Psychic Powers: Ni nguvu za kufanya miujiza. Wengi wanazo bila kujitambua. Je, wewe unazo?


Mkuu nimefunika macho, sioni> Tehe teheeee...
 

naomba kuwa wako mwanafunzi
 

Stefano Mtangoo, kwanza sipingani na loote unaloandika, kwa sababu faith na mafundisho yako yako based on Holly Bible, hivyo hiyo ndio limit yako!.

Unakubaliana na mimi kuwa kwa mujibu wa Biblia ulichoandika ni uongo mweusi kabisa?


Bahati nzuri wewe umejaaliwa "powers" za uhubiri na kuitafsiri Biblia Takatifu,
Nimejaaliwa na nani kama wewe unaamini Biadamu ni miungu yaani wana "power within"?


hata mimi ni Mkristo, Mkatoliki!, namwamini Mungu Baba, Mwana na Roho Mtakatifu!, tofauti yetu ni mimi nimekwenda over and above The Holy Bible, wewe umejifungia kwenye Bibilia!. Jee unajua kuwa vitabu vitano vya Bibilia, viliandika na Musa?!,
Pasco ukishasema wewe ni Mkristo unakuwa subject chini ya Biblia. Huwezi kwenda below au above Biblia bado ukabaki kuwa Mkristo. Huwezi kufundisha mafundisho ya shetani haya ukabaki kujiita Mkristo. Sijui kuhusu Ukatoliki unaosema wewe ni mkatoliki sana kuweza kusema watakuja wakatoliki waseme, lakini kwa Ukristo wa Biblia, wewe sio Mkristo!
Nasema hivi kwa kuwa kama nilivyoonesha hapo juu Biblia inapinga mambo haya na huwezi kuwa Mkristo ukafundisha ushetani huu, let alone kuuamini!

Kwa mabandiko yako nikusaidie tu wewe sio mkristo, wewe ni aidha Mhindu au Mwana vuguvugu la kizazi kipya (New ager) basi. Haya ndiyo unayofundisha. Na hii ni dini aliyoiasisi shetani mwenyewe na ndio "mungu" unayemfundisha hapa. Well shetani ana nguvu zake na watakaojaribu unayofundisha wataonja joto ya jiwe lakini usijifanye unafundisha nguvu ya Mungu.

Unafundisha mafundisho ya Ibilisi kabisa na kwa kuwa wote wanaosoma wameonywa, atakayejaribu akakiona hatakuwa na wa kumlaumu!

Jee unajua Musa alipoandika kitabu cha Mwanzo, alitumia nini?, Kasome Kitabu cha Mwisho cha Bibilia ambacho ni Ufunuo wa Yohana, uniambie kimeandikwa kwa kutumia nini?!.
Najua una maana gani kwa imani yako ya New agers. Uje utufafanulie na Yesu wako feki "Ascended Master Jesus" ili uunganishe vizuri na musa bandia na miaka bandia ya Yesu ako bandia ambayo "inakosekana" katika Biblia.

I know all these, they are dangerous poison wrapped in iced cake!
 
Last edited by a moderator:
Nyenyere unafahamu meditation ni nini?
Webster Dictionary:
to spend time in quiet thought for religious purposes or relaxation
Question is not meditation itself but object if meditation and which religion (and hence religious) guides that meditation. Christians are to mediatate on the Bible, on marvel and wonders of His creation and His goodness. Not demonic new age kind of meditation Pasco is teaching...
 
Last edited by a moderator:
Mathay 7:1 inasema "Msihukumu, msije mkahukumiwa ninyi."
Kwa nini inasema hivyo. Mstari unaofuata (ambao kwa kutojua au makusudi umeuacha) unasema "Kwa kuwa hukumu ile mhukumuyo, ndiyo mtakayohukumiwa; na kipimo kile mpimiacho, ndicho mtakachopimiwa."

Kwa hiyo mstari huu unaonge hukumu ya kinafiki a sio hukumu ya kweli kwa kuwa Yesu mwenyewe alihukumu, Yohana Mbatizaji akahukumu na mitume wote walihukumu so..!?

Biblia haiko vague juu ya nani ataenda mbinguni. Kila aliitae jina la Bwana ataokoka. Kwa hiyo hata kama Hitler aliliita jina la Bwana haitakuwa ajabu kumkuta mbinguni! Mungu si Pasco wala Mtangoo
 
Last edited by a moderator:
Pasco kwa maandiko yake anaonesha sio mkristo, that is plain!
About judging what will God be doing at Great White throne? Why?
 
Last edited by a moderator:
What makes one a Christian? Ni nini kinamfanya mtu awe mkristo?
 
Ukiletewa utalikubali?
 
Sasa si mseme tu kwa ni uhindu mnafundisha hapa na uhindu hauamini katika Mungu?
Utakapokuta kuna moto kule Nirvana utagundua ulikuwa unamtumikia shetani!
Pole!
 
Pamoja na kutoa majibu bado unadai majibu?
Au hujui unachodai ni kitu gani?

Wewe mzee wa chabo!
Huwezi, wala hujawahi kutoa jibu hata siku moja!
We ni mbabaishaji tu! Na hio imani yenu ya mchakachuo!
Mnaleta utapeli mpaka kwenye imani???
Duuhhh! Nyie wagalatia nuksi kweli kweli!
 
Wewe mzee wa chabo!
Huwezi, wala hujawahi kutoa jibu hata siku moja!
We ni mbabaishaji tu! Na hio imani yenu ya mchakachuo!
Mnaleta utapeli mpaka kwenye imani???
Duuhhh! Nyie wagalatia nuksi kweli kweli!

Sawa.....!!!!!
 
Pasco hebu rudi uendelee kudanganya watu huku! Ya kuwa wewe unanguvu kuliko pepo!!
Manake kuna wafuasi wako wamekasirika vibaya!
Teh teh teh teh!
nilisoma watu wakikuita DR,nimesoma michango yako kwenye nyuzi nyingi.wewe ni aina ya mtu ningekujua nje ya JF ningekukwepa kama ukoma.
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…