Psychic Powers: Ni nguvu za kufanya miujiza. Wengi wanazo bila kujitambua. Je, wewe unazo?

Hii kitu sio rahisi asee
 
Genesis 6:1–4
 
Genesis 6:1–4
 
Naomba walau vitabu....whatsapp namba 0718321418
 
Elimu nzuri kwangu, nilikuwa na very strong powers nikiwa msingi mpk wachawi wakawa wananiogopa kwa sababu kila wakifanya ujinga nilikuwa nawaumbua nguvu zile sinazo tena! Uzi huu nitaufanyia kazi kwa gharama yoyote.
 
Daah mkuu Pascal uwezo ulio nao karibia 70% tunaendana na uwezo wangu wa hizi powers. Sema Mimi huwa inatokea tu harafu sitilii maanani Najua Ni Hali ya kawaida tu. Ila Somo lako hili ndo limenifanya nianze kutambua kuwa I have something unique in my brain.

Kwa kifupi Sana haya Ni baadhi ya Mambo niliyowahi na ninayoendelea kuyafanya ktk maisha yangu;

1: Kufikiria kitu/vitu flani vinaenda kutokea na mwisho wa siku vinatokea.

2: Kutambua nature ya mtu Haraka (Tabia, hasira, roho na n.k) hata Kama Ni Mara ya kwanza kukutana nae.

3😀eep imagination; Hii kitu ilinichukua Sana wakati nilipokuwa sekondari nilikuwa najikuta napenda kuwa mwenyewe harafu naanza kuimagine Kitu/vitu ambavyo Ni very complicated na Hali hiyo ilikuwa inanipelekea Kuhisi Kama nipo maisha mengine tofauti kutokana na picha zilizokuwa zinanijia baada ya deep immagination.
Na hiki kitu kilinifanya nipungue Sana kiafya(kukonda). But nilipunguza baada ya kufika advance (Mambo kuwa mengi kutokana na comb...... niliyokuwa nasoma). Na kwasasa Sifikirii kivile kutokana na mazingira ya interaction nyingi nilizo nazo (chuoni).

Hayo ndo Mambo matatu kwa kifupi niliyoona yananihusu kwa 99%, kutokana na matukio niliyo/ninayo fanya.

N.B; Hizi powers zimenisaidia Sana katika safari yangu ya maisha mpaka hapa nilipofika na Nina series za matukio ya kutosha yanayodhibitisha hili. Sema Uzi huu umekuwa Kama chachu kufanya niendelee kujijua na kujitatambua Zaid(find my self).

Ahsante Sana Paschal kwa Uzi huu umenifungua kimawazo na kujiona Nina kitu fulani unique.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…