Kwanza uwe unachagua na uzi wa kubwabwaja. Mie nimekusoma huko juu kuna vitu nilikua nikukosoe na vingine nikubaliane na wewe, lakini nikajua huu Uzi sio mahali pake.
Q. Umesahau siku moja kabla ya kupiga kura, waislamu nchi nzima mlitangaziwa mumpigie kura Lowasa na sio CCM?.
Ukimuondoa Gwajima kuna Kanisa la wakristo lingine walilothubutu kufanya maigizo hayo?.
Basi Inawezekana ulikua bado ughaibuni ukisubiria zamu yako ya kujilipua. Tena utushukuru sana. Kama sio hizi forum kukufungua akili na ulivyo fanatic, sasa hivi ungeshakua umelipuka zamani sana. You have survived to tell the tale... Ha ha ha.