Aina gani ya fantasy unayotumia kufikiri!?..Superpowers sio za kupublicize au kushow off, huwezi mwamini mtu au jua wanataka wakutumieje, maybe wanakutega, as many people don't officially believe in it ndo maana inakuwa ni undercover, na ndo maana people with powers wanajidistance away from people au hawainteract sana na watu.
Astrology ni sehemu ndogo tuu za haya mambo and it's not something else.Now you are talking about something different all together P.
kwanza ulianza kuleta habari za jicho la nne sasa unaongelea habari tofauti kabisa.
Nadhani utakuwa umekubaliana na Mimi kuwa HAKUNA MTU mwenye uwezo wa kuona kesho wala kuona YALIOJIFICHA.
Huu ni uongo na utapeli wa kitoto kabisa.
Hakuna contradiction yoyote, hiyo astrology ipo kwenye links nilizokuwekea, jina la mtu nimekupa Uri Geller,Pascal unaleta a lot of Contradictions kwa maneno yako mwenyewe.
Mwanzo Uzi umeuita "PSYCHIC POWER"
Kisha ukadai ni Somo la ASTROLOGY.
Now unasema ni "IMANI" kama Uislamu au Ukristo na kama huna Imani huwezi kuwa na hizo Nguvu.
Unaona unavyotuchanganya?
halafu wadau wengi nikiwemo Mimi nimekuuliza UTUTAJIE MTU MMOJA TU mwenye NGUVU hizo za kuona KESHO.
Badala ya kututajia jina unataja majina ya vitabu na Conspiracy theories za 9/11 and so on ambazo HAZINA UKWELI WOWOTE.
Naomba kurudia swali.
Kwasababu wewe ndio muanzilishi wa Uzi huu Tunaomba ututajie MTU MMOJA TU ANAEJULIKANA mwenye Nguvu hizo unazozitaja.
tafadhali Usinambie shehe Yahya (marehemu) na watu wa namna hio.
hawana uwezo wwt wa kuona Kesho au chochote kilichojificha.
Teh teh teh teh.Hakuna contradiction yoyote, hiyo astrology ipo kwenye links nilizokuwekea, jina la mtu nimekupa Uri Geller,
Links nyingine ni hizi na astrology ipo
Kwa wanaopenda kujisomea kuongeza maarifa, nimeongeza list ya all the topics kwenye net resources kuhusu kila kitu chini ya jua.
World Religions
Traditions
Mysteries
What's New?
About
Abuse
Books
Bibliography
Contact
Credits
Copyrights
Donate
Downloads
FAQ
Links
Map
Press
Privacy
Search
Top Level
Terms of Service
Translate
Standards
Unicode
Volunteer
Wishlist
Catalog
African
Age of Reason
Alchemy
Americana
Ancient Near East
Astrology
Asia
Atlantis
Australia
Basque
Baha'i
Bible
Book of Shadows
Buddhism
Celtic
Christianity
Classics
Comparative
Confucianism
DNA
Earth Mysteries
Egyptian
England
Esoteric/Occult
Evil
Fortean
Freemasonry
Gothic
Gnosticism
Grimoires
Hinduism
I Ching
Islam
Icelandic
Jainism
Journals
Judaism
Legends/Sagas
Legendary Creatures
LGBT
Miscellaneous
Mormonism
Mysticism
Native American
Necronomicon
New Thought
Neopaganism/Wicca
Nostradamus
Oahspe
Pacific
Paleolithic
Parapsychology
Philosophy
Piri Re'is Map
Prophecy
Roma
Sacred Books of the East
Sacred Sexuality
Shakespeare
Shamanism
Shinto
Symbolism
Sikhism
Sub Rosa
Swedenborg
Tantra
Taoism
Tarot
Thelema
Theosophy
Time
Tolkien
UFOs
Utopia
Women
Wisdom of the East
Zoroastrianism
P
Naomba tuumalize huu mjadala kwa kukubaliana kutokubaliana, mimi nikisisitiza Will Powers ndio kila kitu na unaweza kufanya kila kitu, ikiwemo kuiona kesho, wewe amini huu ni uongo, maisha yaendelee.Teh teh teh teh.
Ndugu Pasco I can see the sign of desperation here.
who the heck is Uri Geller?
If I told you Van Helsinki can talk to animals would you buy that?
Nimeomba jina la mtu ANAEJULIKANA ktk Ulimwengu wetu wa JF. Hivi leo Mtanzania yupi wa kwenye Jukwaa letu hili anamjua huyo Uri Geller.?
Come on now mwanawane. Don't let me down.
Jina moja tu la mtu tunaemjua Pascal.
au bora ubaki na Ile kauli yako ya mwisho kuwa HIZI NI IMANI TU na Hakuna UHALISIA WWT.
Very well Pascal.Naomba tuumalize huu mjadala kwa kukubaliana kutokubaliana, mimi nikisisitiza Will Powers ndio kila kitu na unaweza kufanya kila kitu, ikiwemo kuiona kesho, wewe amini huu ni uongo, maisha yaendelee.
P
Sawa shemeji.Very well Pascal.
salute for this conclusion.
Mimi shemeji yako upande gani PascalSawa shemeji.
P
Shemeji kwa kwenu mlikotoka, ndipo mimi hufikia.Mimi shemeji yako upande gani Pascal
manake sisi tuko wanamme 10 na hakuna Dada kwetu.
teh teh teh.Shemeji kwa kwenu mlikotoka, ndipo mimi hufikia.
Hili la ushemeji naomba liishie hapa, lisije likaibua mengine na kuchafua hali ya hewa.
P
Ukipractice aura ni lazima uwe vegiterian manake meditation inahitaji uwe vegiterian
Kiukweli nimecheka mwenyewe asubuhi subuhi, haswa hii hoja ya "kazi kutumalizia kuku tuu".*Ukitaka kujua Tanzania hatuna waganga na hawa wanaojiita PSYCHICS wanaodai wanaona kesho bali matapeli tupu ndio kipindi hiki sasa,,, yaani kuna dau hadi la billion 1 lakini wamenyamaza kimyaaaa, kama hawajasikia ...... Kazi kutumalizia kuku tuu!!*
Mfyuuuu!!!
Nenda kamuulize Mchungaji wako Gwajima.Kwahiyo Bwana Pascal Mayalla: na wewe unatilia mashaka
(i)uwezo huo au
(ii)uwepo wa watu wenye uwezo huo?.
Third Eye ni kitu gani mkuu. Naomba ufafanuzi kwa mapana yake.
unasahau umesahau. mavi ya bata.Kwanza uwe unachagua na uzi wa kubwabwaja. Mie nimekusoma huko juu kuna vitu nilikua nikukosoe na vingine nikubaliane na wewe, lakini nikajua huu Uzi sio mahali pake.
Q. Umesahau siku moja kabla ya kupiga kura, waislamu nchi nzima mlitangaziwa mumpigie kura Lowasa na sio CCM?.
Ukimuondoa Gwajima kuna Kanisa la wakristo lingine walilothubutu kufanya maigizo hayo?.
Basi Inawezekana ulikua bado ughaibuni ukisubiria zamu yako ya kujilipua. Tena utushukuru sana. Kama sio hizi forum kukufungua akili na ulivyo fanatic, sasa hivi ungeshakua umelipuka zamani sana. You have survived to tell the tale... Ha ha ha.