Look you are subtly jumping to Kundalini Yoga aren't you?Mwamba, powers ziko kwenye subconcious mind, zimezongwa na mazagazaga ya mawazo ya concious mind, ili uweze kuzifikia ni lazima u relax ili hayo mazagazaga ya concious mind yapingue ndipo ziamke. Meditation ni mazoezi ya relaxation tuu ili subconcious mind iamke. Bangi ina kemikali ya canabis ambayo inasaidia relaxation.
Mkuu Mzizi Mkavu nimekuomba details za nyota ya ndoo yaani kuzaliwa tarehe 9 mwezi 2 sijaona majibu
| [TABLE="class: ecxyiv1059148072contentpaneopen"] [TR] [TD="colspan: 2"] NYOTA YA NDOO (AQUARIUS)
(Sudden Revelation) Wenye nyota hii wana kipaji cha kutoa tafsiri sahihi ya jambo lolote linalotokea wakati wowote. TABIA ZA NDOO Wenye nyota ya Ndoo ni watu wachangamfu, wavumbuzi na wenye akili za kubuni jambo au kitu. Ni watu ambao wenye furaha wakati wote lakini inakuwa vigumu wakati mwingine kuwa karibu nao. Ni waaminifu na wakweli na wako tayari wakati wowote kutoa msaada unaohitajika. Kwa upande mwingine ni watu ambao hawatabiriki hasa wanapokasirika, wanaweza kuwa wakaidi, wenye kushikilia jambo hata likiwa baya, ni wapotovu wa nidhamu na waasi. Ni watu ambao hawajali Dunia inasema nini au inafikiria nini, wakati mwingine hukataa shughuli za kijamii na kujihusisha katika mambo yasiyo na maana yeyote. Kwa ujumla ni watu wenye Roho nzuri ya kibinaadamu wanapenda kutoa msaada pamoja na kwamba wakati mwingine wanakuwa siyo dhahiri. TABIA YA NDOO KATIKA MAPENZI. Wenye nyota ya Ndoo ni watu wanaopenda uhuru na hawawezi kabisa kukubali kudhibitwa katika mapenzi, mawazo yao na miono yao inaweza kubadilika mara moja na kuwa wakaidi na wasumbufu. Pamoja na kwamba ni waaminifu na wanatoa msaada mkubwa kwa wapenzi wao. Wako tayari kutulia katika mapenzi iwapo watahakikishiwa uhuru wao na haki ya kutoingiliwa katika mambo binafsi. Ni watu ambao hawapendi kuonyesha hisia zao halisi na wanachukua muda mrefu kuingia kikamilifu katika uhusiano wa kimapenzi. Mara nyingi inakuwa vigumu kwao kuwaamini wapenzi wao lakini wakisha waamini wanakuwa waaminifu. Ni watu ambao wenye kusema mambo bila kuficha na mara nyingi hawaeleweki kwa wapenzi wao. Katika ngono kwa sababu ya kupenda uhuru huwa wanapenda kufanya mambo wanavyotaka wao na hawakubali kuingiliwa. Wakati mwingine hushindwa kuelewa hisia za wapenzi wao jambo ambalo linawafanya wapenzi wao washindwe kuwaelewa. {mospagebreak} TABIA YA NDOO KATIKA FEDHA Wenye nyota ya Ndoo ni watu ambao wenye ndoto na mipango mingi ya kifedha ya baadae, na wakati mwingine wanajikuta kwamba mawazo yao ya kifedha yanakuwa hayaendani na wakati uliopo. Masuala ya kifedha kwao yanategemea sana aina ya kazi, ambayo mara nyingi inahusiana na mambo ya sanaa au sayansi, sehemu ambayo wao watajihisi wanatoa mchango wao kwa binaadamu. Wanapokuwa matajiri mara nyingi inatokana na ustadi au umahiri na wale siyo uwezo wao. Wenye nyota hii huwa wanapenda sana kupata fursa ya kufanya kazi sehemu tofauti na hawependi kufungika katika sehemu moja, kwao fedha ni chombo kinacholeta uhuru na wanaona vyema maisha yao yakamilike kuliko kuwa tajiri. Mara nyingi wanachukia kuonekana kwamba wao ni wabinafsi. Hata hivyo wanapenda vitu vizuri lakini kwa sababu ya ubahili huwa wanaona raha wanapoviona vitu hivyo kwa watu wengine katika makumbusho au nyumba ya sanaa kuliko kuwa navyo wenyewe. MAVAZI YA NDOO Wenye nyota ya Ndoo wanatakiwa wavae nguo za mitindo, zilizoshonwa kwa ustadi. Nguo hizo ziwe za rangi ya Kijivu, au Kijani iliyoiva au hudhurungi nzito. Kitambaa kiwe cha kitani (Linen) au cha ngozi. Nguo ziwe ni suti na ziambatane na saa za mikono. MATATIZO YA KIAFYA. Nyota hii inatawala kifundo na ugoko. Wenye nyota hii wana mawazo mapana ya kufanya mabadiliko ya Dunia na hii inawasababisha wajisahau hasa katika afya zao na mara kwa mara hupata matatizo ya kuugua. Kutokana na ubishi wao mara nyingi wanakuwa wabishi kupokea ushauri kuhusiana na hali zao za kiafya. Matatizo yao makubwa yanasababisha na kuchoka kwa misuli kutokana na kazi nyingi na ni wagonjwa wabishi wasiopenda ushauri. Wanapofanya mazoezi wanashaurwa wasiwe na hasira kwani hiyo inawafanya wajiumize au wapate ajali ndog ndogo hasa sehemu za miguu, ugoko, vifundo na uvimbe katika sehemu hizo. Vile vile matatizo yao mengine ya kiafya ni mzunguko wa damu na mishipa ya miguu. KAZI ZA NDOO Hawa ni watu wenye akili nyingi na wenye malengo maalum katika shughuli fulani. Ni wawekezaji asili na wana uwezo wa kuwabadilisha watu tabia zao kutoka mbaya kuwa nzuri. Kwa uhakika mawazo yao saa zote yanafanya kazi. Ni watu ambao muda wote wanafikiri njia mpya na za uhakika za kutekeleza wajibu wao na kikazi. Kazi zao wanazifanya kwa upole na uhakika, pamoja na kwamba wanafanya kazi kwa bidii mara nyingi huwa wanaonekana hawajafanya kitu au sifa huenda kwa watu wengine. Watu wa Ndoo ni wenye mawazo ya ubunifu na wenye kugundua njia mpya na zenye uhakika katika kazi. Kazi zinazowafaa ni za uhandisi wa umeme, kompyuta, utafiti wa Sayansi, utabiri, huduma za jamii na utafiti wa mambo ya kale. {mospagebreak} FAMILIA ZA NDOO Wazazi wa nyota hii ni wenye shauku na wasiotabirika na wanaopenda maendeleo ya watoto wao. Wazazi wa Ndoo wako wazi na wanaweza kuzungumza chochote na wototo wao lakini ni wagumu kubadili mawazo yao ambayo wakati mwingine yanakuwa ya ajabu. Huwa wanapenda kuwahimiza watoto wao wawe huru kujieleza lakini wao wenyewe hawapendi kushutumiwa. Kwa upande mwingine ni wazazi ambao hawana mbinu katika kushughulikia mambo yanayowahusu watoto. Ni wazazi wanaowapenda watoto wao na wao wanapendwa sana na watoto na mara nyingi huwa hawalalamikiwi. Ni muhimu kwa wazazi wa kiume wenye nyota hii kuwaelewa vizuri watoto wao vinginevyo tabia zao zinaweza zikasababisha migongano. Kwa wazazi wa kike wanashauriwa waache tabia yao ya kigeugeu au ukali tabia ambayo mara nyingi watoto huudhiwa nayo. MADINI YA NDOO Wenye nyota hii wanatakiwa wavae vito vinavyoitwa Aquamarine Madini hayo yenye kumeremeta yanaashiria hewa ambayo ndio asili ya nyota ya Ndoo. Jiwe hili linaashiria urafiki na inasemekana huondoa uchovu wa akili. UHUSIANO WA KIMAPENZI (NDOO NA SIMBA) Tabia ya kupenda kuwa huru na kujifanyia mambo bila kuingiliwa waliyokuwa nayo wenye nyota ya Ndoo, huwafariji wenye nyota ya Simba ambao nao hawapendi kuingiliwa katika mambo yao. VYAKULA VYA NDOO. Wenye nyota ya Ndoo wanashauriwa wepende kula vyakula au Matunda yafuatayo ambayo yanatawaliwa na nyota zao. Wapende sana vyakula vya nazi na nyama aina zote. Vile vile wapendelee kula Viazi Vitamu na Samaki Gamba. NCHI ZA NDOO Ili kupata mafaniko ya kinyota kwa wale wenye uwezo wanashauriwa aidha waishi au watembelee nchi au miji ifuatayo ambayo inatawaliwa na nyota zao. Nchi hizo ni Sweden na Zimbabwe na Miji ni Humburg (Ujerumani) na Leningrad (Urusi). RANGI ZA NDOO Wenye nyota ya Ndoo wanatakiwa wapake nyumba zao au magari yao au sehemu zao za biashara rangi zilizotulia kama Bluu au Kijivu. |
mimi nimezaliwa tarehe 25 may ningependa kujua nyota yangu na maana yake
copy: mzizimkavu
Pasco
HAYA SOMA HAPA NYOTA YAKO YA MAPACHA GEMINI:
NYOTA YA MAPACHA (GEMINI)
- Hii ni nyota ya tatu katika mlolongo wa nyota 12.
- Wenye nyota hii ni wale waliozaliwa kati ya tarehe 21 Mei na 20 Juni ya mwaka wowote.
- Sayari yao ni Mercury (Attarid).
- Siku yao ya bahati ni Jumatano.
- Namba yao ya bahati ni 5.
- Rangi yao ya bahati ni njano na bluu isiyoiva.
- Asili ya nyota yao ni upepo.
KIPAJI CHA MAPACHA: (TELEPATHIC):
Wenye nyota hii wana kipaji kikubwa cha kuwasiliana na watu ambao wako mbali kwa kutumia akili zao au hisia walizokuwa nazo.
TABIA ZA MAPACHA:
Watu wenye nyota hii ni watu wenye hisia kali sana ambao wanakasirika upesi, ni watu wasiotulia na wenye uwezo mkubwa wa kujieleza na kuzungumza na wanaweza sana kushawishi watu.
Ni watu ambao wanapenda sana mabadiliko na tofauti na wanapenda sana kujua mambo, wanapenda watu na wanapenda kujumuika na watu lakini wakati mwingine hawaeleweki. Wanapenda kusafiri sana.
TABIA YA MAPACHA KATIKA MAPENZI:
Watu wenye nyota ya Mapacha wanajulikana sana kwa hadhi yao ya kuwa na sura mbili. Kuna wakati wanakuwa na hisia tofauti na muda si muda wamebadilika.
Pamoja na kwamba hawapendi kubanwa sana , ni watu wachamgamfu na wenye mahaba mazuri.
Ni watu wenye asili ya mawasiliano na ni vigumu sana kuwafanya wajinga hivyo basi wakishampenda mtu wanahakikisha kwamba hawamchoshi huyo mpenzi. Watatumia muda mrefu kuzungumza maneno mazuri na wapenzi wao ili kuhakikisha kuwa uhusiano unazidi kuwepo.
Katika mapenzi, wao wanapenda vitu tofauti tofauti na wanahisi wamechoshwa basi huwa wa kwanza kuondoka aidha kwa muda au moja kwa moja.
Uaminifu ni kitu kigumu kwa watu wenye nyota hii na wanahisi kwamba kuna kitu wanakikosa nje hivyo basi wanatoka sana nje hata kama wakiwa wana ndoa yenye furaha.
Wengi wao wanafikia hatua ya kuishi maisha ya sehemu mbili; mke na bwana au bwana na mke.
{mospagebreak}
MATATIZO YA KIAFYA:
Nyota hii inatawala mabega, mikono, viganja na sehemu ya juu ya mbavu.
Tatizo la kutopumzika kwa sababu ya kutafuta mambo mapya ndio yanayosababisha maradhi kwa wenye nyota hii. Wanafikia mpaka hali ya kuisahau miili yao na mara nyingi wanapata matatizo ya neva kutokana na uchovu kwa mishughuliko mingi.
Matatizo yanayotokana na nyota hii ni mgonjwa kukosa pumzi (bronchitis), pumu (asthma), matatizo ya kifua, mafua, flu, ajali za mara kwa mara kwenye mikono na mabega.
KAZI ZA WENYE NYOTA YA MAPACHA:
Kwa vile wenye nyota hii asili yao ni upepo na wao ni wenye kuzaliwa kwenye mawasiliano na uhusiano, wanapenda sana uhuru na uwazi katika kazi zao.
Wanapenda sana kazi ambazo zinawashughulisha na kufanya akili zao zisipumzike lakini siyo jambo hilo hilo kwa muda mrefu. Kuwa na mawasiliano na watu wengi kwa wakati mmoja ndio jambo linalopendwa na wenye nyota hii. Kazi zao hasa ni zile zinazohusiana na mambo ya utangazaji wa radio na televisheni.
Kazi ambazo zinahusika na mambo ya vitabu au uchapishaji vitabu. Kazi za kufundisha na kazi za ushauri nasaha.
Vilevile wenye nyota hii wanatakiwa wafanye kazi za ukalimani au kazi za biashara lakini zinazohusiana na safari za nje.
FAMILIA ZA MAPACHA:
Watu wa nyota ya Mapacha ni waliochangamka na wenye hiari na wazazi wa Mapacha huingia katika msisimko wa watoto wao kwa raha.
Ni wazazi wenye furaha muda wote katika kutekeleza shughuli zao za nyumbani pamoja na kupenda kucheza na watoto wao na wana mipango mizuri na wanajua wapi wakiwapeleka watoto watafurahi.
wenye nyota hii wanathamini sana elimu na hawawezi kuishi bila mawasiliano na habari, hivyo huwa wanapenda kuwanunulia watoto wao vitabu vingi.
Tatizo linalotokea iwapo mtoto ataonyesha kwamba hapendi kusoma na watajaribu kila njia kumuweka katika njia wanayoitaka wao. Wakishindwa wanaacha.
Wazazi wa Mapacha hawawezi kuelezea jambo na hawana uvumilivu wa kun'gan'gania kwa mtoto asiyeelewa mambo.
MADINI YA MAPACHA:
Wenye nyota ya Mapacha wanatakiwa wavae madini ya Agata au kito chochote chenye rangi ya njano. Kito hicho inasemekana kinamuwezesha mvaaji awe na uwezo wa mawasiliano na ufahamu.
UHUSIANO WA KIMAPENZI:
(MAPACHA NA MSHALE)
Tabia ya Mapacha ya kupenda kufahamu na kuelewa mambo hutulizwa na tabia ya Mshale ambao ni wasomi na wenye kuelewa mambo mengi.
VYAKULA VYA MAPACHA:
Wenye nyota hii wanashauriwa wapende kula vyakula vifuatavyo ambavyo ndio vinavyotawaliwa na nyota yao. Vyakula vyenyewe ni kuku, rasiberi, karoti na uduvi.
NCHI ZA MAPACHA:
Ili kupata mafanikio ya kinyota wenye nyota hii wanashauriwa watembelee au waishi katika nchi au miji ifuatayo inayotawaliwa na nyota yao. Nchi hizo ni Ubelgiji na Wales, na baadhi ya miji ni London (Uingereza) na San Fransisco (Marekani).
RANGI ZA MAPACHA:
Wenye nyota hii wanashauriwa kinyota wapake au watumie rangi za njano au bluu isiyoiva ambayo inapendeza ikipakwa ndani ya nyumba.
HAYA UKITAKA PETE YA BAHATI NA KINGA NINAYO NITUMIE BARUA YA PEPE EMAIL ADDRESS YANGU HII HAPA fewgoodman@hotmaıl.com
Hausiki hapo wewe unahusika hapa Soma chinimkuu MziziMkavu mimi nimezaliwa 24 june vipi na mm nahusika hapa?
au mm niwanyota gani mkuu na maelezo yake?
Hii ni psychic power pia?
Nakushukuru sana mtoa
mada na wachangiaje wote, ilinibidi kufanya lililo ndani ya uwezo wangu
nipate baadhi ya vitabu ili kupata maarifa zaidi kuhusiana na hii mambo,
nafaham kuna baadhi ya vitabu link zake ziliwekwa huku ndani lakini pia
nimeona si vibaya tukishea wote kile nilichopata hivyo basi wale ambao
wanapenda kusoma hii vitabu watume email PM kwa inbox yangu kisha
nitawatumia kiroho safi. Nimepata vitabu vifuatavyo
1. The Master Key System; Charles Haanel
2. Mastery The Keys To Success & Long term Fulfillment; George
Leonard
3. Mind over Mind; Chris Berdik
4. The Power of Your Subconscious Mind; J Murphy
Asanteni.
we kiburi cha kuweza kumuuliza Mungu maswali unakipata wapi!?
We kiumbe mwenyewe ni subject tu!
Lzm ule unye upumue ulale, uvute pumzi!
Kama wewe una kiburi cha kweli hebu acha kunya tu kwa wiki moja! Kama hilo bona lako halikumwaga kinyesi hadharani!
Mijitu kama nyie ndio mnakufaga na zile saratani za shingo!
Una suffocate nchi kavu mpaka roho inachomoka!
Laanatullah!
Hapa nimekumbuka law of universal hii inakuambia hakuna scarce resource resource are plenty if you need just wish want and then get it. Hi law inasema watu kuwa masikini ni kujitakia tu. Mfano haijawahi kukutokea siku inahitaji kitu flan ukakesha ukiomba Na hukuwa nam pango wafedha Kwa njia za ajabu ukakipata? Kunarafiki yangu ni mwalimu chuo cha uhasibu Arusha yeye alikuwa a natamani sana Gari aina ya rav4 new model Na aluta nani kupata kabla ya December alifuata kanuni za law of universal kweli ilipofika November tayari alikuwa Na like Gari Kwa rangi ileile aliyokuw anaiota. Kwangu Mimi binafsi ninaipractice sana unaweza kutumia jina lolote unalotaka Allah,Jah,Jehovah,Rama,Krishner,Mizimu chochote kile mambo yanakuwa poa
Mkuu MziziMkavu hebu tupia wenye nyota ya Leo / Simba....
Mkuu T999ZZZ, maelezo yangu yamejitosheleza kabisa, nimesema hizi "powers" za kufanya chochote ikiwemo miujiza na uponyaji, kila mtu anazo!, ziko ndani yako ila zimelala!. Ili kuziamsha, hatua ya kwanza ni kujitambua kuwa unazo powers hizi!. Jee utajitambuaje?, ndipo wamekuja waalimu kibao na mbinu mbalimbali kubwa ikiwa "meditation" kutulia tuu, kuwaza na kutafakari!, unafanyeje, unawezaje and how, kila kitu kimeelezwa humu!.Mi naona kama wote mnatoa maelezo hayajitoshelezi, wote mnaishia kusema tu una concetrate kuwaza/kufikiri au kutafakali.. sasa how kuwaza.. how ???? Unafanyaje...? Unawazaje...
Nina kismati cha kupendwa na wanawake wa nyota hii. Nishadate watatu or more. They are crazy tho. Usije wauzi aise. Wanapenda nyama. Very practical women. Wanajua kujali mbaya. Wanapenda sana kutumia fweza mbaya.wana wivu, wanapenda drama. Hawashindwagi. Wazuri sana. Mmh missed my girl tho.