Psychic Powers: Ni nguvu za kufanya miujiza. Wengi wanazo bila kujitambua. Je, wewe unazo?

Ebhana usiku wa kuamkia leo paji la uso sehemu ya utosi katikati ya nyusi nlikua nahisi kama kitu kinatekenya alafu kichwa kinauma, nkawa naona rangi rangi hasa blue na kijani then nikaamka aisee, hii inamaana gani kwenye ulimwengu wa jjicho la tatu? Cc Rakims Mshana Jr
 
Naomba nyota ya mtu alozaliwa tarehe 01/09
 
Yaani wewe upo kama mimi.
Nikiota mtu atapata ajali.ili kumwepusha natakiwa kusema kwa mtu yoyote yule hata kama ni yeye mwenyewe nimwambie.nisipomwambia loh.
Inakuwa balaa.

Pia kwa mfano .
Mtu aniambie nataka nikufanyie hiki na hiki.
Nikfungua tu mdomo kumwambia mtu sitakaaa nifanyiwe.
hata nikisema ninawazo la biashara kisha nimwambie mtu nataka kufanya hiki na hiki.ntakuwa nimeharibu kila kitu.biashara itaishia hapo.



Pia mtu akiniudhi na kama najua kanifanyia kosa ,nikimnenea mabaya tu imekula kwake,
Lazi ya mpate.
 
Naomba kufaham chanting inafanywaje

Kizibo
 
Naomba niwe mwanafunzi waki katika masuala ya utambuzi na tahajudi japo kwa uchache

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nakuja Pm kiongozi
 
Wanabodi,

Kwa kuanzia naileta tuu kwanza hii hoja hapa, ikipata watu wa kutosha, tutaomba kwa mode, ifunguliwe jukwaa lake, tutalitafutia jina muafaka, "Mambo ya Powers"
Mkuu pasco! Kwanza hongera na heshema kwao! Katika maisha yangu napenda sana kujifunza na kufanya meditation.
Ombi langu mkuu naomba mwongozo nianzie vipi? Nikiwa na vitu gani? Nikiwa wapi? Nikiwa na nini? Kwa mda gani? Naomba uwe mwalimu wangu!
 
Mkuu pasco! Kwanza hongera na heshima kwao! Katika maisha yangu napenda sana kujifunza na kufanya meditation.
Ombi langu mkuu naomba mwongozo nianzie vipi? Nikiwa na vitu gani? Nikiwa wapi? Nikiwa na nini? Kwa mda gani? Naomba uwe mwalimu wangu!
Mkuu Von Bismack, kwanza asante kwa yote na asante kubwa zaidi ni kwa wewe kuteua niwe mwalimu wako, hii ni heshma kubwa kwangu.
Kanuni ya kwanza ya meditation ni "When the student is ready, the teacher will appear", kumaanisha mwanafunzi ukiwa tayari ndipo mwalimu atatokea.
Kwa bahati mbaya sana, mimi sio mwalimu, mimi nasoma vitabu tuu na kushare nilichosoma, ila humu jf tuna waalimu, wanafundisha, wana ma groups na pia Tanzania tuna vyuo kabisa nita ku link nao kupitia kwa mkuu huyu
Wanaforum tumekuwa na masomo mengi mazuri juu ya meditation hasa toka kwa Pasco Mtambuzi heshima kuu kwao na ndugu yetu Rakims
Baadhi ya mada ni hizi
Mafunzo ya Meditation Bure. Ni Kupitia Brahima Kumaris Meditation Centre!. - JamiiForums
Leo ni Siku ya Kimataifa ya Yoga, Meditation au Tahajudi. - JamiiForums
Mwanzo wa meditation - JamiiForums
Ni Leo Jioni Pale ...."Karibuni Njooni Tumediteti!" - JamiiForums
Meditation (Tahajudi a.k.a Tafakuri Kina) - JamiiForums
P
 
Pascal be careful usije ukawaongoza watu pabaya.
Listen to this grand master before you go further
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu Genius, asante kwa angalizo,
Nami pia kila siku nasisitiza kuna two sources of powers, powers of the lightness, na powers of the darkness, TB Joshua has powers but I cant tell from which side kwasababu staging ya maigizo ni mengi, some of hizo clips ni actings!.
P
 
Kuna muda nikiwa kama naumwa Hivi naweza kujitreate mwenyewe,naweza anaza kuchukuwa kile kitu akili inachonituma mwisho wa siku nakuwa sawa.Ni vingi sana kikubwa ni sense....Nasense sana.
Atamie kwenye ugonjwa Fulani nilipataga hospital walishindwa kujua ugonjwa gani mie nilichowaza niliwahambia wauuguzi nipeni maji tuu ata nilipoteza fahamu nipeni maji tuu na Imani ilinijaa Sana kwenye maji tuu na nikapona na maji tuu nikiishiwa nguvu na fahamu kabla sijakata kauri nasisitiza maji ndio yaliniponya nilikuwa na Imani kweli kweli na nilifanikiwa miezi 3 nilipona baada ya kupoteza pesa nyingi sana Ila nilipona na maji tuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…