Psychic Powers: Ni nguvu za kufanya miujiza. Wengi wanazo bila kujitambua. Je, wewe unazo?

tatizo pasco ameshaupuuza
Mkuu Ben, Ben-adam , ni kweli uzi ni wangu mwenyewe, sio naupuuza, bali najikuta nalazimika kuukimbia, kwasababu maswali ni mengi hadi naukimbia, mimi ni msomaji tuu wa haya mambo, I dont practice, practising members wamo humu na wengine ni instructots kabisa kama wakuu Mshana Jr na Rakims . PM zinafurika inbox watu wakinidhania mimi ni mwalimu wa haya mambo, mimi ni mhabarishaji tuu.
P
 
up date
Tofauti ya Mungu na shetani, Mungu haonekani, utaona mwanga tuu au kusikia sauti tuu lakini shetani anaonekana!. Hivyo akitokea mtu akatoa ushuhuda kuwa Mungu amemtokea, na yeye amemuona Mungu, na kuelezea huyo Mungu alivyo, ujue huyo aliyemtokea huyo mtu sio Mungu, ni shetani disguised as God!.

Juzi kati kuna mama mmoja Arusha katokewa na mungu, amemuona ni mwanaume!, huyo ni shetani.

NB. Shetani pia ana nguvu za kufanya miujiza, kuna wengi wanamwabudu shetani bila kujijua wakidhani ni Mungu!. Angalizo: Kuna Wengi Wanamwabudu Shetani Wakidhani ni Mungu!. Jee Wewe Unajijua?, Jitambue!.

P
 

Inafikirisha Sana.
 
Asante mkuu ,je hizi power katika success au kazi naweza zitumiaje au kwa njia gani Kama kupata decent job , biashara n.k.
kitu muhimu cha kwanza ni kujitambua tuu kuwa you have the powers。Hatua ya pili ni how to use them,to chanel them zikuletee mafanikio, hapa panahitaji juhudi na mazoezi kwa kutumia the power of positive thinking kwa kuhusisha manifestation。Nguzo 7 za Mafanikio Kupitia Manifestation, Nguzo Kwanza ni Kuijua Asili ya Manifestation, Kuwa na Ndoto, Kutia Nia, Kuamini, Kuthubutu, na Kutenda
P
 
Hiyo inaweza kuwa ni Claircognizance(clear knowing) ni uwezo wa kupata taarifa au kujua jambo pasina kuelewa umejuaje, na mara nyingi huja kwa mfumo wa thoughts,words or idea.
 
Hizo zote tunazoita psychic power na zimegawanywa kwa majina mbalimbali ila kwa pamoja zote huitwa ni Intuition, na intuition hututokea karibu kila siku kwa njia mbalimbali. Hata ndoto tunazoota kila siku huwa zina intuitive messages ila wengi hatufuatilii ndoto na hatujui maana zake ila unaweza kukuta tunaota ndoto zenye kutuonyesha matukio yajayo ila hatujui.

Hiyo ya kwako inaweza ikawa ni Clairsentient(clear feeling or clear sensing).
 
Zipo nguvu za miujiza ambazo zinategemea na baadhi ya koo. Kwa mfano kuna watu huwezi kuwapiga risasi a,, au hata kumchoma,, na kisu ila unaambiwa unaweza ukamuua kwa kumpiga na bua la muhindi. Kwahiyo kuna koo fulani fulani zina zina Elimu fulani za miujiza. Nakumbuka kwenye miaka ya Tisini kwenye maeneo,, na yetu kulikuwa kuna mchezo unaitwa kolokolo yaani mtu ana meza yake alafu ishorwa yale mauwa ya karata au namba alafu kunakuwa na vizuna vimeshorwa zile namba zinawekwa kwenye kikopo kisha unazungusha kisha unafunika. Kila mtu anaweka pesa kwenye namba au uwa unalo zani litakuwa sawa ni vile vizuna vilivyo funikwa. Sasa kulikuwa kuna mjamaa mmoja huyo yaani akitokea tu wenye kolokolo wote wanafunga hawataki acheze, akicheza anawafuta fedha zote. Hatahaijulikani alikuwa anatumia ujuzi gani. Kwahiyo ninacho weza kusema hivi vitu vinaendana na baadhi ya familia au watu. Unaweza kukuta familia fulani ni matajiri lakini hawajasoma na ukakuta familia fulani wote ni Maprofesa. Ukakuta familia fulani wana Roho mbaya sana na ukakuta familia nyingine ni wana Roho nzuri sana hii yote ni uwezo tofauti tofauti na ujuzi tulio nao binadamu. Watu wanasema wanigeria wanauwezo mkubwa kiuchawi, na watu wengi wanakwenda huko kujifunza, ila kikubwa nikujuwa lengo lako lakujifunza hicho kituu ni nini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…