Psychic Powers: Ni nguvu za kufanya miujiza. Wengi wanazo bila kujitambua. Je, wewe unazo?

Psychic Powers: Ni nguvu za kufanya miujiza. Wengi wanazo bila kujitambua. Je, wewe unazo?

Wewe Pasco una nguvu gani kati ya ulizozitaja?
Mimi nina nguvu za Uponyaji kwa kutumia Mitishamba Tiba Mbadala Mimi ni Mtaalamu wa Dawa za Mitishamba wewe una nguvu gani?

telepathy02.jpg

attachment.php
 
Attachments

  • Herbs - Spices n their Benifits.jpg
    Herbs - Spices n their Benifits.jpg
    66.9 KB · Views: 4,069
Mkuu mayenga, mimi nina
Telepathy
- Transfer of thoughts or emotions, kwa kiasi kidogo!. Zamani nikiwa kijana mdogo nikisoma sekendari ya Tambaza na baadae Ilboru, ilitokea kuna vibinti fulani vya Kisutu na Jangwani, nilivitazama kwa kuvihitaji tuu, nikaja kuvipata!.

Ikawa nikienda kwenye party, nikimsimikia binti, nikimtazama kwa concentration huku nikisema kimoyo moyo, nakuhitaji!, yule binti, atageuka na macho yakigona tuu, nitatoka nje, atanifuata!, tutazunguka tuu mahali popote penye faragha!, nitamaliza shida zangu na kurudi kwenye party!.

Nilipomaliza na kujiunga JKT, kule ikawa balaa!, kila macho yanapoona, moyo ukipenda, napita na sikosi!.
Nilipoanza kazi, nikajikuwa huwa nakuwa MC, nikawa nikienda kwenye sherehe mbalimbali, naondoka na mtu!. Hata nikiwa kwenye Daladala, nikizimika mahali, natazama tuu, nikishuka naye anashuka!.

Matumizi ya nguvu hizi yalikuwa ni kwa "kata funua tuu!, mpaka nilipokutana na dada mmoja aliyekuakisoma Jangwani, ndipo akanieleza kuhusu uwezo huo, na ninachokifanya ni abuse of power! akanionya nikiendelea hivyo matokeo yake yatakuwa nini, ndipo nikabadilika!.

Ila mpaka leo, kuna mtu nikimfikiria tuu, anatoke, au nafika mahali na kuambiwa, una maisha marefu, sasa hivi tulikuwa tunakuzungumza!. Au uko mahali unatembea, njia nyembamba, unataka kupishana na mtu, ukienda upende ule naye anakuja huko, ukirudi huku naye anarudi huku hadi mnataka kugongana unaamua kusimama mpishane!.

Pia nina Precognition, premonition and precognitive dreams - Perception of events before they happen. kidogo. Kuna mambo huwa naota yanakuja kutokea!. Nina kitu kinaitwa "intuition!" yaani kabla sijafanya jambo, unapata hisia this is not gona work!, au unakutana na mtu anakuzimikia sana for real, wewe unaona its not for real!. Au ndani ya ndoa, ikitokea wife ame cheat, utajua!, huwezi kuuliza kwa sababu huna ushahidi, ili mtu akicheat, ujue atacheat tena!, nilianza kufanya kazi ya kukusanya ushahidi nikathibitisha!, na nilisamehe kwa kujifikiria ni mara ngapi nilipitia wake za watu!, wengine wakiwa ni wake wa marafiki zangu kabisa!.

Pia naweza kufanya Aura reading - Perception of the energy fields surrounding people, places, and things kwa kiwango kidogo!, nikikutana na mtu for the first time, I can tell huyu ni mtu mwema au ni mtu mbaya!. Hii nimeiwea kwa practice kutoka kwenye net.
Retrocognition - Perception of past events imeishanitokea mara kadhaa, naweza kufika mahali for the first time, na kujiona I have seen this place before ila sikumbuki ni wapi!, au nimekutana na mtu for the first time, na kujiona I've seen him before sijui ni wapi!, hii inaitwa De-ja-vu kwa Kifaransa!.

Nimesoma sana vitabu vingi vya mambo haya, hivyo naangalia uwezekano wa kufungua more evenues kwa meditation ila kwa njia ya natural sio kupitia secret societies kama Freemasons, Illuminati au Rosecrusians. Hawa jamaa ndio ma master wa haya mambo ila wanafanya siri!. Matajiri wengi wanatumia powers hizi kupata utajiri iwe ni kwa njia za sala kupitia makanisa ya wokovu, waganga wa kienyeji, kujiunga na vikundi kama freemasons etc, all and all its works of powers!.
Pasco.
sasa wewe Talent yako ya ( Telepathy - ) Unatumia kwa ajili ya kutongoza wanawake tu?
 
Somo la kwanza kuhusu namna ya kusoma Aura ni picha ya kwanza.
Concentarate kuangalia hizo picha mbili, utaziona kama zinataka kuungana na kuwa picha tatu, ya katikati inakuwa na umbo la msalaba. Kwa pembeni unaona kama mwanga wa blue una glow!, hiyo ndio aura!

Somo la pili. ni picha ya pili.

Concetrate kwenye kuangalia hicho kidoti cheusi hapo katikati kwa muda mrefu. Utaona hizo picha mbili zinatoa mwanga wa light blea green kwa nyuma, huo mwanga ndio aura!.

Ukiweza hii hatua ya kwanza, nakupeleka ya pili!.

Pasco.
Ni kweli ukiangalia hicho kidote cheusi utaona kwa nyumba ile miduara inatoa rangi ya light blue na green.
 
ha haaa Pasco ukitunga tu kitabu title
'namna ya kupata mwanamke yeyote unaemtaka bila jasjo'
utaendesha Range so soon lol
Mkuu@The Boss ninaku hii Sample tumia kumvuta mwanamke kwa kutumia nguvu ya akili zako fuata video hii hapa chini Tumia kisha uje unipe Feedback

How to send mental messages to someone

Last edited by a moderator:
Mkuu pasco, unanifanya naconcentrate kupita kiasi.

Mimi kuna wakati naamini kuwa sisi (binadamu) ni miungu pia, kwa sababu katika kitabu cha Mwanzo kinaelezea kuwa tumeumbwa kwa mfano wa mungu (from this point we ar just a copy) then if yo go to Luke chapter 17 smthing like 21st vers anasema "and thy kingdom of God is within you"

Na ukifuatilia mazungumzo ya Yesu as u ve be tryn to show us alikuwa anademand "Imani" ilifika mahali akasema kama ukiwa na imani hata kama chembe ya haradani unaweza kuambia huu mlima ung'oke ukajitose katika kilindi cha bahari.

Huwa nataka nijue ni vitu gani hasa vinaweza kukufanya imani yako ikakua??
Ukitaka Imani yako iwe Strong pendelea sana kila kitu kumuweka Mungu mbele ya macho yako utakuwa na imani ya nguvu. Na uwe unafanya ibada kila siku asubuhi na jioni ujiepushe na zinaa ,ulevi,kusema uongo, kusengenya watu uwe unasema ukweli, saidia sana watu wenye matatizo utakuwa na imani ya nguvu kama alivyosema Bwana Yesu ukiwa na imani ya ukweli unaweza kuamrisha mlima ung'oke na uka ng'oka pasipo na wasiwasi jaribu hivyo kisha utakuja kunipa Feedback.
 
Mkuu pasco na wachangiaji wengine asanten saana kwa kuuchangia uzii huu.. na mi naomba niseme machache kwa kutoa mifano
Siku za nyuma nikiwa nafanya kazi wilaya kisarawe kuna rafiki angu alikua anafanya kazi masaki nikawa nataman saana sana na mim siku moja nifanye kazi pale(hyo ilikua 2007) mwaka 2010 nikapata kazi pale tena kimiujiza saana. Hivo hivo nilikua na dream saaana ya kuhamia mwanza na mwaka uliofata tu nikaenda kuishi huko tena kufanya kazi nikiwa subcontracted na shilika lingine ambalo nalo nilikua naliwaza saana zaman.. jaman powers within zipo!! Ni kazi kwetu kujua jinsi ya kuzitumia nina mifano mingi kadhaa ya vitu vilivowahi kucross kwenye mindi zaman na baadae vikanitokea ktk reality e.g niliwah kumuona dada mmoja fb nikamuangalia ile dp yake 1 yr nikamdate tena alikua mkoa mwingine kabisa tukawa tumekutana dsm dah... ngoja ni dig deep tena. Mkuu pasco naomba vitabu vya kudownload free me nasomaga saana vitab vya david ickle wa uk...

Aksanteni.

Nyakato
 
Jawilat naomba unijibu bandiko langu namba 232 naona Pasco na MziziMkavu hawataki kunijibu.

Hata jana tu nilipokuwa natoka kazini nilijiwa na hisia fuln kwamba njian kuna break down magari hayapiti i didn't give it a second thought nikaipotezea kweli kufika tu mbezi nikakuta folen ya ajabu yaani ajali imetokea kibamba darajani foleni iko mbezi ndipo sasa nikajisema mbona niliona hili kabla?? lkn kwann sikufanya utaratibu labda hata wa kubadili njia?? nilijuta sana sasa huu ni uwezo gani ama ni nguvu gani?? je sio pepo??
 
Hisia kam hizo zipo kwa kila

binadamu ila tuna tabia ya kudharau ndio maana majanga yanatukuta. Ukijaribu kufuatilia hisia zako utaona mambo mengi ya ajabu na ukihisi kitu kitatokea jaribu kisha utakuja kuniambia. mimi nina Talent ya kumjuwa mtu matatizo

yake usoni nina uwezo kukujuwa una matatizo gani nikikuona usoni mwa paji lako na nina Saikolojia ya kuweza kumtibu mtu kwa kumuona usoni mwake na nikihisi kitu au nikikwambia kitu kitakutokea tu ukitak usitake. Soma kidogo kuhus nyota yangu ya mshale.

NYOTA YA MSHALE (SAGITTARIUS)

  • Hii ni nyota ya tisa katika mlolongo wa nyota 12.
  • Wenye nyota hii ni wale waliozaliwa kati ya tarehe 22 November na 21 December ya mwaka wowote.
  • Sayari yao ni Jupiter (Attarid).
  • Siku yao ya Bahati ni Alhamisi.
  • Namba yao ya Bahati ni 3.
  • Rangi yao ya Bahati ni Hudhurungi.
  • Asili yao ni MOTO.

KIPAJI CHA MSHALE (Prophetic)

Wenye nyota hii wana kipaji cha kutabiri na kujua mambo ambayo yatatokea mbele au muda utakaokuja, na mara nyingi wanalolisema huwa linatokea hata likiwa la kipuuzi.

[TABLE="class: ecxyiv2072418612contentpaneopen"]
[TR]
[TD="colspan: 2"]
TABIA ZA MSHALE

Wenye nyota ya mshale ni wenye tabia ya kuwa na matumaini ya mafanikio kwa lolote wanalolitegemea. Wanapenda kuwa na uhuru wa kupenda na kuchagua na wanapenda watu wengine wawe kama wao.
Hawapendi mambo nusunusu na ni watu ambao wako wazi na wanaopenda kusoma. Ni wakweli na ukitaka kuelewana nao na wewe uwe mkweli.
Ni watulivu na ni waaminifu na wanapenda uadilifu. Ni watu ambao hawapendi kuamrishwa kufanya jambo kwa sababu wanaamini kwamba wao wenyewe wana uwezo mkubwa wa kutekeleza jambo lolote, lakini likiwaudhi wanakuwa wakaidi na wasioweza kutii amri.
Wenye nyota hii hawaoni taabu kusema lolote bila kujali athari zake mradi jambo hilo liwe la kweli.

TABIA YA MSHALE KATIKA MAPENZI

Pamoja na kwamba wenye nyota hii wanapenda wawe huru na wenye kujiamulia mambo yao wenyewe huwa wana starehe na kuona raha wanapokuwa ndani ya uhusiano wa kimapenzi.
Wenye nyota hii wanapenda sana kujihusisha na makundi makundi lakini huwa wanapata muda wa kuwa na wapenzi wao. Ni watu wachangamfu na wenye kupenda lakini tabia yao ya kutojali inawafanya wapenzi wao wajione kwamba wanakosa ulinzi wa kimapenzi.
Wanapoingia katika mapenzi wanakuwa waaminifu. Mwanzoni wanakuwa wagumu sana kujihusisha. Wanapenda sana wakati wote kuwa na wapenzi wapya au mapenzi ya kawaida kwa sababu wanaamini mapenzi ya kudumu yanawanyima uhuru.
Wapenzi wao wanaponyesha dalili ya kuwapenda basi wao huwa wanajiondoa kwa hofu ya kubanwa na kutokuwa na uhuru.
Ni watu wanaopenda kufanya ngono kwa muda mrefu na hisia zao ziko mbali na inashauriwa kwamba wapenzi wao wawe wamekula kabla ya tendo la ndoa vinginevyo itakuwa taabu.
{mospagebreak}

TABIA YA MSHALE KATIKA FEDHA

Alama ya nyota hii ni Mshale na mategemeo yao ya kifedha yanalenga mbali na juu sana.
Wenye nyota hii fedha kwao ndio njia pekee ya kujikomboa na kupata uhuru hivyo wako tayari kufanya jambo lolote hata kama ni la hatari ili wapate fedha na wanapozipata huzitumia bila mpangilio.
Mara nyingi huwa hawapendi kutafuta fedha zao katika njia za kawaida wanapenda sana kutumia njia tofauti na kubuni mbinu mbali mbali kutekeleza malengo yao.
Ni watu ambao hawaoni haya kumtumia mtu mwenye pesa au uwezo ili watekeleze malengo yao. Kwa sababu hii wengi wao wanakuwa matapeli.
Matatizo yao makubwa ni kwamba wao ni watumiaji wabaya na hawana mipango thabiti ya matumizi ya fedha na ni watu ambao wakitoa ahadi ya fedha hawatekelezi.

MAVAZI YA MSHALE

Wenye nyota ya Mshale wanatakiwa wavae nguo zenye kuathiri na za mzaha mzaha kama koti au blauzi isiyo rasmi au nguo za kitamaduni zilizoongezwa ongezwa vitu vingi kama maua au nakshi nakshi.
Rangi ya nguo zao iwe ya Zambarau au rangi ya Hudhurungi iliyochangamka au rangi ya blue.
Vitambaa viwe vya sufu. Nguo ziambatane na mikanda, na viatu viwe vya buti.Wanawake wapendelee kuvaa sketi.

MATATIZO YA KIAFYA:

Nyota hii inatawala sehemu ya chini ya kiuno. Wenye nyota hii hawapendi kuugua. Lakini huwa wanapata maradhi kutokana na kujishughulisha kupita kiasi na kutumia nguvu zao na akili zao kwa muda mrefu bila mapumziko. Wanathamini sana mizunguko kuliko mapumziko.
Vile vile ni watu wasiopenda ushauri kuhusiana na afya zao.
Tatizo lao lingine ni kuwa wanapenda sana kula na kunywa na hiyo huwaletea unene usiotakiwa. Wakitaka kujikomboa na matatizo wanashauriwa wawe na tabia ya kujipumzisha.
Magonjwa yanayohusiana na nyota hii ni majereha na maradhi ya nyonga, mapaja, maradhi ya ini (Liver Disorder) kupooza kwa miguu (paralysis of limbs) na ugonjwa wa kuumwa mishipa au misuli ya nyuma ya paja.

KAZI YA MSHALE

Kupata au kukosa, kushinda au kupoteza, kuna uchangamfu wa asili kwa nyota hii na uzoefu katika hali yeyote.
Ni watu waaminifu wanaopenda sana mafankio na wako tayari wakati wowote katika kazi. Kutokana na hili wanakuwa na bahati ya kuwa katika sehemu muafaka na katika muda unaotakiwa.
Wenye nyota ya Mshale ni wafanyakazi waaminifu na hawapendi kuwasimamia watu katika kazi. Ni wenye kuwaamini wafanyakazi wao na wanapokuwa ofisini huleta mazingira ya urafiki na kuaminiana.
Kazi zinazowafaa ni za usafiri, kazi za sheria, Wakili au Hakimu, kazi za uandishi, ualimu, dini, sheikh au padri au makanisani au misikitini, michezo, kazi za kijeshi na uuzaji.
{mospagebreak}

FAMILIA ZA MSHALE

Wazazi wenye nyota ya Mshale ni wenye kuwachangamsha sana watoto wao. Nyumba zao zinakuwa zinajaa vitabu na vifaa mbali mbali na wanawahimiza sana watoto wao wawe huru na majasiri.
Wenye nyota hii wanapenda kuwatembeza watoto wao katika sehemu za elimu, kama vile, Makumbusho au sehemu za kihistoria.
Elimu na masomo hupewa kipaumbele na mzazi mwenye nyota ya mshale ambaye mara nyingi huhakikisha mtoto wake anasoma. Wazazi hawa wanapata matatizo makubwa kuwadhibiti watoto wasiosikia kwa sababu wao wenyewe wanapenda uhuru kwa sababu hii huwa wanavumilia tabia mbaya za watoto wao hata watoto wakiwa wajeuri.

MADINI YA MSHALE

Wenye nyota hii wanatakiwa wavae vito vinavyoitwa SAPPHIRE. Mawe haya nyenye rangi ya bluu yana uwezo mkubwa wa kinyota wa kumletea mvaaji afya nzuri, nguvu na kinga vitu ambavyo wenye nyota hii wanavihitaji.
UHUSIANO WA KIMAPENZI
(Mshale na Mapacha)
Tabia ya kufanya mambo haraka haraka au kukata tamaa na kupenda kuelewa mambo ya wenye nyota ya Mapacha inaingiliana vizuri na wenye nyota ya Mshale ambao ni wenye busara na subira na wasiokata tamaa.

VYAKULA VYA MSHALE

Wenye nyota hii wanashauriwa wale vyakula au matunda yafuatayo ambayo yanatawaliwa na nyota yao. Nyama mwitu, kunazi za rangi ya bluu, maboga na juice ya mapera.

NCHI ZA MSHALE

Ili kupata mafanikio ya kinyota kwa wale wenye uwezo wanashauriwa aidha kuishi au kutembelea nchi au miji ifuatayo ambayo inatawaliwa na nyota zao.
Nchi hizo ni USA na SPAIN na miji ni Budapest (Romania) na Cologne (Ujerumani).

RANGI ZA NYOTA

Wenye nyota hii wanatakiwa wapake nyumba zao au vyumba vyao au sehemu zao za biashara rangi zenye kusisimua na uchangamfu na zinazoashiria hali ya kumkaribisha mgeni.
Rangi hizo ni Nyekundu iliyochangamka (Warm Red) rangi ya Zambarau (Purple) na rangi ya hudhurungi au kahawia (Brown).
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]

hii inaitwa precognition..ni uwezo wa kutambua yajayo kama alivyosema Mzizi mkavu ni nguvu ambayo wengi tunayo ila wengi huamini ni hisia tu na wanaipotezea japokua ukiwa makini unaweza kuepuka vitu vingi sana.
Pasco
 
Mkuu, na wenye nyota ya Simba tukoje?
 
Kwakweli hadi nimeogopa ingawa nataka kupractice. Mi nina kawaida ya kuota nakimbizwa alafu napaa kwa kutanua mikono yangu kama superman vile ila siku hizi nikiota hivyo kila nikitaka kupaa napaa kidogo alafu narudi chini bila kupenda/nguvu ya kupaa imepungua; Sasa sijui kwanini naotaga hivyo. Pili huwa naota na jambo baada ya muda fulani lile jambo hutokea au naota naenda mahali fulani then kuna siku najikuta kweli nimefika pale mahali na mazingira ni yale yale nabakigi kujiuliza mbona kama hapa nilishawahi kuja? Nikitafakari sana nakumbuka kumbe nilishawahi kuota. Haya mnayaelezeaje wakuu?
Cc Pasco, MziziMkavu, Jawilat
 
Duu, hii ni mpaka kesho nikatafute dikshenari!, hii ni shit ya nani?!, naikumbuka ile bullshit, na disjointed bullshit!,
sasa hii "Jibber jabber disjointed bullshit!" itakuwa kiboko!, kama ile bullshit ya mwanzo tunailia kwenye mchicha, ile disjointed bullshit tunailia kwenye utumbo, nadhani hii "Jibber jabber disjointed bullshit!" itakuwa ni ya kupakuliwa kabisa kwenye sahani!, tena nahisi zize yake itakuwa kama yale masoseji ma biggy! au misoseji mikubwa!.
Pasco.
Mkuu Pasco, Mimi nilikuwa napingana sana na hawa watumishi na miujiza miujiza wanayofanya makanisani, baada ya kuanza kuwa mshirika kwenye makanisa ya kilokole nilikuwa nikihubiri mara moja moja kwenye fellowship, Sasa pale kanisani kwangu nilipokuwa naabudu kulikuwa na kikundi kikishughulika na huduma kwenye mashule lakini mimi sikuwahi kuwa member, Kikundi hiki kilikuwa kinafanya Huduma kwa lugha za Kiingereza kwenye mashule. Siku moja muhubiri wao Kiongozi alisafiri, kukawa hakuna mtu wa kuweza kuhudumu,Siku moja usiku nilipata maono ya kuandaa mahubiri kwa lugha ya Kiingereza ,Na mimi nilifanya hivyo bila kujua nakwenda kuhubiri wapi, Lakini ajabu baada ya siku moja nikapigiwa simu kuwa wanakikundi walipokuwa wakiomba mtu wa kuhubiri, wakaonyeshwa kuwa mimi ndio nimeandaliwa, na ikawa kweli kwa sababu nilijiandaa bila kujua wapi naenda kuhubiri, Ilipofika siku hiyo nilifanya mahubiri yangu kwa mara ya kwanza, kwa Kiingereza baada ya hapo nikaanza kufanya maombi. Kilichotokea hapo ni balaa, ilikuja nguvu ya ajabu kulikuwa na watu zaidi ya 100 walianguka na kutawanyika huku na kule bila hata ya mimi kuwagusa, kulikuwa na wale ambao walionekana wako tormented na nguvu fulani, nilipambana nao hizo nguvu kwa zaidi ya mssaa 3.Na shule niliyokwenda kulikuwa na mchungaji wa kuajiliwa na alinishangaa sana,Hata mimi nilijishangaa saaana. Na jinsi nilivyokuwa nikifanya huduma sehemu mbalimbali ndivyo ambavyo nilikuwa nakutana na nguvu za ajabu.
Pasco uko right sana, watu wengi wamekuwa wanafikri kwamba hizi nguvu watu wanapata uchawi uko mbali kumbe sivyo.
Kuna wakati nimekuwa nakaa kwenye vikao vikubwa sana vya nchi hii, nafikaje uko na kwanini sijui, Na baadhi ya mambo ninapoyaona kwenye magazeti ndio nakumbuka kuwa na mimi nilitoa mchango fulani, au na mimi kama nahusika na kitu fulani, Ni mambo mengi nimekuwa nayaona mengine napuuzia nakuta ni ya kweli.
 
Mkuu Pasco na mshanajr naona uko kimya katika bandiko langu # 195, Pia mkuu MziziMkavu nakuona umelike tu. Tupia neno kidogo!
Elimu ya Psychic Powers- Nguvu ya mwili na jinsi ya kuitumia ipo ila ikiwa inaambatana na mambo ya Shetani au Uchawi hapo nitaipinga kabisa. Lakini kama itakuwa hiyo Nguvu ya mwili wa mtu peke yake ndio inatumika nitaikubali unasemaje?
 
Back
Top Bottom