Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sabu, ndio maana unashauriwa kabla hujakabidhiwa powers zote lazima uwe guided with moderations namna ya kutumia hizo powers. Kuna wana wanazo powers za Remote viewing sio tuu unahisi bali unaona, na tena unaweza kabisa kuwa na Astral projection ukatoka kabisa out of body na kwenda kushuhudia jimsi wife wako anavyomegwa!, tena angalau ingekuwa anamegwa kawaida tuu, unaweza kukuta mwenzio anagaiwa "kule!". Sheria ya usiri "kiapo" kinakukataza kata kata usithubutu kuuliza, wala usijulishe unajua kitu!, unatakiwa akirudi, usimchenjie kwa lolote na kuendelea kuishi nae kikawaida!, utakachotakiwa kufanya ni kumtofuta tuu huyo mwizi wako na kumweleza kistaarabu, bila kumjulisha unajua na umeona, bali unamwambia tuu, "acha uhusiano usiofaa na mke wangu!", bila kupa chance kuuliza umejuaje!. Kama kawaida atajifanya kushutuka na kushangaa huku akikanusha!, mwanzo atadhania ni mkeo ameconfess, watakutana na kuulizana mke atakapothibisha hajaconfess na wewe hujamuuliza!, tabio hiyo itakoma!, na wakiendelea kwa kujifanya ni siri!, hapo ndipo works of power itakapowashukia, yatawakuta ya kuwakuta!.
Pasco.
Nakubaliana kabisa na wewe Mkuu Pasco, kipindi fulani katika maisha yangu nilitamani sana kujifunza uchawi mwenye tija, nikajikuta nimeangukia kwenye temple moja south Africa iliyokuwa inafundisha Buddhism Yoga meditation na supernatural powers
Yalikuwa ni masomo magumu ya ajabu na yenye kushangaza kwa jinsi yake, kwa ufupi ni kwamba hakuna chenye nguvu duniani kama bongo(mind) ya binadamu, na tunachokitumia katika mind zetu ni theluthi tu ya kile chote kilichopo
Tunafundishwa kuwa kuna 5senses, lakini Zipo 8 ambapo mtu ukiweza kuzifanyia kazi utafanya maajabu mengi , mind ya mwanadamu imejazwa takataka nyingi mno, illusions na dillusions ukiweza kuziondoa kwenye bongo yako ukabaki na pure and stable mind unakuwa mtu mwingine kabisa mwenye maono na nguvu za ajabu mno
Medition ni kitu cha Mwanzo kabisa kuendea kwenye kudevelop supernatural powers, nilifanya meditation zote, chanting, yoga nikiwa vegitarian kwa miaka mitano nikajikuta nabadilika nikaogopa nikaacha , kwakuwa niliona wazimu kuna mafundisho yanapingana waziwazi na imani yangu
Nimeipenda mada yako sana. Nakaribisha maswali na ufafanuzi nimeisoma sana Buddhism, Taiosm, Satanism na Kshna consciousness
Mwenye kupenda hii mambo atafute kitabu kiitwacho Analects: Way and Its Power.
strange...
unavyokubali majibu ya wasioamini Mungu
halafu wewe una amini mungu
only ume pick what to believe
mengine unaona bullshit hata kama yameandikwa kwenye bible?
really?
na unajiita unaa amini Mungu?
strange...
unavyokubali majibu ya wasioamini Mungu
halafu wewe una amini mungu
only ume pick what to believe
mengine unaona bullshit hata kama yameandikwa kwenye bible?
really?
na unajiita unaa amini Mungu?
Kuna wakati nilinaykuwa nimechelewa mahali fulani halafu mvua ilikuwa inanyesha nikamwambia Mungu simamisha hii mvua mpaka nitakapofika ninapotakiwa kwenda ndio mvua hii iendelee kunyesha, na kweli ikawa hivyo, nikashangaa sana
MziziMkavu mimi nimezaliwa 15 july. niambie nyota yangu na tabia za nyoya yangu na nini naweza kufanya?
nyota yako ni hii hapa chini soma:
nyota ya kaa (cancer)
hii ni nyota ya nne katika mlolongo wa nyota 12.
- wenye nyota hii ni wale waliozaliwa kati ya tarehe 21 juni na tarehe 20 july ya mwaka wowote.
- sayari yao ni mwezi (moon).
- siku yao ya bahati ni jumatatu.
- namba yao ya bahati ni 2 na 7.
- rangi yao ya bahati ni nyeupe.
- asili ya nyota yao ni maji.
kipaji cha kaa (sensitive):
wenye nyota hii wana kipaji cha hisia ya kugundua mambo yanayotendeka ikiwa ni pamoja na kubashiri mambo, kumwelewa mtu kwa undani na kujua jambo ambalo mtu anataka kulifanya au jambo litakalotendeka hasa kwenye watu wengi.
tabia za kaa
watu wenye nyota hii ni wenye tabia ya hisia nzito ni wapole na wenye huruma. Wakiwa na dhamira ya ulezi na kuwaangalia watu wengine na hiyo inaonekana waziwazi katika nyumba zao na familia zao.
hata hivyo upande mwingine ni watu ambao wana gubu na wakali ne wenye kupenda kujishughulisha na wanajiamini.
ni watu ambao wanaweza kubadilika lakini wenye msimamo na itikadi na wanaweza kuwa ni wenye wivu mkali na wenye kudhibiti.
tabia ya kaa katika mapenzi :
hisia ni kitu muhimu sana katika mapenzi kwa wenye nyota hii pamoja na kwamba kimaumbile ni watu wanapenda kujilinda na wanaogopa sana kuumizwa kimapenzi na wapenzi wao.
wanapenda sana kuwa karibu na wanayempenda na kuwaonyesha huba na upendo mkubwa. Kwao hakuna mapenzi ya nusu nusu na wanapenda sana kuwa na mtu ambaye atadumu nae milele.
wenye nyota hii bila ya kuwa na mpenzi hujihisi hawajatimiza lengo lao katika maisha hivyo basi huwa hawana raha.
ni wapenzi waaminifu na wanategemea wapenzi nao wawe waaminifu kama wao.
ni wagumu sana kuachana na wapenzi na inapotokea huwa hawaagi wako radhi wao waumie kuliko kuachana na anayempenda.
matatizo ya kiafya:
nyota hii inatawala njia kuu ya chakula kuelekea tumboni, mbavu, mfupa wa kidari, tumbo la uzazi, utumbo mdogo na utumbo au sehemu zote za kusagia chakula.
vile vile inatawala bandana na matiti.
tatizo lao kubwa la maradhi yao linatokana na ukimya wao wanapoudhiwa. Inapotokea hivyo wao hushindwa kusema na huumia kimya kimya.
maradhi yao makubwa yanakuwa maradhi yanayosababishwa na gesi , au vidonda vya tumbo au kiungulia au maradhi yanayotokana na mwili kuwa mnene au umbo kubwa.
{mospagebreak}
kazi za wenye nyota ya kaa:
wenye nyota hii wanatakiwa wafanye kazi ambazo zitawafanya wao wawe walezi wa wale wanaowatumikia ili kukidhi mahitaji ya nyota yao.
wanatakiwa wafanye kazi za utabibu kama vile madaktari au wauguzi, kazi za baharini kama vile mabaharia, kazi za huduma ya chakula kama hoteli, migahawa, kazi za kuhudumia watoto kama katika shule za chekechea, kazi za benki au kazi za maneja utumishi au kazi za kuandika.
familia za kaa:
wenye nyota hii ni wazazi asilia, na wazazi wakiume mara nyingi huonekana wakiwasaidia wake zao kulea watoto.
wanafanya kwa bidii kuhakikisha familia zao zinapata kila kitu kinachohitajika.
mzazi wakike ana hisia kiuzazi kuliko mume na kwa mtoto kwa mtoto anyependa kuwa huru kuna muda hujihisi kwamba mama yake anambana.
wazazi wa nyota hii wana tabia ya kuangalia mambo yaliopita nyuma hivyo hupenda mambo yasibadilike milele.
hali ya wazazi hao ya kubadilika badilika huwapa wakati mgumu watoto hasa wale wenye hisia ndogo ambao huhisi wanasukumwa sana na hutaka kujikomboa ili waondokane na baa hilo.
wazazi wenye nyota hii hupenda sana watoto wao wafanye wanzozitaka wao kinyume na matakwa ya watoto wao .
madini ya kaa:
wenye nyota hii wanatakiwa wavae madini ya moonstone au jiwe lolote lenye rangi ya maziwa.
madini haya yana uwezo wa kuongeza hisia na kufanya wawe na ari ya kuwatumikia na kuwakinga wenzao.
uhusiano wa kimapenzi:
tabia ya mbuzi ya ubahili na kutopenda anasa hulainishwa na tabia ya kaa ya upendo, huba na huruma ambayo humfanya mbuzi atulie na atumie kile alichonacho .
vyakula vya kaa:
wenye nyota hii wanashauriwa wapende kula vyakula vifuatavyo ambavyo ndivyo vyakula vinavyotawaliwa na nyota yao.
vyakula vyenyewe ni kama mapeas, kaa au vyakula vya baharini, na mboga kama kabichi na saladi (lettuce).
nchi za kaa:
ili kupata mafanikio ya kinyota wenye nyota hii wanashauriwa watembelee au waishi katika miji au nchi zifuatazo ambazo zinatawaliwa na nyota yao.
miji hiyo ni new york (marekani) na venice (ugiriki) au nchi za new zealand na scotland.
rangi za kaa:
wenye nyota hii wanashauriwa kinyota wapake au watumie rangi zozote ambazo siyo nzito au zenye uwiano na rangi nyeupe.