermath ya matumizi ya dawa tajwa.

5. Kwa mfano; Dawa kama Fluoxetine au Paroxetine kwenye Group la Selective Serotonin Reuptake Inhibitor zinasababisha watu zaidi ya 15,000 kila mwaka wajinyonge kama aftermath ya matumizi ya Dawa hizo. And that is just for USA .

6. Ninakupa taarifa za ndani kabisa, you won’t get anywhere. Kwa TZ, wale wote wanaopelekwa kwenye Mental Institution, hali zao huwa mbaya zaidi baada ya kuanza matumizi ya dawa tajwa hapo juu, Na kuna lots of unrecorded deaths zinazotokea based on the consumption ya hizo dawa , yaani suicide deaths.
-
Ukiachana na suala la Mental Issues; do you know how many people are diabetic out of knowing kuwa walipata kwa kutumia dawa fulani kama hizi corticosteroids for particular ailment?
-
Do you know how many people are suffering from renal failures A LA SUITE DE consumption of particular medicines such as dawa za ARVs kama TENOFOVIR and related nucleotide analogs etc etc. ?
-
Do you know how many have erectile dysfunction and permanent impotence kwa matumizi ya dawa za presha kama vile Labetalol, Propanolol etc etc .
-
Na kama ulipitia uzi vyema , tumeonesha wazi kuwa there is a cost associated if you misuse these divine plants , or you use them out of knowledge......
/
Go back in history , Heroin and Cocaine ambazo umezitaja zilitumika Vizuri around 1700 to 1800 miaka hiyo; na haijawahi kuleta shida kwenye jamii.
-
Generation ya Sasa ambayo ni CRAZY na inayotaka kukimbia maumivu ya maisha ndiyo ime miss use Psychedelic plants kuwa dangerous , na ndiyo maana WHO wamei classifies kama Controlled Drugs . Look at the history ni mwaka gani Heroin na Cocaine ilianza kuwa classified?

Umeshawahi kufikiria kwanini mpaka kesho tuna mimea ya Opium ambayo ndiyo zao la hayo ma Cocaine na Heroin ?
-
Tatizo kubwa la hii mimea ni IGNORANCE ya watu inayowapelekea OVERDOSE. Na hata ukiangalia recorded deaths based on consumption of these plants , ni OVERDOSE na IGNORANCE. Na sijawahi kusikia mtu kafa kwa kutumia Bangi , au DMT. Bali nimewahi kusikia mtu kafa kwa ku overdose heroin na Cocaine.

Nimewahi kutumia Morphine, ambayo ni zao la OPIUM na kila siku wagonjwa ninawapatia Morphine for their survival...... where do you draw the line ?

How can you treat a terminal ill wa Saratani ? That is why I said you are opening your mouth out of knowledge.
 
35. O Voltaire! O humanity! O idiocy! There is something ticklish in "the truth," and in the SEARCH for the truth; and if man goes about it too humanely—"il ne cherche le vrai que pour faire le bien"—I wager he finds nothing!”

Beyond Good and Evil
Friedrich Wilhelm Nietzsche
 
Back
Top Bottom