Psychic Powers: Ni nguvu za kufanya miujiza. Wengi wanazo bila kujitambua. Je, wewe unazo?

Psychic Powers: Ni nguvu za kufanya miujiza. Wengi wanazo bila kujitambua. Je, wewe unazo?

Mimi ni mwananchi tuu!, wananchi tunawadanganya viongozi?!, ila kama unazungumzia lile "jiwe walilolikatta waashi!", subiria kwanza mpaka litakapofanywa kuwa jiwe kuu la pembeni!", ndipo tuje tuulizane!.

Ili kiongozi uwe kiongozi bora, unapaswa kuwa na "powers from within!". Tanzania tunaviongozi wachache sana wenye "powers from within", Nyerere alikuwa na powers!, Sokoine alikuwa na powers!, sorry kuhusu Mwinyi, Mkapa kidogo kwa kuforce, aliyepo ni nil!, ajaye ni very powerful!.
Pasco.

Mkuu nimefunika macho, sioni> Tehe teheeee...
 
Kwa kuanzia inabidi upate mwalimu kuna temple moja pale karibu na makaburi ya Muhimbili wanakuwa na meditation sessions kila week waweza fikra pale

Kama unataka kufanya mwenyewe nitajaribu kukutafutia vitabu, kwakuwa kuna mengi ya kufanya kuanzia mavazi lishe vinywaji nk nk kwa mfano kwenye mavazi: Nguo za kubana sana si nzuri, chakula mara nyingi linatakiwa kiwe cha asili na fresh kisiungwe sana ,Epuka vyakula, vya supermarket , soda na hz juice za viwandani vyote c vizr kwa afya ya akili kuna mengi ya kufahamu, kukaa kulala kutembea ni mengi

naomba kuwa wako mwanafunzi
 

Stefano Mtangoo, kwanza sipingani na loote unaloandika, kwa sababu faith na mafundisho yako yako based on Holly Bible, hivyo hiyo ndio limit yako!.

Unakubaliana na mimi kuwa kwa mujibu wa Biblia ulichoandika ni uongo mweusi kabisa?


Bahati nzuri wewe umejaaliwa "powers" za uhubiri na kuitafsiri Biblia Takatifu,
Nimejaaliwa na nani kama wewe unaamini Biadamu ni miungu yaani wana "power within"?


hata mimi ni Mkristo, Mkatoliki!, namwamini Mungu Baba, Mwana na Roho Mtakatifu!, tofauti yetu ni mimi nimekwenda over and above The Holy Bible, wewe umejifungia kwenye Bibilia!. Jee unajua kuwa vitabu vitano vya Bibilia, viliandika na Musa?!,
Pasco ukishasema wewe ni Mkristo unakuwa subject chini ya Biblia. Huwezi kwenda below au above Biblia bado ukabaki kuwa Mkristo. Huwezi kufundisha mafundisho ya shetani haya ukabaki kujiita Mkristo. Sijui kuhusu Ukatoliki unaosema wewe ni mkatoliki sana kuweza kusema watakuja wakatoliki waseme, lakini kwa Ukristo wa Biblia, wewe sio Mkristo!
Nasema hivi kwa kuwa kama nilivyoonesha hapo juu Biblia inapinga mambo haya na huwezi kuwa Mkristo ukafundisha ushetani huu, let alone kuuamini!

Kwa mabandiko yako nikusaidie tu wewe sio mkristo, wewe ni aidha Mhindu au Mwana vuguvugu la kizazi kipya (New ager) basi. Haya ndiyo unayofundisha. Na hii ni dini aliyoiasisi shetani mwenyewe na ndio "mungu" unayemfundisha hapa. Well shetani ana nguvu zake na watakaojaribu unayofundisha wataonja joto ya jiwe lakini usijifanye unafundisha nguvu ya Mungu.

Unafundisha mafundisho ya Ibilisi kabisa na kwa kuwa wote wanaosoma wameonywa, atakayejaribu akakiona hatakuwa na wa kumlaumu!

Jee unajua Musa alipoandika kitabu cha Mwanzo, alitumia nini?, Kasome Kitabu cha Mwisho cha Bibilia ambacho ni Ufunuo wa Yohana, uniambie kimeandikwa kwa kutumia nini?!.
Najua una maana gani kwa imani yako ya New agers. Uje utufafanulie na Yesu wako feki "Ascended Master Jesus" ili uunganishe vizuri na musa bandia na miaka bandia ya Yesu ako bandia ambayo "inakosekana" katika Biblia.

I know all these, they are dangerous poison wrapped in iced cake!
 
Last edited by a moderator:
Nyenyere unafahamu meditation ni nini?
Webster Dictionary:
to spend time in quiet thought for religious purposes or relaxation
Question is not meditation itself but object if meditation and which religion (and hence religious) guides that meditation. Christians are to mediatate on the Bible, on marvel and wonders of His creation and His goodness. Not demonic new age kind of meditation Pasco is teaching...
 
Last edited by a moderator:
Mkuu Nyenyere, usihukumu usije kuhukumiwa!.
Niliwahi kusema humu, siku ya siku, unaweza kushangaa kumkuta Hitler, Osama, Saadam na Ghadafi peponi upande wa kuume wa Mungu!, na ukashindwa kuamini pale utakapo muona Bush, Blair, Obama na yule kiongozi wako wa kanisa wakitupwa "motoni!" kwenye jehanum ya milele!.
Mathay 7:1 inasema "Msihukumu, msije mkahukumiwa ninyi."
Kwa nini inasema hivyo. Mstari unaofuata (ambao kwa kutojua au makusudi umeuacha) unasema "Kwa kuwa hukumu ile mhukumuyo, ndiyo mtakayohukumiwa; na kipimo kile mpimiacho, ndicho mtakachopimiwa."

Kwa hiyo mstari huu unaonge hukumu ya kinafiki a sio hukumu ya kweli kwa kuwa Yesu mwenyewe alihukumu, Yohana Mbatizaji akahukumu na mitume wote walihukumu so..!?

Biblia haiko vague juu ya nani ataenda mbinguni. Kila aliitae jina la Bwana ataokoka. Kwa hiyo hata kama Hitler aliliita jina la Bwana haitakuwa ajabu kumkuta mbinguni! Mungu si Pasco wala Mtangoo
 
Last edited by a moderator:
Bwana eiyer wacha uongo Kristo anakuona bana.

Wewe hujamsuport nyenyere pale aliposema "wewe(pasco) si mkristu na ame(pasco)mkana kristu, ukam support hivi "sio kila anaesema ni mkristo ni mkristo na huyu jamaa (pasco) ni mmoja wa hao!" is that not judging brother?
Pasco kwa maandiko yake anaonesha sio mkristo, that is plain!
About judging what will God be doing at Great White throne? Why?
 
Last edited by a moderator:
Unaweza ukawa mkristo usiwe mkatoliki lkn huwezi kuwa mkatoliki usiwe mkristo,
Bcoz all Christians worship Christ, ndio maana tukaitwa wakristo sio dhehebu ulilo bali ni nani unamwabudu, hiyo kuombea wafu hata kwa walutheran imewekwa this year kama unafaham kama hujui fatilia and still they're christians.
What makes one a Christian? Ni nini kinamfanya mtu awe mkristo?
 
Kwanza naomba Samahani kwakwenda nje ya topic, nimeona comments humu zikuhusisha Uungu wa Yesu, hivi kweli Yesu ni Mungu? Katika kuperuzi Bible nzima sikupata bahati ya kuliona andiko linalo thibitisha Uungu wa Yesu, kwahiyo nilikua naomba Mwenye nalo (andiko) anioneshe. Natanguliza Samahani.
Ukiletewa utalikubali?
 
Kama nilivyosema mwanzo dunia hii ina nguvu nyingi tu inategemea unatumiaje ktk uzur au ubaya na sehemu kubwa ya nguvu ni michezo inayotawaliwa na akili na bado katika mazoezi au niseme mafundisho niliyopitia lengo kuu lilikua utambuzi ( self realization) japokuwa nguvu mnafundishwa kwa kuelewa tu na si lengo, kwa wajuzi wanajua nn chakra,mantra
Sasa si mseme tu kwa ni uhindu mnafundisha hapa na uhindu hauamini katika Mungu?
Utakapokuta kuna moto kule Nirvana utagundua ulikuwa unamtumikia shetani!
Pole!
 
Wewe mzee wa chabo!
Huwezi, wala hujawahi kutoa jibu hata siku moja!
We ni mbabaishaji tu! Na hio imani yenu ya mchakachuo!
Mnaleta utapeli mpaka kwenye imani???
Duuhhh! Nyie wagalatia nuksi kweli kweli!

Sawa.....!!!!!
 
Pasco hebu rudi uendelee kudanganya watu huku! Ya kuwa wewe unanguvu kuliko pepo!!
Manake kuna wafuasi wako wamekasirika vibaya!
Teh teh teh teh!
nilisoma watu wakikuita DR,nimesoma michango yako kwenye nyuzi nyingi.wewe ni aina ya mtu ningekujua nje ya JF ningekukwepa kama ukoma.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom